Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

Hii iko Africa huku kwasababu ya kukosa maarifa na kuwaza mambo ya giza muda wote.

Kwahiyo hawa akina Mr X, Mr Facebook, Steve Job, Jack Ma nk nao wana madhabahu?.

Maendeleo ya technolojia duniani yanahitaji akili na maarifa, huku tumeachwa mbali maana watawala hawataki kuwapa watu Elimu iliyokomaa ili waweze kutumia bongo zao kwa upana zaidi.
 
We unadhani wanaweka public
Wana private yao tofauti na social media life
I hate your thinking
 
Ukitoa kafara unapata masahibu gani? Masahibu ni unapoamua kujitesa mwenyewe, mfano kukaa na kidonda kisichopona, kutokuvaa vizuri, kutokulala ndani ya nyumba nk.
 
Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu
Hii matajiri hawawezi kukuambia

Uzi umeisha
Huku kijijini mwalimu mkuu mwenye IST anaitwa tajiri.

Saaa najiuliza, kupata ualimu ni Hadi madhabahu?
 
Hata matajiri wa kizungu hutumia madhabahu?

Kwani madhabahu huwa inakuwaje? Kama ile ya buldoza? Au?
 
Back
Top Bottom