Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri....

watu wanapinga Chato kulundikiwa miradi yote ya maendeleo huku maeneo mengine ya kanda ya ziwa yakiachwa bila huduma.

Magufuli angejitahidi kusambaza neema ya maendeleo kwa maeneo mengi zaidi na siyo kupendelea kijijini alikozaliwa.

Watu wanapinga UPENDELEO, na siyo kitu kingine.
 
Ama kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.

Airport chato
Referal hospital chato
Crdb chato
Pccb sijui chato
Wang yi chato
Filipe nyusi chato
National Park chato
Futuboli stadium chato
Modern VETA chato

Blesed people we Wana come chato in pilgrimage.
 
Ama kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.

Airport chato
Referal hospital chato
Crdb chato
Pccb sijui chato
Wang yi chato
Five nyusi chato
National Park chato

Blesed people we Wana come chato in pilgrimage.
VETA ya Chato pia umeisahau.
 
..watu wanapinga Chato kulundikiwa miradi yote ya maendeleo huku maeneo mengine ya kanda ya ziwa yakiachwa bila huduma...
Kurundikiwa miradi? Duh hamuoninserikali ya awamu ya tano ilivyosamabaza miradi Tanzania nzima?
 
Back
Top Bottom