Na pia itavutia wataliiNimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Kwanza nimekudharau, Veta sio mradi wa kulalamikia kama una akili.
tutumie tu lugha nyingine kuwa mimi sipingi lakini naingia ukakasiYaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza,shinyanga,Tabora Geita au Kigoma mjini
usijali UPENDE-LEO kesho watajuta!..unapoweka veta, uwanja wa ndege, crdb, uwanja wa mpira, hospitali ya rufaa, msd, mahakama, mbuga ya wanyama, ktk jimbo moja la uchaguzi, ndani ya miaka mitatu, huo utaitwa UPENDELEO.
Mfugale Tower ChatoAma kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.
Airport chato
Referal hospital chato
Crdb chato
Pccb sijui chato
Wang yi chato
Filipe nyusi chato
National Park chato
Futuboli stadium chato
Modern VETA chato
Blesed people we Wana come chato in pilgrimage.
Hospitali ya rufaa kanda ya ziwa iko Bugando Mwanza.Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza,shinyanga,Tabora Geita au Kigoma mjini
Je Mlonganzila mbona iko nje ya dar?CHATO Unapajua?
Hospitali ya Rufaa ya Kanda,
Kwa mfano Dsm inaweza ikajengwa Kibiti au Somanga?
AArusha, ya nne kwa kuingizia serikali mapato Jiwe amepeleka mradi mmoja tuu wa barabara ya km 2Kurundikiwa miradi? Duh hamuoninserikali ya awamu ya tano ilivyosamabaza miradi Tanzania nzima?
Hao wanaccm wanao pinga si ndo wameshiriki kufunga magori ya mkono walijua tunacheza netballSiyo wapinzani tu wanapinga bali hata wanaccm tena ambao ni more privileged than you,wewe unasimamia ushabiki tu kama wa Simba na Yanga
Chato ni kijijini kweli? Naona inakuwa urbanizationIshu ni kuwa ipo Chato au accessibility?
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato,wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
You are a novice in the environment....Kwani lazima kila mradi wa maendeleo ujengwe makao makuu?
Lumumba wamemwaga watu kujibu kila hoja pinzani inayotolewa kwenye mada mbalimbali jf. Bahati mbaya majibu yao ni utopolo mtupu.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.