Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Hakuna ubishi kwamba Chato. Hata hivyo chato imekuwepo miaka yote hata kabla rais Magufuli hajazaliwa. Tofauti inayojadiliwa ni upendeleo wa waziwazi inayopewa chato kwa kuwa rais Magufuli anatoka hapo. Jambo la msingi ni kutomfanya rais aonekane anapendelea Kwao. Magufuli ana kwao, lakini urais alionao ni wa watanzania wote. Ukiondoa hisia hata katiba ya JMT inakataza upendeleo wa watu au eneo. Marais waliomtangulia Magufuli akiwemo Malibu Julia’s K Nyerere walijenga msingi usiokuwa na upendeleo,digoxin kwamba hawakupenda kwao bali hawakutaka iwe kila rais akipatikana basi maendeleo yahamie kwao,
 
Back
Top Bottom