Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

1. Airport Chato ni muhimu na tunakoelekea Viwanja vya ndege vitaendelea kujengwa maeneo mengi zaidi. Ni aibu kwa nchi yenye uchumi wa kati baadhi ya watu kulalamika Wilaya kubwa kama Chato kujengwa airport. Huko tuendako usafiri wa ndege na treni ya mwendo kasi itakuwa jambo la kawaida kabisa. Tuache ushamba!

2. Referral Hospital kuwa Chato sio jambo la ajabu. Kama miundombinu kwenda Chato inafikika kwa urahisi, kwanini watu wasitibiwe kutoka kona zote ndani na nje ya nchi. Kama watu waliweza kwenda India, SA, China, USA nk kutibiwa kwanini isiwe kuja Chato?

3. Location ya Hosp ni nzuri Sana na view hiyo inavutia Sana. Ukiwa juu kuanzia gorofa ya kwanza unatizama Ziwa Victoria. Kuangalia maji kunaonveza matumaini ya uhai! Hata nchi za wenzetu Hotel zenye view za baharini au kwenye any water bodies zina bei kubwa.

4. CRDB Chato! Kauli mbiu ya CRDB "ULIPO TUPO" Sasa wametimiza malengo yao wewe unapiga kelele! Huo ni upotolo! Wewe washauri waje kama Wilaya yako haina jengo au tawi la CRDB.
5. PCCB wanatoa huduma kama huduma hata kuelezea sioni sababu!

6. Wang Yi & Filipe Nyusi. Mlimtukana sana Rais Magufuli hatembeitembei, sasa anatembelewa mmeanza tena kulalamika. Hovyo kabisa!

7. National Park ilikuwepo hata kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Alichofanya ni kuifufua kama alichofanya sehemu nyingine. Hata ukmarishaji wa sekta hii ni mkubwa sana nchi nzima. Hakuna uharamia nk

8. Football Stadium - Ni Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM wa ujenzi wa Viwanja na kuiboresha sekta ya michezo Tanzania.

9. VETA - Huu ni mpango na ni Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi CCM kila Wilaya kuwa na chuo cha VETA.

Chato maendeleo ni haki yao! Wivu wa kike ni mbaya! Kuna watu wana "Chicken Vison" badala ya "Eagle Vision". Tuwekeze nchini kwetu tupunguze watu kukimbia Vijijini na kukimbilia Mijini. Maendeleo yatawanywe kona zote! Hata mlioiba na kuwekeza nje ya nchi ni wakati sasa wa kurudi nyumbani. Mtatoa na ajira kwa ndg zetu!
Kwingine kafanya nini? sana sana ameendelea kudidimiza kwa mashetani wa North! "maendeleo hayana chama"
 
Taja wilaya moja tu nyingine yenys hadhi kama Chato yenye miradi kama hiyo!
1.Airport:Hata makao makuu ya mkoa hayana Airport,ila imejengwa chato,why?Wilaya ipi yenye uwanja lakini mkoani ambako ni makao makuu hakuna uwanja?
2.Hospitali ya rufaa:Kwanini watu wa Kagera,Kigoma,shinyanga tujengewe hospitali ya rufaa Chato?Watu wa Chato kwanini wasitumia Bugando kama hospitali ya rufaa na hiyo mikoa ikajengewa hospitali hiyo Nyakanazi ambako ni rahisi zaidi kufikika?Why Chato?
3.View:Mikoa kama Kigoma na Kagera hiyo view inapatikana pia!
4.
5.
6.
Najikita kwenye miradi so hizo naruka!
7.National park:Si vibaya kuendeleza lakini kuna maeneo mengi yana mapori tena yana wanyama ila hayajapewa hadhi kama ilivyo chato na yameachwa tu!Lakini pia iweje upeleke kitovu cha utalii kanda ya ziwa iwe Chato wakati kuna Mara ambako ipo Serengeti?Serengeti imepata tuzo ya kuwa mbuga bora Africa,ni ajabu kitovu cha utalii kuwekwa Chato kwenye park ambayo siyo ya asili na kwanza ndio inaanza!
8.Uwanja wa mpira wa pili kwa ukubwa nchini:Huu uwanja unaenda kuwa mzigo kwa walipa kodi kwani hauna tija!Fikiri kama Mkapa angejenga uwanja Masasi badala ya DSM,ingekuwaje?Mashabiki wangapi wangeenda kuangalia mechi?DSM penyewe mpaka Simba vs Yanga ndio uwanja unajaa,huko Chato hali itakuwaje?Walioplan kujenga uwanja huo wana akili timamu kweli au wanajipendekeza au ni maelekezo ya Rais?
9.Veta:Ni sawa,ila kasi hiyo ilipaswa tuione na wilaya nyinginezo!

NB:Haya mambo kufanyika kwa mkupuo tena kwa muda mfupi ndio inazua maswali zaidi!Ni kama mtu anakimbizana na wakati ili akitoka madarakani awe ameijenga Chato!Anafanya hivyo kwa kujua miradi hiyo siyo kipaumbele hivyo akitoka basi na yenyewe ndio itakuwa imefikia tamati!

Vipi harakati za kunianika zimefikia wapi?
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Unafahamu nini kuhusu DEMOGRAPHY?.
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Yaani machadema mna akili mgando Sana, kwa hiyo Kama ni kijijini unataka paendelee kuwa kijijini milele? Unajua umuhimu wa decentralization kwa huduma za jamii? Kwa hiyo unataka mahospitali yajazane Mwanza kwa sababu ni mjini? Poor thinking capacity.
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Basi waichukue na yanga maana wanatusumbua mjini hapa
 
Sababu za kupinga zenye mashiko?
Tutajie "kijiji" kingine kimoja Chenye hospitali ya kanda.
Hatupingi maendeleo, tunapinga upendeleo wa ukanda na ukabila.

Huduma za kijamii zinapaswa kutolewa kwa vigezo ikiwamo "Population"
Chato ina watu wangapi?
Kwanini watu watoke Geita na Mwanza kuifuata hospitali chato?
Kwanini isijengwe Geita?
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Naunga mkono hoja. Ila tunahitaji mlima Chato, mrefu kuliko Kilimanjaro. Zile mashine kubwa za kuchimba dhahabu zinaweza kuchimba kifusi na kukirundika kutengeneza mlima. Bonde litakalotengenezwa litakuwa ndio Ziwa Chato.
It can be done!!!
Kama tumeweza kutengeneza mbuga ya wanyama ya Burigi-Chato kwa kuhamisha wanyama, tutashindwa mlima Chato? Halafu tunapata bonasi ya Ziwa Chato.

Halafu sio mbaya kufanya mashindano ya urembo kila mkoa, halafu washindi kumi wa kwanza kwa kila mkoa, wahamishiwe Chato! Baada ya miaka 10 Chato itaongoza kwa mabinti warembo, na hii itasaidia kufanya Chato iwe kweli kitovu cha utalii.

Magufuli Oyeee, wapinzani hamna hoja, kila kitu mnapinga tuuu???m
 
Akija kushtuka mitano hiyoooo
Mimi ninmwombea ndani ya miaka mitano akamilishe miradi yote hususan ya kanda hii iliyosahaulika miaka mingi kwa sababu ya ukimya wao na kubakia kuwa "king makers "tu. Tuache uchafuzi wa kisiasa
 
Kwani chato ni kanda gani mkuu
 
Mimi ninmwombea ndani ya miaka mitano akamilishe miradi yote hususan ya kanda hii iliyosahaulika miaka mingi kwa sababu ya ukimya wao na kubakia kuwa "king makers "tu. Tuache uchafuzi wa kisiasa
Ni kweli kanda ya ziwa ilisahaulika sana siku za nyuma, wakati wa nyuma kutoka Dar kwenda Moshi na Arusha barabara yote ilikuwa ni lami ila kanda ya ziwa barabara nyingi zilikuwa za changarawe na ilibidi kupitia nchi nyingine za Uganda na Kenya kwenda Dar. Hiyo yote watu wamesahau.
 
Back
Top Bottom