Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Kumbuka bado nafasi za utwuzi bado zinaendelea
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Hiyo hospitali ingejengwa lushoto au urambo isingehudumia wa Tanzania??? Tumia basi elimu japo ya darasa la saba kama ya form four pia imekushinda kutumia
 
19066092.jpg
 
Lindi haina Referral Hospital aisee wewe haujui ulisemalo..
Sokoine Hospital ni hospital gani pale Lindi?

Acheni kueneza chuki.
Sokoine ni Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, ni sawa na Mt Meru ya Arusha, ni sawa na Amana, Mwananyamala na Temeke, ni sawa na Sekou Toure ya Mwanza, ni sawa na Mawenzi ya Kilimanjaro, ni sawa na Ligula ya Mtwara nk. Hizi ni za Mkoa.
Hiyo huko Chato tumeambiwa ni ya rufaa ya KANDA, sawa na Bugando ambayo iko kanda hiyohiyo, sawa na Mbeya Referral.

Umeelewa au niongeze sauti?
 
Bugando sio mali ya serikali ni ya kanisa.So ni sawa tu kujenga Hospital kanda hiyo.
Si sawa. Wangeanzia na kanda ambazo hazina hospitali ndipo waje kufunga hizo za kanisa kama hawazitaki.
Hakuna haki kwa kanda moja kuwa na hospitali mbili za hadhi sawa wakati kanda nyingine hazina.
Na kama ni haki, basi wangejenga na ya kanda ya kaskazini kwa sababu ile KCMC nayo ni ya kanisa.
 
Kaskazini ina idadi ndogo sana ya watu. Huwezi linganisha na kanda kuu ya Ziwa. We vipi ?
Si sawa. Wangeanzia na kanda ambazo hazina hospitali ndipo waje kufunga hizo za kanisa kama hawazitaki.
Hakuna haki kwa kanda moja kuwa na hospitali mbili za hadhi sawa wakati kanda nyingine hazina.
Na kama ni haki, basi wangejenga na ya kanda ya kaskazini kwa sababu ile KCMC nayo ni ya kanisa.
 
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
hiviii huko kijijini kwenu na kwa mumeo mlikozaliwa kuna hata zahanati tu iliyojengwa ikakusaidia walao uweze kujifungulia vifaranga vyako?
 
Kumbuka watumishi wa umma wanaingia mwaka wa sita na mshahara ule ule wa July 2015.
Meko alishasema katika mauongo yake kuwa ikifika 2020 ataongeza mshiko hivyo tumuache ajenge kwanza!!! 2021 hiyooooooo mauongo yamepita na walalahoi wa sirikale kimyaaaa utazani hawapo kumbe wapo ila midomozege imewalegea hata kukohowa hawawezi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hospital ya rufaa kujengwa wilayani mbona kazi sana
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.

Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.

Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?

Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?

Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.

Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?

Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
 
Ama kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.

Airport chato
Referal hospital chato
Crdb chato
Pccb sijui chato
Wang yi chato
Filipe nyusi chato
National Park chato
Futuboli stadium chato
Modern VETA chato

Blesed people we Wana come chato in pilgrimage.
1. Airport Chato ni muhimu na tunakoelekea Viwanja vya ndege vitaendelea kujengwa maeneo mengi zaidi. Ni aibu kwa nchi yenye uchumi wa kati baadhi ya watu kulalamika Wilaya kubwa kama Chato kujengwa airport. Huko tuendako usafiri wa ndege na treni ya mwendo kasi itakuwa jambo la kawaida kabisa. Tuache ushamba!

2. Referral Hospital kuwa Chato sio jambo la ajabu. Kama miundombinu kwenda Chato inafikika kwa urahisi, kwanini watu wasitibiwe kutoka kona zote ndani na nje ya nchi. Kama watu waliweza kwenda India, SA, China, USA nk kutibiwa kwanini isiwe kuja Chato?

3. Location ya Hosp ni nzuri Sana na view hiyo inavutia Sana. Ukiwa juu kuanzia gorofa ya kwanza unatizama Ziwa Victoria. Kuangalia maji kunaonveza matumaini ya uhai! Hata nchi za wenzetu Hotel zenye view za baharini au kwenye any water bodies zina bei kubwa.

4. CRDB Chato! Kauli mbiu ya CRDB "ULIPO TUPO" Sasa wametimiza malengo yao wewe unapiga kelele! Huo ni upotolo! Wewe washauri waje kama Wilaya yako haina jengo au tawi la CRDB.
5. PCCB wanatoa huduma kama huduma hata kuelezea sioni sababu!

6. Wang Yi & Filipe Nyusi. Mlimtukana sana Rais Magufuli hatembeitembei, sasa anatembelewa mmeanza tena kulalamika. Hovyo kabisa!

7. National Park ilikuwepo hata kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani. Alichofanya ni kuifufua kama alichofanya sehemu nyingine. Hata ukmarishaji wa sekta hii ni mkubwa sana nchi nzima. Hakuna uharamia nk

8. Football Stadium - Ni Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM wa ujenzi wa Viwanja na kuiboresha sekta ya michezo Tanzania.

9. VETA - Huu ni mpango na ni Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi CCM kila Wilaya kuwa na chuo cha VETA.

Chato maendeleo ni haki yao! Wivu wa kike ni mbaya! Kuna watu wana "Chicken Vison" badala ya "Eagle Vision". Tuwekeze nchini kwetu tupunguze watu kukimbia Vijijini na kukimbilia Mijini. Maendeleo yatawanywe kona zote! Hata mlioiba na kuwekeza nje ya nchi ni wakati sasa wa kurudi nyumbani. Mtatoa na ajira kwa ndg zetu!
 
Mwisho wa siku na ww watakupeleka chato
 
Kwani Wakipinga, Wakizodoa ndio haijengwi? Kama Pesa IPO Madaktari Bingwa wa kutosha Ruksa.
Kukuwa zabanga's Gbadolite the white elephants. Jengeni muone kama kuna madaktari watakuja huko porini! Huko watu wanaponea matunda pori na mitishamba na hakika hata wagonjwa ni shida. Hivi nimpeleke mgonjwa chato ili niishi ile Js ya magufuli? maguful is really Magu fool.
 
Back
Top Bottom