Daima mpenda chongo huita kengeza.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Huyo Mtu wenu kuna siku mtamwokota barabarani akiwa Uchi wa Mnyama, msifieni tu kwa Ujinga aufanyaoNimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Bro nini tena? Hapa tunazungumzia maendeleo ya taif kwa ujumla.Huyo Mtu wenu kuna siku mtamwokota barabarani akiwa Uchi wa Mnyama, msifieni tu kwa Ujinga aufanyao
Hospital ya bil 9.1 amabayo itahudumia watanzania mil 18 ndio unaleta hoja kama hizi kuihoji?Ndio maana Kenya kuna kitu kinaitwa Devolution
Kwamba kila mji au jimbo linapata mgao wa mapato ya taifa kutokana na ratio ya output yake.
Huwezi chukua mapato kutoka sehemu zingine zote nchini na kupekea mahali pamoja tena hapajawahi kutoa output yeyote
Chato ingetakiwa ipate mgao wa maendeleo kwendana na output ya uzalishaji wao..
Tatizo jasho la wananchi wote Tanzania linakusanywa na kutumika sehemu moja tu nchini
Hii ni stealing by state
Eti hakuna tatizo Chato kujengwa....on the expense of jasho of all other 60milion citizens
Huu si uwiano mzuri wa kugawana keki ya taifa!
Sio kabisa
Atakuja Raisi mwingine yeye akiwa kibabu atampeleka mahakaman kwa ubadhilifu wa mali za umma akiwa ofsn. Ataondolewa Presidential immunity yaani kinga ya urahisi kama ilivyotokea kwa CHILUBA wa Zambia. Wiki iliyopita aliyekuwa Rais wa Malawi ambaye amepokelewa na huyu aliyekuja majuz kati Tanzania kutoka kambi upinzani, Mutharika akaunti zake zote benki zimekamatwa na utawala wa sasa. Hiyo ni Wake up call kwa watawala wanaojiona wao ni sheria ya nchi na kusahau kuwa utawala una ukomoYaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Kaka unafahamu maana ya hospital ya rufaa?Nani kakwambia?
Acha kuleta stori za kipumbavu wewe
Maendeleo hayawezi kutolewa kwenye keki ya taifa na kulisha sehemu moja tu....
Watu milion 18 wanatoka wapi Chato?
Acheni uongo....Lake zote yote Mikoa mitatu yoote ya Mara,Mwanza na Shinyanga population yao ni 6,100,496 ....jumlisha na mikoa mingine kutoka central Zone haifiki watu milioni 18
Punguani nyie
Mnadhani mnaongea na watoto wa kindergarten????
Wajinga nyie
Vitu chungu mzima kama vipi?Mkuu
Kuna vigezo vya kuweka "Hospitali ya Rufaa" pahali
Vigezo vya Chato ni uongo
Halafu naona umekomalia Hospitali tu,hospitali tunaweza kusema sawa wekeni
Vipi vitu vingine chungu nzima vimejengwa kwa makusudi Chato?Navyo hivyo uta-justify vipi?
Ndio maana tunasema jasho zima la Watanzania milioni 60 kwenye keki ya taifa lote linapelekwa Chato kujenga vitu huko
Tunataka katiba mpya kama ya kenya,keki ya taifa igawiwe kwa uwiano wa factors kibaoo
Sio huu upumbavu wa mtu mmoja kuamua keki nzima ijenge kawilaya kamoja kutokana na ubongo wake unavyomtuma
Hii ni pure stealing!
Kwani hospitali ilipojengwa Dar na hasa Mlonganzila mbona pande zote za nchi walienda kutibiwa pale? Kuna tofauti gani na Chatto kujengwa hospitali na kuhudumia watu wote. Hii ni univesal service!Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Jamani hivi CRDB walijenga makao makuu au walijenga tawi kama wilaya nyingine wanavyopewa matawi?
Siku utakayo rudi hapa ukilialia,ujue wanajukwaa humu hawana huruma na waimba mapambio kwa maslahi yao wanashindwa hata kuuona ukweli.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Wanapinga kwa sababu mmoja tu Chato inatishia watu fulani.watu wanapinga Chato kulundikiwa miradi yote ya maendeleo huku maeneo mengine ya kanda ya ziwa yakiachwa bila huduma.
Magufuli angejitahidi kusambaza neema ya maendeleo kwa maeneo mengi zaidi na siyo kupendelea kijijini alikozaliwa.
Watu wanapinga UPENDELEO, na siyo kitu kingine.
Wanapinga kwa sababu mmoja tu Chato inatishia watu fulani.
Ww ni kimaNimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri.
Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga.
Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania?
Kwani kujengwa Chato ndio tatizo?
Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda Rwanda,ghafla anapata ajali,Je hawezi kupelekwa Chato na kupata huduma za tiba? Huu ni mfano.
Nini hasa kinawafanya mzodoe na kupinga ujenzi wa hii hospitali muhimu? Rais JPM kuwa ametokea Chato?
Nadhani ni kipindi muafaka Askofu Bagonza na Askofu Mwamakula kuwaombea hawa vijana waliokengeuka kisiasa ili uzalendo uwarudie na kuipenda nchi yao.
Charity inaanzia nyumbani...wanapinga UPENDELEO.
..Nakumbuka kuna wakati JK alitaka kujenga uwanja wa ndege Bagamoyo watu walichonga kwelikweli.
..kinachofanyika Chato sasa hivi siyo haki kwa mkoa wa Geita, kanda ya ziwa, na Tanzania kwa ujumla.
Charity inaanzia nyumbani.