Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Ndio hosp isijengwe?Kumbuka watumishi wa umma wanaingia mwaka wa sita na mshahara ule ule wa July 2015.
Sababu za kupinga zenye mashiko?Siyo wapinzani tu wanapinga bali hata wanaccm tena ambao ni more privileged than you,wewe unasimamia ushabiki tu kama wa Simba na Yanga.
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri....
Ishu ni kuwa ipo Chato au accessibility?Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza,shinyanga,Tabora Geita au Kigoma mjini
Kwa nini isijengwe makao makuu ya mkoa?Ndio hosp isijengwe?
Kwani lazima kila mradi wa maendeleo ujengwe makao makuu?Kwa nini isijengwe makao makuu ya mkoa?
Ila ni lazima kila kitu kijengwa Chato!Kwani lazima kila mradi wa maendeleo ujengwe makao makuu?
Kila kitu?Ila ni lazima kila kitu kijengwa Chato!
Kumbuka watumishi wa umma wanaingia mwaka wa sita na mshahara ule ule wa July 2015.
CHATO Unapajua?Ishu ni kuwa ipo Chato au accessibility?
Kwani hospitali ya rufaa lazima ijengwe Chato? Unaona wanavyopata tabu kuipatia jina?Kwani lazima kila mradi wa maendeleo ujengwe makao makuu?
Kwani Wakipinga, Wakizodoa ndio haijengwi? Kama Pesa IPO Madaktari Bingwa wa kutosha Ruksa.Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri....
Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri....
VETA ya Chato pia umeisahau.Ama kweli wachato mmebarikiwa nyrere alikuwa lofa Sana.
Airport chato
Referal hospital chato
Crdb chato
Pccb sijui chato
Wang yi chato
Five nyusi chato
National Park chato
Blesed people we Wana come chato in pilgrimage.
Kurundikiwa miradi? Duh hamuoninserikali ya awamu ya tano ilivyosamabaza miradi Tanzania nzima?..watu wanapinga Chato kulundikiwa miradi yote ya maendeleo huku maeneo mengine ya kanda ya ziwa yakiachwa bila huduma...