Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Na pia itavutia watalii
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza,shinyanga,Tabora Geita au Kigoma mjini
tutumie tu lugha nyingine kuwa mimi sipingi lakini naingia ukakasi
 
..unapoweka veta, uwanja wa ndege, crdb, uwanja wa mpira, hospitali ya rufaa, msd, mahakama, mbuga ya wanyama, ktk jimbo moja la uchaguzi, ndani ya miaka mitatu, huo utaitwa UPENDELEO.
usijali UPENDE-LEO kesho watajuta!
 
Mfugale Tower Chato
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza,shinyanga,Tabora Geita au Kigoma mjini
Hospitali ya rufaa kanda ya ziwa iko Bugando Mwanza.
Kanda ambazo hazina hospitali za rufaa za kanda ni:
1. Kanda ya magharibi: mikoa ya Kigoma, Rukwa, Katavi (hata Tabora ni mbali na Dodoma na Mwanza)
2. Kanda ya kusini mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma

Nilitarajia kama hospitali za rufaa za kanda ni kipaumbele, basi zingeanzia katika kanda hizo ambazo hazina
 
Kurundikiwa miradi? Duh hamuoninserikali ya awamu ya tano ilivyosamabaza miradi Tanzania nzima?
AArusha, ya nne kwa kuingizia serikali mapato Jiwe amepeleka mradi mmoja tuu wa barabara ya km 2
Moshi hakuna lolote,miradi ya Chatto imeizidi mikoa yote ya kusini
Gbdolite ya Mobutu na Yamasoukrou ya Boigny inajirudia Bongolalastan
 
ni sawa na baba katika familia awe anaonyesha upendeleo kwa mtoto mmoja waziwazi....nchi ni yetu wote,tunawakumbusha tuu..mmezidi ujuha..
 

Hata mimi napinga, kwanini wasijenge Dodoma kwenye makao makuu ya nchi ambako ni center ya nchi mpaka waipeleke CHATO ?

Kuna siri gani huko CHATO ?
 
Lumumba wamemwaga watu kujibu kila hoja pinzani inayotolewa kwenye mada mbalimbali jf. Bahati mbaya majibu yao ni utopolo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…