Huu ujumbe ungewaandikia huko huko kwenye group la wasap ingeleta maanaTulimaliza Form four 2009
Hatuna mawasiliano yoyote baada ya shule
Shuleni hatukuwa marafiki kivile
Sasa mambo yamebadilika, tumekuwa wazazi, tuna majukumu mengine
Mijadala ya magroup haya ni mwalimu Fulani alikuwa anachapa, tulitoroka nk
Ambavyo Kwa Sasa havikusaidii
Suala la michango
Michango haikauki
Tulisoma wote baada ya hapo hatuwasilian, Leo unaona upo Mtwara nipo Musoma nitumie mchango ili iweje
Zaidi ya miaka 15 hujategeneza circle mpya ya kukuchangia mpaka muweke mikeka ya michango na kutuchoresha sisi makauzu tusiochanga
Mikeka ya michango ya misiba
Usipoonekana kwenye mikeka kinyongo
Mikeka ya michango ni kero
Me siwezi kukosa kumchangia rafiki na jirani yangu Aboubakar akiwa anaona nikamchangia mtu aliyeko Tandahimba kisa nilisoma nae
Tukiwa in touch nitachanga
Lakini siyo nione jina nianze kukumbuka eti huyu Rehema yule mfupi alikuwa anakaa mbele anaolewa sheria tuchange laki 10000, me sichangi hata 100
Ma groups yote Nina mpango wa ku left kama haya ma kero ya mikeka ya michango yataendelea
Hii inaonesha huna msimamo na unaendeshwa na jamii,, jisimamie mwenyewe
Ungeshaleft siku nyingi ujiweke kwenye ka Dunia Kako binafsi tuone kama hutakujahitaji watu maishani