Hakuna tija yoyote ya Makundi ya WhatsApp kwa watu uliosoma nao kitambo

Huu ujumbe ungewaandikia huko huko kwenye group la wasap ingeleta maana

Hii inaonesha huna msimamo na unaendeshwa na jamii,, jisimamie mwenyewe
Ungeshaleft siku nyingi ujiweke kwenye ka Dunia Kako binafsi tuone kama hutakujahitaji watu maishani
 
Sio kila uliyesoma utahitaji urafiki nae
Marafiki wanakuja
Maadui wanakuja
Hayo ndo maisha
 
Uhakika kabisa🤝
 
Huu ujumbe ungewaandikia huko huko kwenye group la wasap ingeleta maana

Hii inaonesha huna msimamo na unaendeshwa na jamii,, jisimamie mwenyewe
Ungeshaleft siku nyingi ujiweke kwenye ka Dunia Kako binafsi tuone kama hutakujahitaji watu maishani
Habari yako admin
Shusha mkeka wa mchango
 
Mimi nili left group la ukoo wakadai nikifa nani atanizika as if nikifa wakiniacha apo nitanukiwa mimi😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣
Kuna group la Wajukuu wapo Mikoani humo hata wanachokipost huwa sikielewi kabisa, nimenyamaza tu huwa sipost chochote wananiona nina dharau sana 🤣🤣🤣
 
Umeeleweka mkuu, kama ulivosema unaleft itakuwa njia sahihi.
 
Nachukia sana wale wanaokuja kwenye facebook na kuweka friend request!!!!! Ahhh jamaa eti tulikuwa mwaka mmoja college au university, so what? Miaka yote tulipokuwa tukisoma hata salamu hatukuwa tukipeana leo tuko nje na majukumu yetu ndio unataka kunijua? No way! Wengine eti tukikaa mtaa mmoja! So what? tulicheza pamoja? No! Kuna chochote tulichokuwa tukifanya pamoja tulipokuwa wadogo? No! Sasa unaniomba friend request ili iwe nini? Tuzungumze nini ilhali hatuna anything in common?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…