Hakuna tija yoyote ya Makundi ya WhatsApp kwa watu uliosoma nao kitambo

Ma-group ya WhatsApp ya watu wa zamani ni poa sana, ukisoma vitu unapata flash back ya nguvu, mnakutana mnachoma nyama na kupunguza stress, wachumba wa zamani una wamega, ni unyama sana unless kama haukusoma mjini
Huwezi kuwa rafiki au kuwajibika Kwa kuwachangia Kwa kila uliyesoma nae
Utakuwa nao baadhi mnaoendana
 
Mtu ni watu. Jitahidi kuwa karibu na wenzako, usijitenge
 
Mi Fb ndo imenishinda kabisa sipogo huko
 
Nina magroup 9 mengine ni magroup ndani ya group...yote school mates....😊😊😊kuanzia la shule ya msingi...
Kati ya yote nalipenda la shule ya msingi...pale tunakua wote tunacheza mtaa mmoja...maisha ya kijamaa kabisa watu wanakumbushia kumbe walikua wana kucrashia ww hujui..si bado mtoto...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„kwa sasa tumekua wakubwa tuna miji yetu na familia zetu..tuna share good memories za miaka zaidi ya 20.....it is amazing...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…