Hakuna tija yoyote ya Makundi ya WhatsApp kwa watu uliosoma nao kitambo

Nina group tulimaza wote drsa la saba tuko 76,halipo active kivile ila ikitokea member kafiwa na mke,mtoto,baba,au mama haipiti siku nne una laki 7 kibindoni....yaani tulisema kila mmoja atoe 10 tu!wana muitikio sijawahi ona kabisa
 
Sisi bana
Tuna group letu tuliomaliza form 4 miaka hiyooo....

Mpaka wengine wamepata wenza na tukawafungisha ndoa. Darasa letu lilikuwa special na tumekutana tukiwa wakubwa tena tumejikuta ni ndugu.

Nyie mlikuwa hamna umoja na mlikamiana sana shuleni ndo maana mpaka leo mpo mpo tu wala hamuwezi kuelewana
 
Kuna kipindi nilikua jobless wakaniunga group la form 4 kuna mbwa 2 ziko ulaya zina sifaa kuposti!! ndo zilinifanya ni left kwa wivu bora group la pilau za watu maarufu almaarufu connection
 
Nina group tulimaza wote drsa la saba tuko 76,halipo active kivile ila ikitokea member kafiwa na mke,mtoto,baba,au mama haipiti siku nne una laki 7 kibindoni....yaani tulisema kila mmoja atoe 10 tu!wana muitikio sijawahi ona kabisa
Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…