Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Sasa wewe hiyo hali ya hewa hapo unaionaje.. Unaona jua hapo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kati ya mimi na wewe nani anatoa porojo.? Nani alikwambia rangi inaleta heshima, wenzako wametafuta heshima kwenye makombe unaanza kujifananisha kwenye rangi ya jezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakujibu kulingana na akili yako au unavyojieleza, hivi nani alianza mambo ya rangi?

Kama ulikuwa unajua heshima ni makombe kwanini ulianza masuala ya rangi?
Sasa kati ya mimi na wewe nani anatoa porojo.? Nani alikwambia rangi inaleta heshima, wenzako wametafuta heshima kwenye makombe unaanza kujifananisha kwenye rangi ya jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulingana na picha husika wewe unaona kuna hali yoyote ya joto hapo.? Tazama picha na ndicho nilicho maanisha wewe MJUAJI

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kwamba toka mmepata hizo Track hazibanduki mwilini, mechi ya Simba na Yanga, Yanga imetoka ilikujificha mchana hadi Taifa saa tisa, mpaka kuanza mechi saa kumi..

Sasa muda wote wa jua kali kiwango cha joto 35-36 hata mwanafunzi wa darasa la kwanza hawezi kuvaa..Jitambueni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetuma picha ya track wewe ukaanza kuzungumzia habari za rangi ya heshima. Heshima haijalishi unavaa rangi gani, heshima ni makombe.

Haya mambo ilikua huwezi kuyakuta kipindi chetu. Nyie ni limbukeni akili fupi. Ifike kipindi muanze kuzoea pesa sasa.
Nakujibu kulingana na akili yako au unavyojieleza, hivi nani alianza mambo ya rangi?

Kama ulikuwa unajua heshima ni makombe kwanini ulianza masuala ya rangi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi chochote. Ngoja nikuache
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu kwa nini mechi 99% kwa Mkapa ..Mikia wanapata kura ya kuchagua goli??? Mechi moja tu Na Lipuli ndio walikosa wakabanwa mbavu....Great thinkers mmeona hii
 
Wewe una matatizo kichwani..Hivi aliyeanza kuzungumza mambo ya rangi ni mimi kweli? Unaota nini..! Umetuma Track na nikakutumia track ya Simba

Ndo ukasema hiyo rangi kama wauza madafu wa pwani..Yaani wala hujui ulipoanzia, angalia maneno niliyoyasema baada kutuma track, sikuzungumzia rangi..!

Unalewa nini? Peleka mbele njaa yako huko


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga siku hizi mmekumbwa na nini sio wale Yanga wa 2015 kushuka chini? Mnajiita mabingwa wa kihistoria alafu kwa misimu mitatu hamjamfunga mtani wenu wa jadi, nyie kushinda kwenu ni sare lakini Leo mmefungwa goli moja na kumwachia point 3 bado mnaona sawa tu, afu cha ajabu baadhi ya mashabiki wanasema tulistaili hata tano.
Yanga mjitathmini kwa kweli si kwa mlivyo sasa. Miaka mitatu hamjamfunga simba kwenye ligi ila bado mnaona ni jambo la kawaida.
Yanga mmekumbwa na nini haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Zanna Coulibali Kamkalisha mwanaume Chini! ....afu kuna watu walimwita Zaina !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…