Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Wasambaa tunapaita miima ya ushotonaweza sema na uzembe pia ulichangia mame mdodo, kwanza ulikulia milima yawapi? Wanalima maharage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasambaa tunapaita miima ya ushotonaweza sema na uzembe pia ulichangia mame mdodo, kwanza ulikulia milima yawapi? Wanalima maharage
hahaha natumai utaweza, si unafahamu lugha za kwetu sikama kimasai au ki iraqHahahah
Nitaweza sasa kuwa mwalimu wako
Ardhi ya lushoto imetulia sana mami, huna mashambani ya urithi tufanye biasharaWasambaa tunapaita miima ya ushoto
Hahahah wewe mtu bwanaArdhi ya lushoto imetulia sana mami, huna mashambani ya urithi tufanye biashara
mwenzio nataka kulima!!!Hahahah wewe mtu bwana
Inasaidia kufunga upande wa mashabiki wao..kwa nini inakuwa hivyo jiulize Na wewe mbumbumbu
Anaitwa Amber RuttNaona Zanna Coulibali Kamkalisha mwanaume Chini! ....afu kuna watu walimwita Zaina !
Mzee wa majaro!!! ila huyu jamaa tulimkosea heshima mwanzoniUmekuuma beki wako kukalishwa chini[emoji23]
Huyo ndo Zana Coulibaly yeye kazi yake ni kumwaga maji ndani ya box
Hii ya KITUO KINACHOFUATA NI IRINGA ungemalizia kabisa ni kwa sauti ya yule mdada wa mabasi ya Mwendokasi (UDART)Ligi Kuu ya Tanzania kwa mzunguko huu wa lala salama, hakuna Klabu ya mpira yenye uwezo wa kuifunga Simba SC kutokana ubora wa kikosi.
••Watafanya Nini Sasa Uwezo Hamna
Simba SC imekuwa ikitandaza gozi la ng'ombe vema kabisa kwa viwango vya juu, huku wakipiga pasi za maana zilizothibitishwa na Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kusababisha Simba SC kupata matokeo chanya.
Klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi wao wanachokifanya ni kutiririka tu kwenye mtelemko wa kuzoa pointi tatu kila mchezo, Yanga kachukua kidude 1-0 Uwanja wa Taifa, African Lyon kagaragazwa 3-0 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Azam FC kachapwa 3-1 Uwanja wa Taifa, klabu ambazo kidogo zilikuwa zikitegemewa kuleta upinzani wa kupata walau sare, kwa mukhadha huo hakuna kwa sasa timu ambayo itaifunga Simba SC kwenye TPL.
••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Katika mwendelezo wa kukusanya pointi tatu tatu kila sehemu, kwa sasa kituo kinachofuta ni Ipogolo mkoani Iringa ambapo Lipuli watalazimika kushuka katika eneo lao nakuacha pointi tatu huku safari ya Watakatifu Simba ikiendelea.
Klabu ya Simba imeondoka leo kuelekea mkoani Morogoro ambapo leo jioni watafanya mazoezi kisha kesho asubuhi wataanza safari kuelekea mkoani Iringa ambako Jumanne itakipiga na Wanapaluhengo Lipuli FC.
Niiii Ghazwat kwa niaba ya sembo OKW BOBAN SUNZU Shunie King Ngwaba Sapta Sapta Tui tunawaambia watani zetu Sibonike Mwana Mtoka Pabaya Shadeeya Prince Kunta Kila timu ishinde mechi zake..!View attachment 1030312View attachment 1030313View attachment 1030314
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahivyo alipochezesha Taifa na matokeo yakawa droo mkashangilia mlijua Kesho ndo Jana [emoji23] [emoji23]What a coincidence!!! Refa aliyechezesha Mikia na Lipuli Taifa....kachezesha tena leo Iringa