Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Kumbe Kamwene ni Yanga kizungu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Yanga wanatamani kusema Simba SC, imenunua mechi ya Lipuli FC, lakini wakikumbuka hata wao tuliwanunua wanaishia kukaa kimya.
 
Kwahivyo alipochezesha Taifa na matokeo yakawa droo mkashangilia mlijua Kesho ndo Jana [emoji23] [emoji23]

Soma heading utaelewa mkuu..SimbaNguvuMoja
Mbona Yanga Na Mikia yule Dada hakuchezesha tena!!!!!!
 
Back
Top Bottom