Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed!
Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini!
Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana!
Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single!
Hata umhudumieje, utembee nae vipi, umpetpet vipi lakini mkikutana na msukosuko midogo tu ya maisha hawezi kuuvumilia anarudi zero,
utasikia naenda kuonana/ kujadiliana na mzazi mwenzangu kuhusu watoto!
Mbinu pekeee ya kuishi na mtalaka ni kuhakikisha hukutani na vizuizi njiani na hata kama vipo wee pita na mia ili mshale usirudi chini Lakini tambua kwamba chombo yako haitadumu! (Chombo yenyewe ni wewe mwenyewe)
Maisha ya kumvumilia mtu anaekupa stress yanauwa taratibu kama kansa!
.......Do it at you're own risky!..….