PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Nyie mnao kwenda kuoa single mother huo ujasiri hua mnautoa wapi 🤔🤔 wale walioko single hamu waoni 🤔🤔 yani hapo ni sawa na unakua umenunua uwanja wenye mti, kuna siku alie kuuzia atakuja kudai alikuuzia uwanja sio mti 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Watu tayari wana hizi memories, unadhani ni breackables hizi kweli? Hawa wameoumzishana tu, lazima wataanza kukumbukana qakati umembeba mbija wao.