Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

Yaani ni hatari. Na wakikutana kwenye matukio hayo ya kifamilia kama ni kijijini wanalazwa chumba kimoja
Yaaan balaa muwe mmeshazeeka lazima upagawe maana mnakuwa mshawekeza
 
there is no past kwenye mapenzi....fikiria hata ujue aliyemtoa bikira mkeo na mke anakwenda mitaa jamaa anakoishi..........!!!!!!!!!!!!!!!?????
Hilo la bikira halina reference kama la watoto
 
Ukioa mwanamke mzuri unakuwa mwanaume mwenye furaha.
Ukioa mwanamke msumbufu unakuwa MWANAFALSAFA.
 
Solution
Solution ni kumuua x wake
 
Solution

Solution ni kumuua x wake
Kuna jamaa yangu aliwahi pata mwanamke alikuwa katoka kuolewa ...akamshauri wakamuue aliyekuwa Mme wake!....jamaaa aliwaza sana akamshauri asifanye hivyo!
 
Bro hakuna kanuni ila historia itakutesa kidogo
 
Uwe na HAKIKA lazima mtu huyo alikupata kabla hujampata.


Wenye AKILI wameelewa.
 
Wengi wanakomenti huu Uzi ni vijana chini ya miaka 30,hivi visingo lady hamna kitu kabisa
 
Kwanini uoe mtalaka utakuwa huna akili timamu kabisa
Inashangaza sana!

Pamoja na serikali kutangaza ktk sensa ya watu na makazi kwamba idadi ya wanaume imezidiwa na jinsia pinzani lakini bado tupo wanaume tunajadili haya masuala ya kuoa single mama's na watalaka(wajane hawaingii ktk hili kundi maana wao hawakutaka shari).

Unaoa mwanamke aliyezalishwa?ana nini cha ziada amekupa!unaoa aliyeachwa?yaani unaamini mwanamke aliyemshindwa mwanaume mwenzako wewe unammudu!tena hawa unawapiga mkia unaacha huko chini linagaragara maana sometimes huko lilikotoka kuna mwamba amegawana nae mali akamtia njaa.
 
Kuna wanaume wasumbufu sana na wao ndo chqnzo Cha ndoa kuvunjika,Kuna wanawake wanavumilia sana mwisho wanashindwa wanaamua kuondoka inamaana wakiondoka wmekosa sifa za kuwa wanawake Bora hebu mtuqmbie huo ukamilifu na matendoyenu safi mlonayo tujifunze kisha muendelew kuhukumu waliotalikiwa
 
Kama ni mumeo, mweke katika maombi, Mungu atambadili TABIA.

Mungu anachukia kutengana.

For better, for Worse,

Ni msalaba wako huo, kama umekushinda wewe, uwe na HAKIKA atakuwa tatizo zaidi Kwa wengine pia.

Kama hutaki kurudi Kwa mumeo, Baki mjane maisha Yako yote Hadi mumeo atoweke duniani ndipo uombe Kwa Mungu mume mwingine.
 
Kumbe mwenye wajibu wa kutunza ndoa ni mwanamke tu
 
Toka enzi na enzi imeandikwa kuwa wanawake wanapenda wanaume wasumbufu, wanao wachachafya. Siku moja atamkumbuka huyo msumbufu wake na wewe good guy utabaki unashangaa ulipokosea. Unashangaa anarudije alikoteswa. Ni bora aliyeachwa na mpole kuliko aliyeachwa na msumbufu.
 
Hatari
 
there is no past kwenye mapenzi....fikiria hata ujue aliyemtoa bikira mkeo na mke anakwenda mitaa jamaa anakoishi..........!!!!!!!!!!!!!!!?????
Wakati mwngne ss wanaume tuna makosa,ila lawama tunawapa wanawake.tumejijengea mfumo dume,kuna jamaa alikuwa anamwibia mke wake pesa anaenda kulewea mwanamke kamkimbia ila lawama zimeenda
 
Wakati mwngne ss wanaume tuna makosa,ila lawama tunawapa wanawake.tumejijengea mfumo dume,kuna jamaa alikuwa anamwibia mke wake pesa anaenda kulewea mwanamke kamkimbia ila lawama zimeenda
Ni wengi tu
Na hakuna mwanamke duniani na hatotokea ambae anataka kuachika au aolewe Ili aachike ila Huwa inatokea tu mambo kuwa hayaendi

Na wanasema ukiona ndoa imevunjika tafsiri yake mwanaume kashindwa kuwa mume bora sababu ila wanaangushia wanawake makosa Yao
 
Hakuna mwanamke anaejua kuigiza tabia nzuri kama mwanamke mwenye mtoto alafu hajaolewa(achana na wale waliofiwa na mume wale hawana tatizo)

Hawa waliozalishwa kutokana na machepere yao Ni kama anakuingiza kwenye mtego wa landmine ukijichanganya tu kutoka hai ni ngumu sana una asilimia kubwa ya kukanyaga bom uripuke nalo
 
Mwanamke aliyezaa au aliyewahi kuolewa hafai milele kuolewa, sana sana mzalishe na umtelekeze kama alivyo achwa... Ni wapumbavu singo maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…