Nyie mnao kwenda kuoa single mother huo ujasiri hua mnautoa wapi π€π€ wale walioko single hamu waoni π€π€ yani hapo ni sawa na unakua umenunua uwanja wenye mti, kuna siku alie kuuzia atakuja kudai alikuuzia uwanja sio mti πΆπΆπΆπΆπΆπΆ
Wanasema huwa wameshajieekebisha kutoka kosa LA kwanzaMwanamke aliyezaa au aliyewahi kuolewa hafai milele kuolewa, sana sana mzalishe na umtelekeze kama alivyo achwa... Ni wapumbavu singo maza
sasa oa huyo mwanamke uone shida atakayokupa. Hata wewe atakuona ni mwizi tu kama mumewe wa zamani. Upuuzi wote wa ex wake atakutwisha wewe. ndipo utajutaWakati mwngne ss wanaume tuna makosa,ila lawama tunawapa wanawake.tumejijengea mfumo dume,kuna jamaa alikuwa anamwibia mke wake pesa anaenda kulewea mwanamke kamkimbia ila lawama zimeenda
mwanamke mtii ndiyo furaha ya mume. zaidi ya hapo ni kujidanganya tuUkioa mwanamke mzuri unakuwa mwanaume mwenye furaha.
Ukioa mwanamke msumbufu unakuwa MWANAFALSAFA.
ndiyo sababu zamani suala la kuchagua mke lilikuwa jukumu la wazeeπ...Yaaan balaa muwe mmeshazeeka lazima upagawe maana mnakuwa mshawekeza
Exactlyndiyo sababu zamani suala la kuchagua mke lilikuwa jukumu la wazeeπ...
Yaan kila ufanyacho anakompea na ku-peste waah! Full visasisasa oa huyo mwanamke uone shida atakayokupa. Hata wewe atakuona ni mwizi tu kama mumewe wa zamani. Upuuzi wote wa ex wake atakutwisha wewe. ndipo utajuta
Raha ni muoane watalaka wote.Hiyo kitu niliipinga sana maana nilijua ipo siku itaniumiza tu. Mara mtoto akupe stress, mara mama nae asumbue.
Ni kweli ndoa ya mtalaka yahitaji moyo, kuna wakati lazima arudishe masheji kwa mzazi mwenzie.
mtauana baada ya fungate maana kila mmoja atamuona mwenzake ni mpuuzi kama ex wake. Mtaishi kwa mashaka na kuviziana sana.....ndiyo maana si kila wakati talaka ni suluhisho la migogoro ktk ndoa. iwe suluhisho la mwisho maana ni doa la ndani na nje.Raha ni muoane watalaka wote.
Ebo! Mtalaka hatongozwimtauana baada ya fungate maana kila mmoja atamuona mwenzake ni mpuuzi kama ex wake. Mtaishi kwa mashaka na kuviziana sana.....ndiyo maana si kila wakati talaka ni suluhisho la migogoro ktk ndoa. iwe suluhisho la mwisho maana ni doa la ndani na nje.