Pre GE2025 Hakuna Uadui wala Urafiki wa Kudumu kwenye Siasa Lissu karibu CCM ulitumikie Taifa kwa maono uliyonayo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngoja túone
Dhahiri,Haya mataifa yetu ni kichekesho,mtu akiwa chama tofauti na kinachotawala utaifa wake unakoma,Jambo analoliweza kuliko Mcomoro mara elfu Moja atachuliwa mkomoro eti wanakwepa isije ikaonekana wale wa upande mwingine wanaweza kuliko.Wakibanwa kama kwa nyayo ndipo akili zinarudi na wanatambua vyama siyo taifa,Kila fito inajenga nyumba Moja.
 
Jana tu niliandika humu kuwa kila Kiongozi wa Upinzani ana "price tag" yake. Na naendelea kushikilia msimamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…