Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

Huyo anatafuta uteuzi tu wala hana lolote, mbona wakiwa Tanzania hawapandi mabasi au Tanzania hakuna mabasi?
 
Niliishawahi kupanda na treni na mfalme wa nchi Moja hivi na alilipa nauli.
 
Kweli.
 
Tatizo letu huku Africa magari ya anasa huwa tunaona ndio maisha lakini kwa wenzetu mabasi na Trums ndio big deal !!
 
Huyu lazima asifie anataka na yeye asali kidogo
 
Amemiss misafara mirefu huku na kuchezea mali za umma
 
Huku wanaishi maisha ya anasa sn
 
We na mshamba mwenzako ndiyo hamuelewi, kwanini wakiwa Tz hawapandi mabasi? jibu swali hapo
 
Wajibu hoja wote wa CCM ni wajinga tupu
 
Tena itakuwa vizuri viongozi wetu wakiwa dodoma kwenye vikao vyao wawe wanatumia,baiskeli kwenda mjengoni
Kwanza itawasaidia sana kujenga mwili nk

Ova
 
Tumezoea utumwa wa kuwaona watawala kama miungu na ni kwa vile wanagawa vyeo. Mwafrika hakupashwa kuumbwa.
Kinachokera ni kwamba wakiwa hapa nchini ulinzi ni mkali na msafara wa magari ya kifahari zaidi ya 30. Wanapopita barabarani wengine mtakaa pembeni zaidi ya masaa 2 lakini wakiwa kwa wenzetu huko Ulaya wanapandishwa kwenye daladala. Aiseee? Sasa kwanini watumiaga kodi zetu kwa ulinzi usio wa lazima hapa nchini? Misafara mirefu bila sababu za msingi?

Hivi ilikuwaje viongozi wote wa Kiafrika walitafutiwa gari lao weneywe? Hilo gari hajapanda hata muhindi achilia mbali mwarabu. Aisee?! Ubaguzi wa ajabu sana.
 
 

Attachments

  • 20220916_212941.jpg
    81.3 KB · Views: 2
Hongera ndugu, wabunge utawala wa Nyerere walipanda mabasi, treni pia walipanda kwenda Dodoma bungeni.

Wakitaka V8 wanunue Kwa pesa zao mfukoni na watuambie wamezipataje!!¡!!

Hapo tutakuwa sawa ktk Nchi yetu.

Ameeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…