DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Duh Kweli Elimu Inahitajika!Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Amehoji Vizuri sana Nilihisi Utampa Majibu Stahiki ila Umepiga Blah blah blahSoma vizuri torati au agano la kale au taurat ulinganishe, pia jikumbushe uislam unavyomkubali Yesu wakati ukristo ukigoma kutofanya hivyo. Jielimishe kwanza badala ya kuhoji bila kujua unachohoji mwanangu. Simpo.
Bila ukristo biblia tungeijua wapi? Unajua nani waliiandika au unahoji kuhoji tu kibubusha mwanangu? Usomi unaomaanisha hapa ni upi mwanangu? Bila agano la kale hakuna uislam wala ukristo maana ngano zake za uumbaji huanzia hapo. Ni rahisi hivyo hata bila kuwa na PhD kama mimi mwanangu.Duh Kweli Elimu Inahitajika!
Ukristo na Agano la kale wapi na wapi..
Ni bora hata Ungesema Wayahudi..
Bora hata wayahudi Ndo wangesema Bila wao hakuna Dini za Ibrahimic zote..
Ningekuona Msomi kama Ungesema Bila Ukristo hakuna Dini ya Wamormons
Yeye Mohamed alisema hakusoma ndiyo maana hata alishindwa kutamka Iqra Bismi Rabikka alipambiwa asome wewe unasema alikuwa amesoma. Vipi mwanangu kama siyo kudanganya na kujidanganya?Tatizo lako wew unajua kusoma ni mpaka mtu aende darasani, Nabii muhammadi alisoma na mwalimu wake alikua gibril/ gabriel, yesu sijamfuatilia sana ila alisoma, plato alikua mwanafunzi wa socrates kwa hiyo wewe ndo hujasoma na unaongelea vitu usivyo na elimu navyo
Kiumri Mimi Ni babu yako!Bila ukristo biblia tungeijua wapi? Unajua nani waliiandika au unahoji kuhoji tu kibubusha mwanangu? Usomi unaomaanisha hapa ni upi mwanangu? Bila agano la kale hakuna uislam wala ukristo maana ngano zake za uumbaji huanzia hapo. Ni rahisi hivyo hata bila kuwa na PhD kama mimi mwanangu.
Umeleta mada bila ushahidi kitaalam tunaita "RANTING" au kwa kiswahili "KUROPOKA".Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Unajua Maana ya Iqra Bismi Rabbika?Yeye Mohamed alisema hakusoma ndiyo maana hata alishindwa kutamka Iqra Bismi Rabikka alipambiwa asome wewe unasema alikuwa amesoma. Vipi mwanangu kama siyo kudanganya na kujidanganya?
Hapo ndipo alipozaliwa YESU KRISTO tayari miaka 600 inasomaIshu ni kuwa ukiristu umekuwepo miaka 600 kabla ya Islam. Ila Hawa jamaa wanakuambia uislam ulianza tangu kuumbwa kwa ulimwengu
Sasa hapo si ndo wakati anaanza kusomeshwa au we umeelwajeYeye Mohamed alisema hakusoma ndiyo maana hata alishindwa kutamka Iqra Bismi Rabikka alipambiwa asome wewe unasema alikuwa amesoma. Vipi mwanangu kama siyo kudanganya na kujidanganya?
Inaonekana hujui historian ya dini yoyote Bora ungenyamaza na ulivo mbishimbishi Sasa iqra bismi rabikka unajua maana yake? Nenda katafute maana ndo uje uropoke vizurYeye Mohamed alisema hakusoma ndiyo maana hata alishindwa kutamka Iqra Bismi Rabikka alipambiwa asome wewe unasema alikuwa amesoma. Vipi mwanangu kama siyo kudanganya na kujidanganya?
Wachina wana imani Yao msiwaingize kwenye Ibrahimic Religion wao hata Mbingu hawaijui kama Ipo 🤣Mambo mengi ktk uislam nayakubali ila lile la kudai kwamba lugha itakayo kuwa inazungumza huko mbinguni ni kiarabu tu.
Sasa wachina zaidi ya billion moja watakuwa wanazungumza lugha gani.
Au tutajikuta tu tunazungumza kiarabu?
Uislamu ni zao la Roman Catholic,uliundwa kwa lengo la kuvuruga vuguvugu la harakati za kuipinga taasisi ya RC na makasisi wake waliokuwa wanawatesa na kuuwa watu waliokuwa wanapinga uongo na upagani wa RC uliokuwa umeingizwa kwenye taratibu za ibada.Torati na Ukristo wapi na wapi ndugu?
Wakati wa Musa Ukristo ulikuwepo? Ndiyo ulivyofundishwa Sunday School?
Kama kitu huelewi kaa kimya na uulize aliyekuambia wakristo Wana Miungu watatu alikudanganya,Waislam wanaabudu Mungu mmoja tu, hao wengine wana miungu watatu mwana Baba na roho
Kumbe Muhammad ni mrumi🤣🤣🤣Huyo ni dini iliyoanzishwa na warumi. Haiwezi jisimamka yenyewe bila Ukristo ndio maana wanatumia muda mwingi kuuongelea Ukristo kuliko dini yao.
🤣🤣🤣.kwa hyo Muhammad Ali weka kwenye utumie na roman Catholic.Uislamu ni zao la Roman Catholic,uliundwa kwa lengo la kuvuruga vuguvugu la harakati za kuipinga taasisi ya RC na makasisi wake waliokuwa wanawatesa na kuuwa watu waliokuwa wanapinga uongo na upagani wa RC uliokuwa umeingizwa kwenye taratibu za ibada.
Bahati mbaya sana ni kuwa, baada ya kumpika vizuri Mudy [Mohammed]kimafunzo na akaiva, jamaa alivuruga mpango mzima wa makasisi wa RC,ambao walitaka liwe zoezi la muda mfupi, lakini mudy akajirasimishia mamlaka na kutumia nguvu kubwa sana [kwa kumwaga damu sana]ili kulazimisha watu kuwa waislamu.Makasisi wa RC walishindwa kumdhibiti huyo kijana [Mudy], ndiyo maana uislamu upo hadi sasa.
Huu ni ukweli ambao viongozi wakubwa wa RC na hata wa uislamu [baadhi]wanaujua.
Wahi kitanda pale Dom.Dini zote ni TAKATAKA, zilichokifanya ni kumkopi mtangulizi wake, ukristo ni Copy ya Imani za wagiriki+warumi ambao nao walicopy Imani kutoka Misri, ambayo nayo Misri ilicopy Imani halisi ya Uafrika katika nyakati na Falme kabla yake, ndiomana hizo stories zote za hayo mafundisho na hizo dini zinafanana sehemu fulani Fulani na baadhi ya sehemu ya hizo hadithi zinapingana.
Baada ya ukristo ndipo wakaibuka hao vilaza wa mwisho huko uarabuni waliokopi ukristo wa urumi na kuunda hiyo Quran na stories zake zilizochanganywa na tamaduni za uarabu.
Dini zote kuanzia ukristo, uislam, uhindu, rastafar, ubudha, uyahudi na TAKATAKA zifananazo zimeundwa kwa stories Moja kutoka Misri+Afrika ya kale ambayo Leo hii majambazi wa kiarabu wanaikalia kimabavu kwa kuharibu historia na kuifanya ionekane ni Yao
Pia mjue kuwa history haijaanzia Misri ya kale Bali kulikuwako Falme na staarabu mbalimbali kubwa zaidi ya hiyo Misri ambayo wazungu+waarabu wamewakalilisha kuwa hiyo ndiyo Falme pekee ya kale Afrika, kumbe zilikuwako nyingi, mfano Falme za huko Kushi, Falme za Babel ama East Afrika, Falme za Central Afrika ambayo wao kidini wamechange wanaita Israel, pia Falme za South na Central Afrika zilishakuwepo zilizokuwa na Ukubwa na utajiri wa Kila aina, kuanzia technologies ambazo kwa sasa hazipo na hatuna uwezo wa kuzifikia.
Kiufupi kizazi cha Sasa tunaishi katika UONGO by 100, maana historia ya dunia imepotoshwa Kila jambo linaelezwa ndivyo sivyo.
Historia ya muafrika imeporwa na kupewa hao wazungu+waarabu, huku sisi tukipewa sifa mbaya na historia ya uzushi waliyoitunga wao inayoanza pale walipoanza kuitawala Afrika kimabavu, lkn hawaelezi ukweli Nini kilikuwepo Afrika kabla ya utumwa,
Afrika ndiko makazi halisi ya viumbehai, Afrika ndiko kituo cha Miungu wote ambao ktk dini zenu mnawaita malaika, ambao walikuwa wakitoka ktk uhalisia wa Ulimwengu wao na kuingia duniani kupitia Afrika.
Afrika ndiko kitovu cha Maisha ya dunia na lango kuu la kuingia ktk Ulimwengu wa Miungu(mbingu), baadhi ya wazungu wanalijua hili ndiomana wanaendelea kuikalia Afrika kimabavu wakijua siku watapata Siri za Nguvu za ASILI za Ulimwengu kupitia Afrika.
Mambo haya kwa bahati mbaya hayafundishwi mashuleni maana sisi waafrika tumebaki kutegemea elimu ya mzungu ambayo ameshachuja mambo ambayo anataka tujue na yapi tusijue, bahati mbaya kwao, hivi Sasa kizazi hiki tuna bahati maana ukweli umeanza kufunuliwa.
Achaneni na hizo dini mnapotezewa muda.
Yesu alisoma usimlinganishe na maamuma mwamwediKujua nini na kwanini? Kuna wazee wengi ambao hawakujua kusoma na kuandika lakini waliwapeleka watoto wao wakasoma hadi vyuo vikuu. Akina Plato tunaowakariri kila uchao hawakuwa wamesoma. Yesu na Mohamed wanaofuatwa walikuwa maamuma wa kawaida tu wasio na shahada wala cheti chochote mwanangu. Akina Mkwawa na Mirambo wala hawakuona darasa lakini walifanya makubwa kuliko hao wasomi wako.