Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Unajua Kitu ambacho nimekiona ni Kimoja..
Umesoma Vitu Vingi sana kwa Wakati Mmoja mpaka Inafika Muda Unavichanganya😁

Yaani umeelzea Maswala ya Constantine (Ambayo ni ya mwaka 306-337AD) na Ukamtaja Kuwa Costantine alikuwa Mkristo ukaja ukaongelea Maswala ya Uprotestant na Kubatiza na Chokochoko za Martine luther (Ambazo zilitokea Miaka ya 1500s)
Hapo hapo ukaongelea Masalia ya Mitume ukaongelea Migogoro ya Rumi ukaja Ukaongea maswala ya Ottoman empire Ya Miaka ya 1200 mpaka 1300s..
Ukaongelea Kuhusu Italy na Vita ya Ottoman..

Sasa Ukipata Muda Jitahidi Uwe Unapanga Hoja Atleast weka wazo Zima la Hoja yako Kwenye Paragraph moja au Mbili au zaidi ili kurahisisha Wazo kuu Kujulikana..

Hata hivyo Bado hujaonesha How Vina Relate na Kuanzishwa Kwa Uislamu Mwaka 622 Yaani How Tukio la mwaka 1500 Lihusianishwe na Tukio la 622..
Ndiyi swali lilipojengewa hapo
 
Tutaendelea kesho; ngoja tuomboleze na matokeo ya Simba na Constantine😁😅
 
Unajua unaongea vitu common hapa, hakuna asiyejua kuwa BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu na hii inaitwa HOLY BIBLE "BIBLIA TAKATIFU" unaelewa?

Unaelewa Nini YESU alipomwambia Petro lisha kondoo zangu?

Wakristo wamejimilisha kutoka Kwa nani vitabu vilivyoandikwa na kina Musa, Samweli, Paulo, Mathayo, Yohana nk.

Wamejimilikisha kutoka wa nani?
 
Kwani hivo vitabu vimetusaidia nini zaidi ya kutujaza chuki, kutojiamini na kutojithamini, kuthaminiana, kudharauliana, kutukanana na kujitukana, kujikana, kupwakia mila za wengine, migawanyiko, ujinga, utumwa kimila,na uzwazwa?
 
Hebu niambie uyahudi ulikuwa duniani miaka mingapi kabla ya ukristo?
Anza kuhesabu Abram kabla hajawa Ibrahim mpaka YESU KRISTO, kizazi baada ya kizazi ni miaka 400 utapata jibu
 
Ishu ni kuwa ukiristu umekuwepo miaka 600 kabla ya Islam. Ila Hawa jamaa wanakuambia uislam ulianza tangu kuumbwa kwa ulimwengu
Ni shida sana, na wanavyopenda kujipendekeza sasa, Mungu alimwambia Ibrahim uzao wako kitaenda utumwani na watateswa miàka 400, mpaka kizazi Cha nne watarudi , sasa hapo watatengwa vipi uyahudi na KRISTO
 
Umeandika Ujinga, inaonyesha hukutimia akili yako vizuri. Biblia imetangulia zaidi ya miaka 500 kabla ya Quran. Iwezekane vipi Biblia ije ikopi kitu kilichokuja baada yake??
Tena AGANO la Kale lilikuwepo , na kutoka mwisho wa AGANO la Kale mpaka AGANO JIPYA ni miaka 400 ilipita
 
Mambo mengi ktk uislam nayakubali ila lile la kudai kwamba lugha itakayo kuwa inazungumza huko mbinguni ni kiarabu tu.
Sasa wachina zaidi ya billion moja watakuwa wanazungumza lugha gani.
Au tutajikuta tu tunazungumza kiarabu?
Labda wataongea kisukuma
 
Ni vitu common kweli, sasa nashangaa inakuaje inaoneka uislamu umekopy maandiko ya wakristo kwa kumaanisha biblia hali ya kuwa biblia huo mkusanyiko wake una vitabu hadi ambavyo vilikuwepo kabla ya ukristo?

Na hapo ndipo inapokuja hoja ya kujimilikisha vitabu au maandiko ambayo yalikuwepo kabla hata ya kuwepo ukristo.
 
Mambo mengi ktk uislam nayakubali ila lile la kudai kwamba lugha itakayo kuwa inazungumza huko mbinguni ni kiarabu tu.
Sasa wachina zaidi ya billion moja watakuwa wanazungumza lugha gani.
Au tutajikuta tu tunazungumza kiarabu?
Na watoto wachanga waliyokufa kabla hata ya kuanza kuongea huko mbinguni itakuaje?
 
Wachina wana imani Yao msiwaingize kwenye Ibrahimic Religion wao hata Mbingu hawaijui kama Ipo 🤣
Wachina ni jamii ya watu mkuu ndani yao kuna ambao wana imani na dini zengine tofauti wapo hadi wakristo na waislamu na wasioamini hadi Mungu, sasa utasemaje tuwatoe?
 
Kwa mtazamo wangu nadhani katika hili la utatu kulikuwa hakuna haja ya kulazimisha kusema Mungu ni mmoja tu, nadhani kuna haja ya kueleza maana au tafsiri tofauti ya Uungu. Kwa sababu hapo hao wanaoshiriki asili ya uungu bado mtu hatoelewa hao ni kina nani asili yao wao ni ipi?
 
Wachina ni jamii ya watu mkuu ndani yao kuna ambao wana imani na dini zengine tofauti wapo hadi wakristo na waislamu na wasioamini hadi Mungu, sasa utasemaje tuwatoe?
Umewahi Kufika China?
Tamaduni za Kichina Unazijua?
Sijakataa Ni jamii kinachozungumzwa Ni majority..
Asilimia 80 ya Wachina hawana Dini ya Ukristo wala Uislamu..
 
Mi sidhani kama kuna mtu anamashaka na anachokiamini ukiwa na mashaka na imani yako tafuta ukweli ukiona mtu anapaparika kutafuta huku na kule maana yake alipo hajatosheka ila waliotosheka wametulia na dini zao tusitafute umaarufu na kuonekana tunahoja kwa kuhoji imani za watu.
 
Hapo kinachoangaliwa ni Asili
Wanaoshiriki hiyo Asili ni Watatu
Wote Wana Asili Moja,sifa Moja na wanafanya kitu kimoja kwa wakati mmoja,

Binadamu ni Asili na wanaoshiriki hiyo Asili ni wawili
Mwanaume na mwanamke
Hao wanafanana kila kitu wote ni fresh na intelligent

Kungekua na viumbe tofauti wanaoshiriki hii Asili ndio tungesema tupo wengi

Kwa mfano huo nadhani angalau umeelewa!
 
Hapo kinachoangaliwa ni Asili
Wanaoshiriki hiyo Asili ni Watatu
Wote Wana Asili Moja,sifa Moja na wanafanya kitu kimoja kwa wakati mmoja,

Binadamu ni Asili na wanaoshiriki hiyo Asili ni wawili
Mwanaume na mwanamke
Hao wanafanana kila kitu wote ni fresh na intelligent

Kungekua na viumbe tofauti wanaoshiriki hii Asili ndio tungesema tupo wengi

Kwa mfano huo nadhani angalau umeelewa!
 
Ukatoliki ulianzisha Uislamu kama njia ya kisiasa na kidini ya kudhoofisha nguvu za Ukristo na Uprotestanti. Matukio mbalimbali, kama vile Constantine (306-337 AD), Mapinduzi ya Uprotestanti (1500s), Migogoro ya Dola la Ottoman (1200-1300s), na Kuanzishwa kwa Uislamu (622 AD) yanaweza kuunganishwa kupitia mtindo wa kudhoofisha nguvu za dini na kisiasa, na kuonyesha jinsi mikakati ya Ukatoliki ilivyokuwa na athari kwa kuanzishwa kwa Uislamu.
 
Hebu niambie uyahudi ulikuwa duniani miaka mingapi kabla ya ukristo?
Uyahudi ulianzishwa kama dini takatifu na mfumo wa kidini kabla ya Ukristo. Kwa mujibu wa historia ya dini, Uyahudi ulianza na Ibrahim (Abraham) ambaye anahusishwa na kuanzisha imani ya mungu mmoja, Yahweh, ingawa Uyahudi rasmi kama dini ya taifa la Israeli ilikua zaidi katika kipindi cha Musa.

Tukio muhimu la kwanza ni Ibrahim, ambaye aliishi takriban miaka 2000 kabla ya Kristo. Ibrahim ndiye anayeonekana kama baba wa Uyahudi, na anatambulika kama mtu wa imani ya Mungu mmoja, na hii ni hatua muhimu kuelekea kuzaliwa kwa Uyahudi.

Musa, ambaye aliishi takriban karne ya 13 K.K., alileta sheria za Torah, ambazo ni msingi wa Uyahudi. Kwa hiyo, Uyahudi kama dini ya taifa la Israeli ilijitokeza rasmi wakati wa Musa na aliiongoza jamii ya Waisraeli kutoka utumwa wa Misri hadi Uhuru.

Kwa hiyo, Uyahudi ulianza takriban miaka 2000 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo (karne ya 1 BK), ambayo ni wakati ambapo Ukristo ulianzishwa na Yesu na mitume wake.

Kwa kumalizia: Uyahudi ulianzishwa zaidi ya miaka 2000 kabla ya Ukristo, wakati wa Ibrahim na Musa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…