DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Unajua Kitu ambacho nimekiona ni Kimoja..Back to the history just kidogo tu. Ni kweli enzi hizo Ukristo ulikua umefanywa kua ni dini ya dola but unajua baada tu ya Constantine (huyu ndio alikua mfalme wa kwanza Mkristo na ndio aliye rasimisha Ukristo kwenye dola ) kuingia kwenye ukristo ndipo hasa UKENGEUFU wa ukristo ulipoanza? Unajua why Roman Catholic na makanisa mengi ya ki protestant yalipobadiri hata namna ya kubatiza? It started that day Constantine when he was converted, ukengeufu huo ulianza ukaendelea hadi leo but kadiri siku zilivokua zinakwenda ndio ukengeufu mkubwa zaidi ulipokua unaongezeka, hali hiyo ndio ilianza kuleta ugomvi tena kati ya wale masalia wa mitume na dola, zilaanza chokochoko tena. Ile ya Martine Luther was just part 2 ya migongano ya kiimani ambayo ilianza zamani sana, lakini chanzo ni dola ya Rumi. Now sipendi kwenda into details kwenyw hili but nenda kafatilie tena kwenye historia, Ottoman empire walipiga maeneo yote ambayo yalikua ya Kikristo mwanzoni, Antokia ambapo ndipo hasa wafuasi wa Yesu walianza kuitwa WAKRISTO, dolla ya Ottoman iliteka, ulaya ya mashariki yote ilikua ya Kikristo na sasa ni mataifa ya Kiislam, Ottoman waliishia Ulaya ya Magharibi hasa baada ya kufika Italy, nini kilipelekea wakomee pale? Unadhani walizidiwa?????
Umesoma Vitu Vingi sana kwa Wakati Mmoja mpaka Inafika Muda Unavichanganya😁
Yaani umeelzea Maswala ya Constantine (Ambayo ni ya mwaka 306-337AD) na Ukamtaja Kuwa Costantine alikuwa Mkristo ukaja ukaongelea Maswala ya Uprotestant na Kubatiza na Chokochoko za Martine luther (Ambazo zilitokea Miaka ya 1500s)
Hapo hapo ukaongelea Masalia ya Mitume ukaongelea Migogoro ya Rumi ukaja Ukaongea maswala ya Ottoman empire Ya Miaka ya 1200 mpaka 1300s..
Ukaongelea Kuhusu Italy na Vita ya Ottoman..
Sasa Ukipata Muda Jitahidi Uwe Unapanga Hoja Atleast weka wazo Zima la Hoja yako Kwenye Paragraph moja au Mbili au zaidi ili kurahisisha Wazo kuu Kujulikana..
Hata hivyo Bado hujaonesha How Vina Relate na Kuanzishwa Kwa Uislamu Mwaka 622 Yaani How Tukio la mwaka 1500 Lihusianishwe na Tukio la 622..
Ndiyi swali lilipojengewa hapo