hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Uislamu unamkubalije Yesu na Ukristo unamkataa vipi Yesu ?Soma vizuri torati au agano la kale au taurat ulinganishe, pia jikumbushe uislam unavyomkubali Yesu wakati ukristo ukigoma kutofanya hivyo. Jielimishe kwanza badala ya kuhoji bila kujua unachohoji mwanangu. Simpo.
YESU ndiye mwanzilishi wa Ukristo
Waislamu hawamtambui Yesu kama mwana wa Mungu na anayeondoa dhambi
Waislamu wanamtambua jamaa mmoja anaitwa Isa ,ambaye ni tofauti kabisa na Yesu