Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Ndiyo, majini ni viumbe ambao asili yao ni ya kimalaika, kwani waliumbwa kama malaika, viumbe wa kiroho wenye nguvu na mamlaka kubwa. Hata hivyo, baada ya kuasi Mungu, sifa zao zilibadilika na kuwa viumbe waovu, lakini hawakupoteza kabisa sifa za msingi za kuwa viumbe wa kiroho. Kwa hivyo, majini wanashiriki baadhi ya sifa za kimalaika, ingawa sasa wanaitwa mapepo au malaika wa giza.

Malaika waliumbwa kwa Moto , Shetani pia ambaye asili yake ni malaika aliumbwa kwa moto

Waebrania 1

7.Lakini kuhusu malaika, alisema:
“Amewafanya malaika wake kuwa upepo,na wahudumu wake ndimi za moto.”
Ukisoma Waebrania uliyoiandika Utagundua Kitu..
Sema umeenda kasi sana ungeenda Pole pole Ungeelewa Tz mbongo ..

Na hapa Ndo nilitaka Mtu apagusie Kabisa..
Kuna Viumbe wawili wametajwa hapa.. Kwenye Waebrania (Biblia)..

Ngoja Tusome Biblia Sasa tuache longo longo..
Ukisoma Kwenye Lugha Asili ya Ilivyoandikwa Koine Greek Husomeka Hivi..Hii ni Waebrania 1:7

"Καὶ πρὸς μὲν τοὺς ἀγγέλους λέγει· Ὁ ποιῶν τοὺς ἀγγέλους αὐτοῦ πνεύματα καὶ τοὺς λειτουργοὺς αὐτοῦ πυρὸς φλόγα."

Au hutamkwa Hivi..

"Kai pros men tous angelous legei: Ho poiōn tous angelous autou pneumata kai tous leitourgous autou pyros phloga."

Na nikupitishe kwa Tafsiri kidogo.ya Kiswahili..

"Na kwa habari za malaika asema, Yeye Aumbaye malaika kwa Kutumia Upepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto."

Hapo Utaona Kuna Viumbe wawili Mungu ana wataja kuwaumbwa Kiumbe wa Kwanza ἀγγέλους "Angelos" au kwa Lugha yetu ya kiswahili Malaika na Kiumbe wa Pili ambaye ametafsiriwa kama mtumishi ni λειτουργοὺς "leitourgous" ambapo Biblia imemtafasiri kama Mtumishi..

Kwahyo Kati ya Viumbe hawa Wawili malaika na Watumishi wakristo wamebase sana Kuwasoma Hawa malaika ila hakuna mahali wamewahi kuchukua Mda kuwasoma Watumishi...

kwa asili yao Malaika ni wameumbwa kwa Nuru na Upepo hakuna anayepinga kati ya Hizo dini tatu zote Waislamu, Wayahudi na Wakristo..

Malaika hakuumbwa kwa Moto..

sasa Tuangalie Nani aliumbwa Kwa Moto ndo tutamjua Kuwa Huyo ndo mtumishi (Tena Miale ya Moto)

Sasa naona Zaidi Umegusia Quran Kuelezea Ama Kuthibitisha Usemacho na Mimi Naomba Nipitie Quran Hiyo hiyo..

Soma Surah Ar-Rahman aya ya 14 na 1

خَلَقَ ٱلْإِنسَٰنَ مِن صَلْصَٰلٍۢ كَٱلْفَخَّارِ
وَخَلَقَ ٱلْجَآنَّ مِن مَّارِجٍۢ مِّن نَّارٍۢ

Inatakwa Hivi!
"Khalaqa alinsana min salsalin kaalfakhkhari
Wakhalaqa aljanna min marijin min narin"

Kiswahili..

"Amemuumba Mtu kutoka katoka Udongo wa Kufinyanga
Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto.."

Sasa Conlusion Yangu Isiyo rasmi kwa Kuwa Kwenye Waebrania Malaika ameumbwa kwa Upepo na Hao "Watumishi kwa Miale ya Moto ambayo ni sawa na Kusema Ulimi wa Moto..
watumishi Hao ni Majini..

Kwahyo Majini waliumbw tofauti kabisa na Malaika na yoyote anayesema Majini ni malaika walioasi aje na Uthibitisho..

Na Umeeleza Vyema sana Hapa Chini
kwa mujibu wa Qur'an na mafundisho ya Uislamu, shetani (Ibilisi) aliumbwa kwa moto. Katika Qur'an, sura ya 15 (Al-Hijr), aya ya 27, inasema:

"Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo wa joto."

Ibilisi alikuwa miongoni mwa majini, na majini waliumbwa kwa moto. Tofauti hii ya asili kati ya Ibilisi na binadamu (ambao waliumbwa kwa udongo) ndiyo moja ya sababu iliyomfanya Ibilisi kumkataa Adamu alipoamrishwa kumsujudia, kama ilivyoelezwa katika Qur'an, sura ya 7 (Al-A'raf), aya ya 12.
 
Hoja kwamba majini ni malaika walioasi ina msingi katika baadhi ya tafsiri za kibiblia, na kuna mifano ya maandiko inayoonyesha kuwa majini ni roho za malaika waliotiwa mapenzi mabaya au waliokaidi amri za Mungu. Hapa chini nitatoa hoja pamoja na rejea mbalimbali kuunga mkono wazo hili.

1. Malaika Walioasi - Waanguka wa Angani

Katika Yuda 1:6, inasema:

Huu ni kifungu kinachosema wazi kuwa kuna malaika ambao waliasi utawala wa Mungu, na walianguka kutoka kwa utawala wao wa mbinguni. Hawa malaika walioasi ni wale ambao baadaye wanajulikana kama mapepo au majini. Hawa malaika walijitenga na Mungu, na walitupwa kutoka kwa mbinguni.

2. **Malaika Walioasi Katika 2 Petro 2:4

Kifungu hiki kinadhihirisha kuwa malaika walioasi walifungwa kwa ajili ya hukumu, wakihifadhiwa katika vifungo vya giza. Malaika hawa walikuwa waasi, na baada ya kushindwa, walikuwa na hatia ya kuhukumiwa. Hii inaonyesha kuwa majini ni malaika walioasi ambao walishindwa na kuletwa chini, au kuanguka, kwa sababu ya uasi wao.

3. Malaika Walioanguka na Giza

Katika Isaya 14:12-15, inazungumziwa kuhusu Lucifer, ambaye ni kielelezo cha malaika aliyeasi na kuanguka kutoka kwa utukufu wa Mungu:

Lucifer anatajwa kama "nyota ya asubuhi" ambaye alijiinua juu ya Mungu na kupinga utawala wake, akageuka kuwa Shetani baada ya uasi wake. Huu uasi ni kielelezo cha malaika walioanguka, ambao baadaye wanakuwa majini.

4. Shetani na Majini kama Malaika Walioasi

Mathayo 25:41 inasema kuhusu hukumu ya Shetani na malaika zake:

Hii inaonyesha kuwa Shetani na malaika zake walianguka kutokana na uasi wao, na kwamba walisababishwa kuingia kwenye hukumu ya milele. Malaika hawa walioasi, au majini, wanahusishwa na Shetani, ambaye ni kiongozi wao.

5. Malaika Walioanguka na Juhudi za Kuingilia Maisha ya Watu

Katika Matendo ya Mitume 16:16-18, tunasoma kuhusu msichana aliyekuwa na pepo ya uashiri, na Paulo alipofanya miujiza ya kumfukuza pepo, pepo hiyo ilitoka. Hii inaonyesha kuwa majini ni roho au nguvu za kishetani ambazo hutawala na kudhibiti maisha ya watu, na hii ina uhusiano wa moja kwa moja na malaika walioasi.
Mkuu Unajichanganya sana Nimeona Umepingana na Maandiko yako mwenyewe Uliyoyaleta..

Maandilo yanasema malaika walioasi walifungwa Milele wanasubiri Hukumu yao..

Wewe Unakuja na Maelezo ya Malaika Kutupwa Chini..
Bila Ushahidi kabisa..

Kama ukiwa na Ushahidi usio na Shaka kutumia Biblia au Kitabu chochote malaika waliasi Walitupwa Chini nitakubaliana nao..

Au Kinachosema Malaika ndo mapepo au Majini...
Hizo ni imagination zako
 
Nimeuliza Swali unajua maana Ya Protestant??
Au unajua maana Ya Kuprotest?
yesu aliprotest Nini kwa wayahudi au Alibadili Nini kwenye sheria zake ambazo zilienda Kinyume na Wayahudi??

Waprotestant wa Sasa Wakiongozwa na Martine Luther walibadilii mambo 95..
kasome Kuhusu 95 Thesis of Martin Luther To Roman catholic (Kayasome Haya na Ndiyo yanayptofaitisha Roman na Makanisa mengine ya Kiprotestant)

Ila yesu mpaka Anakufa hakuwahi kutengeneza Mambo yanayopingana na Uyahudi au Sheria za Uyahudi Ila kama Yapo nikp Tayari kujifunza..

Lakini Unawafahamu Chick Mkuu?

Yaani Ni sawa na Kusema Kitabu cha Kuelezea Historia ya Ukristo Kichapwe na Waislamu unafikiri Kitaelezea Nini??
Neno Protestant linatokana na neno "protest" (kupinga)

Kuprotesta ni tendo la kuonyesha kupinga au kukataa kitu, hasa mamlaka au kanuni fulani. Katika muktadha wa dini, kuprotesta kumekuwa na maana ya kuhoji au kupinga mafundisho au tamaduni zilizopo.

Yesu alifanya protesta kwa njia ile ile kama wafuasi wa Kiprotestanti wa baadaye kama Martin Luther. Yesu alikosoa baadhi ya vipengele vya Sheria za Wayahudi, lakini hakubadili sheria zote au kuanzisha dini mpya. Badala yake, alikuja kutimiza sheria (Mathayo 5:17) na alikosoa ufufuo wa sheria za Wayahudi ambazo zilikuwa zimepotoshwa na viongozi wa dini.

Yesu alikosoa nini?

Yesu alikosoa zaidi kufuatwa kwa sheria za Kiyahudi bila kuzingatia roho ya sheria hiyo. Alikuwa na msimamo mkali dhidi ya nafsi za udhalimu na unafiki wa viongozi wa dini za Kiyahudi.

Mathayo 23:23-24 – Yesu alikosoa waandishi na Mafarisayo kwa kuzingatia sheria za nje bila kujali huruma na haki:

"Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnalipa fungu la kumi la minthe na anise na kamomu, lakini mmeacha mambo ya muhimu zaidi ya sheria: haki, huruma na uaminifu. Haya mliyapaswa kufanya, wala msiache yale mengine."

Mathayo 5:38-39 – Yesu alionyesha mtindo mpya wa haki:

"Mmeambiwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino,’ lakini mimi nawaambia, Msiupige jicho kwa jicho, bali mtu akikuumiza shavu lako la kulia, geuza na la kushoto."

Yesu alikuja kufanya mapinduzi katika muktadha wa roho na kiadili, akisisitiza kwamba sheria za Kiyahudi zilipaswa kutumika kwa upendo, huruma, na haki

Martin Luther alitangaza 95 Theses (Thesi 95) mwaka 1517, akipinga mafundisho ya Kanisa Katoliki, hasa ulevi wa indulgences (kuchukulia dhambi za watu kwa pesa) na mamlaka ya Papa. Hapa, Luther alitaka kuleta marekebisho ndani ya Kanisa Katoliki, lakini mwishowe mapinduzi hayo yalisababisha mgawanyiko mkubwa, na dhehebu la Kiprotestanti likazaliwa.

Luther alikataa kwamba Papa alikuwa na mamlaka ya kuondoa dhambi za watu kwa kuuza indulgences. Hii ilileta mabadiliko makubwa katika mafundisho ya dini, ikiwa ni pamoja na kuelezea kuwa imani na neema ya Mungu ilikuwa njia pekee ya wokovu, siyo matendo ya nje au ya kidini

Yesu alikuja kutimiza Sheria na Manabii (Mathayo 5:17). Hata hivyo, alionyesha kwamba sheria za Kiyahudi hazikuwa na maana kamili bila roho ya haki na upendo.

Ukisoma Marko 7:6-9
Hii inaonyesha kuwa Yesu alilenga kurekebisha maelezo ya Sheria za Kiyahudi, akisisitiza kwamba ni muhimu kuzingatia nia ya moyo na siyo tu sheria za nje.
 
Kwanza kabisa Malaika Hawezi kuasi hicho ni cha kwanza!

Pili Majini Ni viumbe tofauti kabisa na Malaika..!
Jambo la Pili..

Na Tatu malaika walioasi walifungiwa Na hawakuwahi Kutoka Kwenye Hukumu yao Mpaka siku ile itakapofika ya Hukumu..

Yuda 1:6

"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."..

Sasa Hao mnaosema Wako duniani Ni kina Nani?
Malaika Walioasi wapo kwenye Kifungo cha milele na hakuna malaika aliasi aliyeruhusiwa kutoka kifungoni
Hoja kuwa Malaika Hawawezi Kuasi si kweli, sio maroboti wale

Biblia Inathibitisha Malaika Walioasi:

Katika 2 Petro 2:4, tunapata kifungu kinachoelezea kwamba malaika walioasi walifungiwa kwa hukumu ya milele:

"Kwa maana Mungu hakuwacha malaika waliotenda dhambi, bali aliwatupa katika pango la giza akiwafungia katika vifungo vya pingu, kwa ajili ya hukumu ya siku ya mwisho."

Hii inaonyesha wazi kuwa malaika walioasi walifungiwa kwa dhambi zao, na hawakuwa na uwezo wa kutoroka au kutenda kama walivyotenda awali. Hii ni tofauti na wazo kwamba malaika hawawezi kuasi, kwani maandiko yanaonyesha kwamba walifanya kosa na walipata adhabu kwa hiyo.

Quran Inathibitisha Majini Walikuwa na Uwezo wa Kuasi:

Katika Quran, Surah 15:27, inasema:

"Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo wa joto."

Majini waliumbwa kwa moto na wana uhuru wa kuchagua, ambao wanalinganishwa na malaika walioasi kwa sababu wote hawa wana uwezo wa kufanya chaguo.

Kwa hivyo, kinyume na wazo kwamba malaika hawawezi kuasi, maandiko ya Biblia na Quran yanathibitisha kwamba malaika walioasi walifanya kosa na walifungiwa kwa hiyo.

Kwahiyo MALAIKA Wana uwezo wa kuasi vizuri tu

Hoja yako kuwa Majini Ni Viumbe Tofauti na Malaika, nitakuja na vitabu vyote vya kiislamu na Ukristo kuthibitisha Hawa Wana asili moja na Majini ni Malaika walioasi ,

Katika Quran, Surah 55:15, majini wanasemwa kuwa waliumbwa kwa moto:

"Na alikiumba jini kwa moto wa joto."

Malaika Walioasi Ni Majini:

Katika Yuda 1:6, tunapata kwamba malaika walioasi waliacha enzi yao na walifungiwa kwa hukumu:

"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."

Hii inasema kwamba malaika hawa walifanya kosa, na inafanya uwezekano kwamba malaika walioasi wangeweza kuwa majini kwa kuwa walikuwa na uwezo wa kuasi.

Malaika Walioasi Walifungiwa na Hawaruhusiwi Kutoka Kwenye Hukumu Yao hii Ina maana walifukuzwa mbinguni, sio kwamba Hawafanyi shughuli zao za udanganyifu huku duniani,Sio kwamba hawawezi kuacha kutoa ushawishi kwa watu.

Katika Mathayo 12:43-45, Yesu anasema:

"Pepo mbaya hutoka katika mtu, hutembelea maeneo kavu akitafuta mahali pa kupumzika... na hali ya mwisho ya mtu huyo ni mbaya kuliko ya awali."

Hii inaonyesha kuwa malaika walioasi wamefanya kosa na walifungiwa kwenye hukumu. Hata hivyo, majini wanadhihirisha uwezo wa kufanya chaguzi na ushawishi wa kiroho, na wanaendelea kuwa na sehemu kubwa ya ushawishi duniani.

Kwa hivyo, inavyoonekana, malaika walioasi hawaruhusiwi kutenda kama awali, lakini wana ushawishi wa kiroho duniani.
 
Tunaambiwa malaika ni wema na majini na mapepo ni maovu lakini Qu'ran inakwambiwa uchawi ulishushwa na malaika wawil kwenye mji wa babili malaika hao walioshuka na uchawi ni harut na marut kisha wanasema uchawi huu haumdhuru mtu isipokuwa kwa idhini ya mola,kwa hiyo eti Allah ndio mwenye idhini ya uchawi ukudhuru au usikudhuru,haya ni majabu,na hao malaika walioshuka na uchawi lazima walitoka kwa Allah na si malaika ni mashetani kwasababu Yehova hayuko in friendly terms na masheitwani
 
Neno Protestant linatokana na neno "protest" (kupinga)

Kuprotesta ni tendo la kuonyesha kupinga au kukataa kitu, hasa mamlaka au kanuni fulani. Katika muktadha wa dini, kuprotesta kumekuwa na maana ya kuhoji au kupinga mafundisho au tamaduni zilizopo.

Yesu alifanya protesta kwa njia ile ile kama wafuasi wa Kiprotestanti wa baadaye kama Martin Luther. Yesu alikosoa baadhi ya vipengele vya Sheria za Wayahudi, lakini hakubadili sheria zote au kuanzisha dini mpya. Badala yake, alikuja kutimiza sheria (Mathayo 5:17) na alikosoa ufufuo wa sheria za Wayahudi ambazo zilikuwa zimepotoshwa na viongozi wa dini.

Yesu alikosoa nini?

Yesu alikosoa zaidi kufuatwa kwa sheria za Kiyahudi bila kuzingatia roho ya sheria hiyo. Alikuwa na msimamo mkali dhidi ya nafsi za udhalimu na unafiki wa viongozi wa dini za Kiyahudi.

Mathayo 23:23-24 – Yesu alikosoa waandishi na Mafarisayo kwa kuzingatia sheria za nje bila kujali huruma na haki:

Mathayo 5:38-39 – Yesu alionyesha mtindo mpya wa haki:

Yesu alikuja kufanya mapinduzi katika muktadha wa roho na kiadili, akisisitiza kwamba sheria za Kiyahudi zilipaswa kutumika kwa upendo, huruma, na haki

Martin Luther alitangaza 95 Theses (Thesi 95) mwaka 1517, akipinga mafundisho ya Kanisa Katoliki, hasa ulevi wa indulgences (kuchukulia dhambi za watu kwa pesa) na mamlaka ya Papa. Hapa, Luther alitaka kuleta marekebisho ndani ya Kanisa Katoliki, lakini mwishowe mapinduzi hayo yalisababisha mgawanyiko mkubwa, na dhehebu la Kiprotestanti likazaliwa.

Luther alikataa kwamba Papa alikuwa na mamlaka ya kuondoa dhambi za watu kwa kuuza indulgences. Hii ilileta mabadiliko makubwa katika mafundisho ya dini, ikiwa ni pamoja na kuelezea kuwa imani na neema ya Mungu ilikuwa njia pekee ya wokovu, siyo matendo ya nje au ya kidini

Yesu alikuja kutimiza Sheria na Manabii (Mathayo 5:17). Hata hivyo, alionyesha kwamba sheria za Kiyahudi hazikuwa na maana kamili bila roho ya haki na upendo.

Ukisoma Marko 7:6-9
Hii inaonyesha kuwa Yesu alilenga kurekebisha maelezo ya Sheria za Kiyahudi, akisisitiza kwamba ni muhimu kuzingatia nia ya moyo na siyo tu sheria za nje.
Ndo maana Mwanzo nilikuuliza Unajua Maana ya Protestant kabla hatujaingia kwenye Mjadala..

Nilikuwa Nataka Uelezee Uprotestant Kwa muktadha wa Kidini..
Inaonekana Dhahiri kuwa hata Protest hujaifahamu vizuri..

Sasa Twende kwenye Contents..
Umemtaja Yesu kama Muanzilishi wa Uprotestant Nikakuomba Unitajie Sheria ama Amri alizopinga Ila mpaka sasa Hujanionyesha Amri au Sheria alizipinga zaidi Umenionyesha Alipinga Character..

Kuhusu Yesu kuwakosoa Waandishi na Mafarisayo..
Alikuwa anakosoa Charcter ya Waandishi na Mafarisayo na sio Sheria zao..

Na ndo maana Kwenye aya Uliyotoa anasema Wameacha Mambo makuu ya sheria kwahyo hakuwapinga Sheria zao ila aliwakumbusha Kufuata sheria zao..

Mathayo 23:23

"Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache."

Na ukiacha hapo Alishawahi Kuwaambia Kuwa Waandishi na Mafarisayo Wanachuja Mbu na Kumeza ngamia..
yaani Wanachukua Baadhi ya Mafundisho na Kuacha mengine..

Mathayo 23:24-25

" Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.

Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi."

Yesu hakuleta Kitu Kipya ila alisisitiza Kuhusu..
Baadhi ya Mambo ambayo yalikuwa yameharibika kama Wanaojua sana kujiona wao ni wtakatifu kuliko wengine..
Na hata Ule upendo uliofundishwa Tangu kale kupotea ndo alichofanya ni kuukumbusha kuhusu Upendo...

na Hiyo haiitwi Protest Inaitwa Kufundisha
Na Ndo maaana Walimu na Mafarisayo baada ya Kuwa anawakumbusha Mara kwa mara walipoanguka Walianza Kumuita RABBI yaani MWALIMU kwa kuwa alijua Kuwagusa makosa yao..

Still Nasubiria Yesu alikuwa Protestant wapi maana Hakuna Sehemu alipojitenga nao na Kuanza Kuhubiri Kitu kilichokinyume na Hao..
Ila Bado aliendelea Kuhudhuria Sinagogi na Hekaluni Mpaka Anakufa alikuwa Akifanya Hivyo
 
Labda unafanya unishi tu, Alichofanya Yesu ndio walichofanya wanamatengenezo ndani ya RC ,wewe unasema alifundisha ,lkn mwisho aliwaachia majengo Yao ,same na walivyofanya kina Luther

Yesu alikosoa na kupinga baadhi ya mafundisho ya Kiyahudi ambayo yalikuwa kinyume na Neno la Mungu. Alifanya hivyo kwa sababu baadhi ya mafundisho hayo yalikuwa ya kibinadamu, na hayakufuata kweli ya Mungu. Katika maisha yake, Yesu alionesha namna alivyokataa baadhi ya vipengele vya Sheria na mafundisho ya wakati wake.

1. Yesu alikosoa ufanisi wa mafundisho ya Kiyahudi ya wakati huo:

Katika Mathayo 15:3-9, Yesu anawaambia Mafarisayo na waandishi kuwa walikuwa wamepuuza amri za Mungu kwa ajili ya desturi zao za kibinadamu. Anasema:

"Ninyi mnapuuza amri ya Mungu ili kuishika desturi yenu."

Mathayo 23:13-15 Yesu alikemea viongozi wa Kiyahudi, akisema walikuwa wanazuiya watu kuingia katika Ufalme wa Mungu na walikuwa wanajivunia uongozi wao, ingawa walikuwa wakiwaongoza watu mbali na kweli ya Mungu. Anasema:

"Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, waongo! Kwa maana mnalifunga ufalme wa mbinguni mbele ya watu; ninyi wenyewe hamuingii, wala wale wanaotaka kuingia hamwachi waingie."

2. Yesu aliwaachia hekalu:

Katika Mathayo 23:38, Yesu alisema:

"Tazameni, nyumba yenu imeachwa kwenu tupu." Yesu alitumia neno hili kuelezea jinsi alivyokuwa akiondoka kwenye hekaluni kwa sababu ya uasi wa viongozi wa Kiyahudi na hakuwa tayari kukubali njia zao tena.

3. Yesu alikataa sinagogi na kuachana na sehemu za ibada za Kiyahudi:

Yesu aliona kuwa sinagogi na hekalu vimejaa uongo na dhambi, na hivyo alijiepusha na sehemu hizi. Mathayo 21:12-13 anasema:

"Yesu akaingia hekaluni, akaananza kutoa nje wateja wote waliokuwa wakiinunua na kuuza katika hekalu, akavunja meza za wabadili fedha na viti vya wauzaji wa ndege wa dhabihu, akawaambia, 'Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya maombi, lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.'"

4. Yesu alikemea mafundisho ya ibada ya nje:

Yesu pia alikemea ibada ya nje bila mabadiliko ya moyo. Marko 7:6-7 anasema:

"Akasema kwao, 'Isivyo, kama ilivyoandikwa, watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, bali mioyo yao iko mbali nami. Wao huniabudu bure, wakifundisha mafundisho ya watu kama amri za Mungu.'"

Yesu aliupinga mfumo wa ibada uliojaa desturi za kibinadamu, ambao ulipotosha mafundisho ya kweli ya Mungu. Alijitahidi kuwaonyesha watu kuwa ibada ya kweli inatokana na kumfuata Mungu kwa roho na ukweli, sio kwa njia za kibinadamu au desturi za kidini.
 
Labda unafanya unishi tu, Alichofanya Yesu ndio walichofanya wanamatengenezo ndani ya RC ,wewe unasema alifundisha ,lkn mwisho aliwaachia majengo Yao ,same na walivyofanya kina Luther

Yesu alikosoa na kupinga baadhi ya mafundisho ya Kiyahudi ambayo yalikuwa kinyume na Neno la Mungu. Alifanya hivyo kwa sababu baadhi ya mafundisho hayo yalikuwa ya kibinadamu, na hayakufuata kweli ya Mungu. Katika maisha yake, Yesu alionesha namna alivyokataa baadhi ya vipengele vya Sheria na mafundisho ya wakati wake.

1. Yesu alikosoa ufanisi wa mafundisho ya Kiyahudi ya wakati huo:

Katika Mathayo 15:3-9, Yesu anawaambia Mafarisayo na waandishi kuwa walikuwa wamepuuza amri za Mungu kwa ajili ya desturi zao za kibinadamu. Anasema:
Maandiko unayotoa na Unavyoelezea ni vitu viwili Tofauti kabisa..
Kwa mfano Aya uliyoitoa Hapa Ilitokana na Mafundisho ya Wayahudi Kunawa Wakati wa Kula yaani kula Bila Kuna Walichukulia Kama Ni Dhambi na Ukifanya Hivyo yakupasa Kutengwa na Unatakiwa Kujitakasa Hekaluni..

Pili kingine kwenye Ilo fungu Mafundisho ya Yesu Aliwakumbusha kuhusu Kuheshimu Wazazi ambayo ni amri ilikuwepo Tangu mwanzo japo kwa Utashi wao waliiongeza mapokeo kuwa Ukipata muda wa Kumkosoa mzazi unatakiwa Kumkosoa Pole pole wakati kiti hicho hakikuwepo...kwahyo huruhusiwi Kumkosoa Mzazi kwa namna yyte

Na Hakuna Amri ya Mungu iliyogeuzwa...Waliongeza Utashi wao..
Anza mwanzo Fungu Lilipoanza..

Mathayo 15:1-6...

1 Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema,

2 Mbona wanafunzi wako huyahalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.

3 Akajibu, akawaambia, Mbona ninyi nanyi huihalifu amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu?

4 Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.

5 Bali ninyi husema, Atakayemwambia babaye au mamaye, Cho chote kikupasacho kusaidiwa na mimi ni wakfu,

6 basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.

Mathayo 23:13-15 Yesu alikemea viongozi wa Kiyahudi, akisema walikuwa wanazuiya watu kuingia katika Ufalme wa Mungu na walikuwa wanajivunia uongozi wao, ingawa walikuwa wakiwaongoza watu mbali na kweli ya Mungu. Anasema:

2. Yesu aliwaachia hekalu:

Katika Mathayo 23:38, Yesu alisema:

3. Yesu alikataa sinagogi na kuachana na sehemu za ibada za Kiyahudi:

Yesu aliona kuwa sinagogi na hekalu vimejaa uongo na dhambi, na hivyo alijiepusha na sehemu hizi. Mathayo 21:12-13 anasema:

4. Yesu alikemea mafundisho ya ibada ya nje:

Yesu pia alikemea ibada ya nje bila mabadiliko ya moyo. Marko 7:6-7 anasema:

Yesu aliupinga mfumo wa ibada uliojaa desturi za kibinadamu, ambao ulipotosha mafundisho ya kweli ya Mungu. Alijitahidi kuwaonyesha watu kuwa ibada ya kweli inatokana na kumfuata Mungu kwa roho na ukweli, sio kwa njia za kibinadamu au desturi za kidini.
KIukweli Nimecheka Uliposema Kuwa Yesu aliacha Kuingia Hekaluni..

Hakuna Mahali yesu aliacha Kuingia Hekaluni hata Kidogo fungu ulilotoa la Mathayo 23:38..
Alilisema Akiwa Hekaluni..
Angalia mwisho wa Hotuba yake..

Mathayo 24:1..
" Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu."..

Na anza mwanzo w Hotuba Yake japo.Sijaimailizia mpaka mwisho..

Mathayo 23:1-8

1 Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema,

2 Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa;

3 basi, yo yote watakayowaambia, myashike na kuyatenda; lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende; maana wao hunena lakini hawatendi.

4 Wao hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuigusa kwa kidole chao.

5 Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao;

6 hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,

7 na kusalimiwa masokoni, na kuitwa na watu, Rabi.

8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu.

Hayo Ndo maneno ya Mwisho Ya Yesu Kwenye Hotuba Ya Mwisho akiwa Hekaluni...

Maneno niliyoBold na Kuweka Rangi nyekundu Umeyasoma Anawaambia Watu Kuwa Maneno wanayowaambia Mafarisayo wawafuate kwa sababu wamekaa Kwenye Kiti cha Musa Lakini Matendo yao wasifuate..

Na Umejaribu Kusoma Thesis za Martin luther zinawataka Waumini Wasifuate Wanachoambiwa na Viongozi wa Kirumi (Sasa Hii ndo protest)..

YESU ALIWAFUNDISHA WATU kuwatii Viongozi wa Kiyahudi..
Na wakati huo Akitumia Muda Kuwashape Viongozi..

Sasa Umenielewa?

Narudia Tena Yesu hakuwahi Kuprotest sehemu yoyote ile zaidi ya Ila alifundisha na Kutoa Maagizo..

Na Nasubiri UNIONYESHE FUNGU YESU ANALOJIPINGA MWENYEWE KUHUSU WATU KUWAFUATA VIONGOZI WATAKACHOWAAMBIA
 
Maandiko unayotoa na Unavyoelezea ni vitu viwili Tofauti kabisa..
Kwa mfano Aya uliyoitoa Hapa Ilitokana na Mafundisho ya Wayahudi Kunawa Wakati wa Kula yaani kula Bila Kuna Walichukulia Kama Ni Dhambi na Ukifanya Hivyo yakupasa Kutengwa na Unatakiwa Kujitakasa Hekaluni..

Pili kingine kwenye Ilo fungu Mafundisho ya Yesu Aliwakumbusha kuhusu Kuheshimu Wazazi ambayo ni amri ilikuwepo Tangu mwanzo japo kwa Utashi wao waliiongeza mapokeo kuwa Ukipata muda wa Kumkosoa mzazi unatakiwa Kumkosoa Pole pole wakati kiti hicho hakikuwepo...kwahyo huruhusiwi Kumkosoa Mzazi kwa namna yyte

Na Hakuna Amri ya Mungu iliyogeuzwa...Waliongeza Utashi wao..
Anza mwanzo Fungu Lilipoanza..

Mathayo 15:1-6...

1 Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema,

2 Mbona wanafunzi wako huyahalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.

3 Akajibu, akawaambia, Mbona ninyi nanyi huihalifu amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu?

4 Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.

5 Bali ninyi husema, Atakayemwambia babaye au mamaye, Cho chote kikupasacho kusaidiwa na mimi ni wakfu,

6 basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.

KIukweli Nimecheka Uliposema Kuwa Yesu aliacha Kuingia Hekaluni..

Hakuna Mahali yesu aliacha Kuingia Hekaluni hata Kidogo fungu ulilotoa la Mathayo 23:38..
Alilisema Akiwa Hekaluni..
Angalia mwisho wa Hotuba yake..

Mathayo 24:1..
" Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu."..

Na anza mwanzo w Hotuba Yake japo.Sijaimailizia mpaka mwisho..

Mathayo 23:1-8

1 Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema,

2 Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa;

3 basi, yo yote watakayowaambia, myashike na kuyatenda; lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende; maana wao hunena lakini hawatendi.

4 Wao hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuigusa kwa kidole chao.

5 Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao;

6 hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,

7 na kusalimiwa masokoni, na kuitwa na watu, Rabi.

8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu.

Hayo Ndo maneno ya Mwisho Ya Yesu Kwenye Hotuba Ya Mwisho akiwa Hekaluni...

Maneno niliyoBold na Kuweka Rangi nyekundu Umeyasoma Anawaambia Watu Kuwa Maneno wanayowaambia Mafarisayo wawafuate kwa sababu wamekaa Kwenye Kiti cha Musa Lakini Matendo yao wasifuate..

Na Umejaribu Kusoma Thesis za Martin luther zinawataka Waumini Wasifuate Wanachoambiwa na Viongozi wa Kirumi (Sasa Hii ndo protest)..

YESU ALIWAFUNDISHA WATU kuwatii Viongozi wa Kiyahudi..
Na wakati huo Akitumia Muda Kuwashape Viongozi..

Sasa Umenielewa?

Narudia Tena Yesu hakuwahi Kuprotest sehemu yoyote ile zaidi ya Ila alifundisha na Kutoa Maagizo..

Na Nasubiri UNIONYESHE FUNGU YESU ANALOJIPINGA MWENYEWE KUHUSU WATU KUWAFUATA VIONGOZI WATAKACHOWAAMBIA
Umeandika mengi ila hakuna ulichothibitisha ni tofauti na walichofanya kina Luther ambacho ni hicho hicho kukataa mapokeo yaliyoingizwa ndani ya kanisa ,mbona simple tu

Yesu alikosoa mapokeo ya Kiyahudi yaliyokuwa yamejengeka juu ya Maandiko ya Kale. Aliona kuwa baadhi ya mapokeo hayo yalikuwa yamepotosha maana ya sheria na mafundisho ya Mungu. Katika Mathayo 15:1-9, Yesu anapinga vikali mapokeo ya Wafarisayo na waandishi ambao walikuwa wameweka mila za kibinadamu juu ya amri za Mungu.

Mathayo 15:3-6: "Akajibu akawaambia, Hata nini nanyi mnaondoa amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu. Kwa maana Mungu aliamuru, Heshimu baba yako na mama yako; na, Atakayemlaani baba au mama, na afe. Lakini ninyi mnawaambia, Kama mtu atasema kwa baba yake au mama yake, Nadhiri yangu ni kwamba nitakupa chochote kilichonitoka kwangu, hapatapata msaada kutoka kwangu."

Katika kifungu hiki, Yesu alionyesha jinsi mapokeo ya kibinadamu yalivyokuwa yamebadilisha maana ya amri za Mungu, na alikataa kuruhusu mila hizo zinazoharibu maana ya sheria za Mungu.

Martin Luther alikataa mapokeo ya Kanisa Katoliki, hasa zile ambazo zilikuwa zimejengeka zaidi juu ya mapokeo ya kibinadamu kuliko Maandiko ya Biblia. Mwaka 1517, Luther aliandika "Theses 95" akipinga uuzaji wa mapendeleo na tendo la kupokea toba kwa njia ya pesa (indulgences), jambo ambalo lilikuwa kinyume na mafundisho ya kibiblia.

Luther alijikita katika urejesho wa mafundisho ya kiasili ya Biblia, akisisitiza kwamba wokovu unapatikana kwa neema tu kupitia imani, siyo kwa matendo au mapokeo ya kibinadamu. Alikosoa vikali desturi za kanisa ambazo hazikuwa na msingi wa kimaandiko.

Yesu na mapokeo ya Kiyahudi: Yesu alikosoa mapokeo ya Wafarisayo na waandishi ambayo yalikuwa yanapotosha ujumbe wa Mungu. Alihimiza kurejea kwenye maana halisi ya maandiko ya zamani na kupinga ubinafsi uliojaa katika mapokeo hayo.

Martin Luther na mapokeo ya Kanisa Katoliki: Luther alikataa mapokeo ya Kanisa Katoliki yaliyojikita katika desturi na mafundisho ya kibinadamu, akisisitiza kurejea kwa mafundisho ya Biblia kama msingi wa imani na wokovu.

Katika hali zote mbili, walikuwa wakikataa mapokeo ya kibinadamu yaliyojengeka na kuchukua nafasi ya mafundisho ya kweli ya dini. Walitaka kurejesha ukweli wa kimaandiko dhidi ya mapokeo yaliyokuwa yamepotosha maana halisi ya imani.
 
Hoja kuwa Malaika Hawawezi Kuasi si kweli, sio maroboti wale

Biblia Inathibitisha Malaika Walioasi:

Katika 2 Petro 2:4, tunapata kifungu kinachoelezea kwamba malaika walioasi walifungiwa kwa hukumu ya milele:

Hii inaonyesha wazi kuwa malaika walioasi walifungiwa kwa dhambi zao, na hawakuwa na uwezo wa kutoroka au kutenda kama walivyotenda awali. Hii ni tofauti na wazo kwamba malaika hawawezi kuasi, kwani maandiko yanaonyesha kwamba walifanya kosa na walipata adhabu kwa hiyo.

Quran Inathibitisha Majini Walikuwa na Uwezo wa Kuasi:

Katika Quran, Surah 15:27, inasema:

Majini waliumbwa kwa moto na wana uhuru wa kuchagua, ambao wanalinganishwa na malaika walioasi kwa sababu wote hawa wana uwezo wa kufanya chaguo.

Kwa hivyo, kinyume na wazo kwamba malaika hawawezi kuasi, maandiko ya Biblia na Quran yanathibitisha kwamba malaika walioasi walifanya kosa na walifungiwa kwa hiyo.

Kwahiyo MALAIKA Wana uwezo wa kuasi vizuri tu

Hoja yako kuwa Majini Ni Viumbe Tofauti na Malaika, nitakuja na vitabu vyote vya kiislamu na Ukristo kuthibitisha Hawa Wana asili moja na Majini ni Malaika walioasi ,

Katika Quran, Surah 55:15, majini wanasemwa kuwa waliumbwa kwa moto:

Malaika Walioasi Ni Majini:

Katika Yuda 1:6, tunapata kwamba malaika walioasi waliacha enzi yao na walifungiwa kwa hukumu:

Hii inasema kwamba malaika hawa walifanya kosa, na inafanya uwezekano kwamba malaika walioasi wangeweza kuwa majini kwa kuwa walikuwa na uwezo wa kuasi.

Malaika Walioasi Walifungiwa na Hawaruhusiwi Kutoka Kwenye Hukumu Yao hii Ina maana walifukuzwa mbinguni, sio kwamba Hawafanyi shughuli zao za udanganyifu huku duniani,Sio kwamba hawawezi kuacha kutoa ushawishi kwa watu.

Katika Mathayo 12:43-45, Yesu anasema:

Hii inaonyesha kuwa malaika walioasi wamefanya kosa na walifungiwa kwenye hukumu. Hata hivyo, majini wanadhihirisha uwezo wa kufanya chaguzi na ushawishi wa kiroho, na wanaendelea kuwa na sehemu kubwa ya ushawishi duniani.

Kwa hivyo, inavyoonekana, malaika walioasi hawaruhusiwi kutenda kama awali, lakini wana ushawishi wa kiroho duniani.
Ningependa Kabla Ya kujibu Usome Vizuri Nilichoandika Ndiyo Upate wasaa wa kujibu Kitu Hicho..

Nimekuonyesha Fungu kutoka kwa Yuda kuhusu Uasi wa Malaika Kuwa Malaika walioasi walifungwa na Hata peteo kaandika kitu kile kile..

Sasa Unajua Kwanini Malaika Wanahesabika Kuwa watakatifu kwa sasa kama Hutojali Tukitoa Hao malaika waliosi Kipindi hicho na Kufungwa Jela ambayo watasubiria Hukumu..

Nieleze Malaika Gani mwingine ameasi?
Kama Hakuna Basi jibu ni Malaika Hawawezi kuasi..
Kwa sababu malaika ameumbwa Kutii Amri ya Mungu..

Kwakuwa Unatoa Quran na Biblia na mimi Nitafanya Hivyo..

Surah Al-Anbiya (21:27)
"Hawazungumzi isipokuwa wanachozungumza Mola wao. Na wanatekeleza yale wanayoamrishwa."

Surah Al-Saffat (37:165-166)
"Na wao (malaika) wanapotumwa kwa amri ya Mungu, wao hufanya kwa ufanisi bila shaka. Hawako kwenye upotofu."

Surah Al-Baqarah (2:30)

"Na wakati Mola wako aliposema kwa malaika: 'Mimi nitafanya kiumbe kipya duniani...'"

5. Surah An-Nahl (16:50)

"Wao wanaiogopa mbele yake, na wanatenda kile alichoamrisha."

Malaika hawawezi kuasi, bali wanatii na kumcha Mungu. Wanatekeleza amri za Mungu bila kupinga.
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?

Yaani unawezaje kuandika haya wakati Uislamu upo kabla ya Biblia na huo Ukristo ?
 
Ishu ni kuwa ukiristu umekuwepo miaka 600 kabla ya Islam. Ila Hawa jamaa wanakuambia uislam ulianza tangu kuumbwa kwa ulimwengu

Yesu mwenyewe alikuwa Muislamu, Ukristo umeletwa na Paulo. Yesu amekufa hakuna Ukristo.
 
Kama ni kweli uislam ulikuwepo tangia Adam, iweje uletwe na Mohamed? Quran ni biblia iliyoandikwa kishairi na Biblia ni Quran iliyoandikwa kwenye prose. Simpo. Ukweli ndo huo japo unauma na kuumiza hasa kwa wale wapenda au wafia dini. Tusameheane. Ndiyo madhara ya kujua na kutojua.

Sababu na yeye ni Muislamu ndio maana akapewa Uislamu aulete.

Nani amekwambia Qur'an imeandikwa kishairi ? Unajua ushauri na mashairi ? Naomba ututhibitishie haya uliyo yaandika.
 
Umeandika mengi ila hakuna ulichothibitisha ni tofauti na walichofanya kina Luther ambacho ni hicho hicho kukataa mapokeo yaliyoingizwa ndani ya kanisa ,mbona simple tu

Yesu alikosoa mapokeo ya Kiyahudi yaliyokuwa yamejengeka juu ya Maandiko ya Kale. Aliona kuwa baadhi ya mapokeo hayo yalikuwa yamepotosha maana ya sheria na mafundisho ya Mungu. Katika Mathayo 15:1-9, Yesu anapinga vikali mapokeo ya Wafarisayo na waandishi ambao walikuwa wameweka mila za kibinadamu juu ya amri za Mungu.

Mathayo 15:3-6: "Akajibu akawaambia, Hata nini nanyi mnaondoa amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu. Kwa maana Mungu aliamuru, Heshimu baba yako na mama yako; na, Atakayemlaani baba au mama, na afe. Lakini ninyi mnawaambia, Kama mtu atasema kwa baba yake au mama yake, Nadhiri yangu ni kwamba nitakupa chochote kilichonitoka kwangu, hapatapata msaada kutoka kwangu."

Katika kifungu hiki, Yesu alionyesha jinsi mapokeo ya kibinadamu yalivyokuwa yamebadilisha maana ya amri za Mungu, na alikataa kuruhusu mila hizo zinazoharibu maana ya sheria za Mungu.

Martin Luther alikataa mapokeo ya Kanisa Katoliki, hasa zile ambazo zilikuwa zimejengeka zaidi juu ya mapokeo ya kibinadamu kuliko Maandiko ya Biblia. Mwaka 1517, Luther aliandika "Theses 95" akipinga uuzaji wa mapendeleo na tendo la kupokea toba kwa njia ya pesa (indulgences), jambo ambalo lilikuwa kinyume na mafundisho ya kibiblia.

Luther alijikita katika urejesho wa mafundisho ya kiasili ya Biblia, akisisitiza kwamba wokovu unapatikana kwa neema tu kupitia imani, siyo kwa matendo au mapokeo ya kibinadamu. Alikosoa vikali desturi za kanisa ambazo hazikuwa na msingi wa kimaandiko.

Yesu na mapokeo ya Kiyahudi: Yesu alikosoa mapokeo ya Wafarisayo na waandishi ambayo yalikuwa yanapotosha ujumbe wa Mungu. Alihimiza kurejea kwenye maana halisi ya maandiko ya zamani na kupinga ubinafsi uliojaa katika mapokeo hayo.

Martin Luther na mapokeo ya Kanisa Katoliki: Luther alikataa mapokeo ya Kanisa Katoliki yaliyojikita katika desturi na mafundisho ya kibinadamu, akisisitiza kurejea kwa mafundisho ya Biblia kama msingi wa imani na wokovu.

Katika hali zote mbili, walikuwa wakikataa mapokeo ya kibinadamu yaliyojengeka na kuchukua nafasi ya mafundisho ya kweli ya dini. Walitaka kurejesha ukweli wa kimaandiko dhidi ya mapokeo yaliyokuwa yamepotosha maana halisi ya imani.
Soma Hotuba ya Mwisho Ya Yesu Yerusalemu Ambayo Umeileta Wewe Na Nimependa sana..(Hotuba ambayo aliitoa Akiwa Hekaluni)

Soma Aya ya 2 na ya 3 ya Hotuba Hiyo..
Ambayo Inatoka kwenye Mathayo 23

Umeona Aya hiyo anasema Lolote watakalowaambia Mlishike
Kwakuwa wamekaa Katika Kiti cha Musa..
Sijui kama Unaelewa hiyo Sentensi maana Yake hakupinga Mafundisho waliyofundisha ila alipinga Mienendo yao ni vitu Viwili tofauti..

Mafundisho na Mienendo
Screenshot_20241210_102104_Biblia Takatifu.jpg

Tukija kwa Martin Luther..

Sasa katafute au Kasome Thesis zote la Luther tuje Tuongee Lugha Moja kama Kuna Hata moja alizungumza Viongozi wafuatwe
 
Ningependa Kabla Ya kujibu Usome Vizuri Nilichoandika Ndiyo Upate wasaa wa kujibu Kitu Hicho..

Nimekuonyesha Fungu kutoka kwa Yuda kuhusu Uasi wa Malaika Kuwa Malaika walioasi walifungwa na Hata peteo kaandika kitu kile kile..

Sasa Unajua Kwanini Malaika Wanahesabika Kuwa watakatifu kwa sasa kama Hutojali Tukitoa Hao malaika waliosi Kipindi hicho na Kufungwa Jela ambayo watasubiria Hukumu..

Nieleze Malaika Gani mwingine ameasi?
Kama Hakuna Basi jibu ni Malaika Hawawezi kuasi..
Kwa sababu malaika ameumbwa Kutii Amri ya Mungu..

Kwakuwa Unatoa Quran na Biblia na mimi Nitafanya Hivyo..

Surah Al-Anbiya (21:27)
"Hawazungumzi isipokuwa wanachozungumza Mola wao. Na wanatekeleza yale wanayoamrishwa."

Surah Al-Saffat (37:165-166)
"Na wao (malaika) wanapotumwa kwa amri ya Mungu, wao hufanya kwa ufanisi bila shaka. Hawako kwenye upotofu."

Surah Al-Baqarah (2:30)

"Na wakati Mola wako aliposema kwa malaika: 'Mimi nitafanya kiumbe kipya duniani...'"

5. Surah An-Nahl (16:50)

"Wao wanaiogopa mbele yake, na wanatenda kile alichoamrisha."

Malaika hawawezi kuasi, bali wanatii na kumcha Mungu. Wanatekeleza amri za Mungu bila kupinga.

Ukisoma Quran na Biblia zote zinakubaliana kuwa malaika wanatii amri za Mungu kwa kawaida, lakini Biblia inatoa mifano ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuchagua na hivyo kuasi.

Katika Isaya 14:12-15, inazungumzia Lucifer, malaika wa hali ya juu ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu kwa kusema: "Nitapanda juu ya milima ya mungu, nitajifanya kuwa kama mungu". Hii ni mifano ya malaika waliokosa utii na kuasi dhidi ya Mungu.

Katika Ezekieli 28:12-19, tunapata maelezo ya malaika mwingine aliyeanguka, ambaye aliishi kwa fahari na kiburi, na alijivunia uwezo wake. Mungu alimuangusha kutoka kwenye utukufu wake kutokana na uasi wake.

Yuda 1:6 pia inazungumzia malaika walioasi, ambao walikataa kutii na hivyo walifungwa katika minyororo za giza kwa ajili ya hukumu.

Ingawa malaika ni viumbe walioumbwa kutii amri za Mungu, Biblia inaonyesha kuwa malaika, kama viumbe huru, wana uwezo wa kufanya maamuzi. Hii inathibitishwa na mifano ya malaika walianguka, kama vile Lucifer na wale aliowaongoza katika uasi wake, ambao walichagua kumwasi Mungu.

Ingawa Quran inasema malaika wanatii amri za Mungu bila kupinga (kama ilivyo kwenye Surah Al-Anbiya (21:27) na Surah Al-Saffat (37:165-166)), Quran haitoi mifano ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuasi kama ilivyo katika Biblia. Hata hivyo, kwa kuzingatia maelezo ya Sura Al-Baqarah (2:30), ambapo malaika wanashindwa kuelewa kwa nini Mungu ataunda kiumbe kipya kama mwanadamu, inaonyesha kwamba kuna wakati ambapo malaika wanashindwa kuelewa mipango ya Mungu, ingawa hawaasi.

Kwa hivyo, tunaweza kusema kwamba ingawa malaika kwa ujumla wanatii amri za Mungu, Biblia ina mifano wazi ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuasi na kisha walipata adhabu kwa uasi wao. Hii inathibitisha kwamba malaika wanaweza kuwa na uwezo wa kuchagua na hivyo kuasi.
 
Soma Hotuba ya Mwisho Ya Yesu Yerusalemu Ambayo Umeileta Wewe Na Nimependa sana..(Hotuba ambayo aliitoa Akiwa Hekaluni)

Soma Aya ya 2 na ya 3 ya Hotuba Hiyo..
Ambayo Inatoka kwenye Mathayo 23

Umeona Aya hiyo anasema Lolote watakalowaambia Mlishike
Kwakuwa wamekaa Katika Kiti cha Musa..
Sijui kama Unaelewa hiyo Sentensi maana Yake hakupinga Mafundisho waliyofundisha ila alipinga Mienendo yao ni vitu Viwili tofauti..

Mafundisho na Mienendo
View attachment 3173551

Tukija kwa Martin Luther..

Sasa katafute au Kasome Thesis zote la Luther tuje Tuongee Lugha Moja kama Kuna Hata moja alizungumza Viongozi wafuatwe
Ina maana hujui kuwa Kuna mambo mengi mazuri Luther aliyachukua kutoka Catholic na mpaka Leo yapo kwenye makanisa ya wa protestant?

Martin Luther hakupinga kila kitu 100% cha Kanisa la Rumi ,thus why pamoja aliondoka ila Kuna mafundisho ya Roma aliondoka nayo, na hivo hivo kwa Wana matengenezo wengine
 
Yesu mwenyewe alikuwa Muislamu, Ukristo umeletwa na Paulo. Yesu amekufa hakuna Ukristo.
YESU hajawahi kuwa muislamu,alikuwa dini ya kiyahudi , Uislamu umekuja mwaka 622 hapo

Msidanganywe ,
 
Sababu na yeye ni Muislamu ndio maana akapewa Uislamu aulete.

Nani amekwambia Qur'an imeandikwa kishairi ? Unajua ushauri na mashairi ? Naomba ututhibitishie haya uliyo yaandika.
Kabla ya Muhammad, Uislamu ulikuwa kwa misingi ipi

Walitumia kitabu au vitabu gani kuongoza ibada ? Je hivo vitabu viko wapi

Majengo ya ibada yalikuwa yapi

Walikuwa wanaabudu kwa mtindo upi

Mbona hakuna ushahidi hata tone wa historia inayoonesha uislamu uliwahi kuwepo kabla ya Muhammad
 
Back
Top Bottom