Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Ukisoma Quran na Biblia zote zinakubaliana kuwa malaika wanatii amri za Mungu kwa kawaida, lakini Biblia inatoa mifano ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuchagua na hivyo kuasi.

Katika Isaya 14:12-15, inazungumzia Lucifer, malaika wa hali ya juu ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu kwa kusema: "Nitapanda juu ya milima ya mungu, nitajifanya kuwa kama mungu". Hii ni mifano ya malaika waliokosa utii na kuasi dhidi ya Mungu.

Katika Ezekieli 28:12-19, tunapata maelezo ya malaika mwingine aliyeanguka, ambaye aliishi kwa fahari na kiburi, na alijivunia uwezo wake. Mungu alimuangusha kutoka kwenye utukufu wake kutokana na uasi wake.

Yuda 1:6 pia inazungumzia malaika walioasi, ambao walikataa kutii na hivyo walifungwa katika minyororo za giza kwa ajili ya hukumu.

Ingawa malaika ni viumbe walioumbwa kutii amri za Mungu, Biblia inaonyesha kuwa malaika, kama viumbe huru, wana uwezo wa kufanya maamuzi. Hii inathibitishwa na mifano ya malaika walianguka, kama vile Lucifer na wale aliowaongoza katika uasi wake, ambao walichagua kumwasi Mungu.

Ingawa Quran inasema malaika wanatii amri za Mungu bila kupinga (kama ilivyo kwenye Surah Al-Anbiya (21:27) na Surah Al-Saffat (37:165-166)), Quran haitoi mifano ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuasi kama ilivyo katika Biblia. Hata hivyo, kwa kuzingatia maelezo ya Sura Al-Baqarah (2:30), ambapo malaika wanashindwa kuelewa kwa nini Mungu ataunda kiumbe kipya kama mwanadamu, inaonyesha kwamba kuna wakati ambapo malaika wanashindwa kuelewa mipango ya Mungu, ingawa hawaasi.

Kwa hivyo, tunaweza kusema kwamba ingawa malaika kwa ujumla wanatii amri za Mungu, Biblia ina mifano wazi ya malaika waliokuwa na uwezo wa kuasi na kisha walipata adhabu kwa uasi wao. Hii inathibitisha kwamba malaika wanaweza kuwa na uwezo wa kuchagua na hivyo kuasi.
Huwa ninashangaa Haya Mafundisho Potofu Huwa Mnayatoa wapi??

Kwa mfano Fundisho la Uwepo Wa malaika Anayeitwa Lucifer aliyeasi...Hakukuwahi kuwepo Malaika anaitwa Lucifer na Kingine Aya uliyotoa Ya Kutoka kwenye Isaya 14...
Naomba Nikukumbushe kwamba Iliaandikwa kipindi wana wa Israel wako Utumwani Babel..
Na Mungu alikuwa akimwambia Isaya Kuhusu Anguko la Mfalme wa Babel na Kuinuka kwa Utawala wa Yuda na YAKobo (Kwa Ujumla) ikiwemo Ujio wa Masihi..

Fungu Hilo halina Uhusiano na Shetani kabisaaa...

Naomba Nikurudoshe Nyuma Mpaka mwanzo wa Fungu Hilo ambapo Anaambiwa Aandike..

Isaya 14:4

"....utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!"...

sasa alivyoambiwa Kutunga Mithali kuhusu Mfalme wa Babeli ndo ikaanza mithali yenyewe ambayo imeandikwa kwa Sura Nzima..

Na ndo maana hata Yesu Ukienda Kwenye Ufunuo anaitwa Lucifer na hata Ukiangalia Maandishi ya paulo mengi anataja Watu watakaompokea Yesu Kuitwa Lucifer na Kukabidhiwa Hiyo Lucifer..

So lucifer sio Shetani Ni Mtu yoyote Ambaye anabeba nuru na anayeleta Nuru..

Narudi kwenye Ezekiel..
Jamani Shetani hajawahi Kutawala Mji wa tiro wala Sidoni...

Anayezungumzwa kwenye Ezekiel 28 Yote ni Kiongozi w Tiro na Sidoni ambayo kuanzia aya ya 11 mpaka 19 Anazungumzia Tiro..

NaAya kuanzia 20 mpaka 24 anazungumzia Sidoni hakuna Shetanj anayezungumziwa Hapo..

Sijui Mnatoa wapi Hizo doctrine..

NAtamani na mimi.Ninifunze ila Kama utashupaza shingo niko tayari kuleta Hizo aya mpaka kwenye Vifungu vyake halisia kwa lugha ya Kiebrania, Kiaramaic na Kiyunani na nitakuambia Ni lini hasa Hiyo doctrine imeanza kutumika..

Na Doctrine ya Upotofu kabisa..
 
Ina maana hujui kuwa Kuna mambo mengi mazuri Luther aliyachukua kutoka Catholic na mpaka Leo yapo kwenye makanisa ya wa protestant?

Martin Luther hakupinga kila kitu 100% cha Kanisa la Rumi ,thus why pamoja aliondoka ila Kuna mafundisho ya Roma aliondoka nayo, na hivo hivo kwa Wana matengenezo wengine
Natamani Usome Thesis 95 kwanza Tuje tuongee kuhusu Hizo thesisi
 
Huwa ninashangaa Haya Mafundisho Potofu Huwa Mnayatoa wapi??

Kwa mfano Fundisho la Uwepo Wa malaika Anayeitwa Lucifer aliyeasi...Hakukuwahi kuwepo Malaika anaitwa Lucifer na Kingine Aya uliyotoa Ya Kutoka kwenye Isaya 14...
Naomba Nikukumbushe kwamba Iliaandikwa kipindi wana wa Israel wako Utumwani Babel..
Na Mungu alikuwa akimwambia Isaya Kuhusu Anguko la Mfalme wa Babel na Kuinuka kwa Utawala wa Yuda na YAKobo (Kwa Ujumla) ikiwemo Ujio wa Masihi..

Fungu Hilo halina Uhusiano na Shetani kabisaaa...

Naomba Nikurudoshe Nyuma Mpaka mwanzo wa Fungu Hilo ambapo Anaambiwa Aandike..

Isaya 14:4

"....utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!"...

sasa alivyoambiwa Kutunga Mithali kuhusu Mfalme wa Babeli ndo ikaanza mithali yenyewe ambayo imeandikwa kwa Sura Nzima..

Na ndo maana hata Yesu Ukienda Kwenye Ufunuo anaitwa Lucifer na hata Ukiangalia Maandishi ya paulo mengi anataja Watu watakaompokea Yesu Kuitwa Lucifer na Kukabidhiwa Hiyo Lucifer..

So lucifer sio Shetani Ni Mtu yoyote Ambaye anabeba nuru na anayeleta Nuru..

Narudi kwenye Ezekiel..
Jamani Shetani hajawahi Kutawala Mji wa tiro wala Sidoni...

Anayezungumzwa kwenye Ezekiel 28 Yote ni Kiongozi w Tiro na Sidoni ambayo kuanzia aya ya 11 mpaka 19 Anazungumzia Tiro..

NaAya kuanzia 20 mpaka 24 anazungumzia Sidoni hakuna Shetanj anayezungumziwa Hapo..

Sijui Mnatoa wapi Hizo doctrine..

NAtamani na mimi.Ninifunze ila Kama utashupaza shingo niko tayari kuleta Hizo aya mpaka kwenye Vifungu vyake halisia kwa lugha ya Kiebrania, Kiaramaic na Kiyunani na nitakuambia Ni lini hasa Hiyo doctrine imeanza kutumika..

Na Doctrine ya Upotofu kabisa..
Wewe leta tu haya maandiko ,

Lugha iliyotumika hapo ni ya picha

Hata isaya 53 wayahudi wanasema haimuhusu Yesu Bali Taifa la Israel,hata Zaburi nyingi za kimasihi wayahudi wanasema hazumuhusu Yesu Bali Taifa ,kwahiyo Sijashangaa kusema hizo Aya hazimuhusu Lucifer

Isaya 14:12-15 inazungumzia uasi wa Lucifer kwa kutumia picha za kifasihi na mifano ya mfalme wa Babeli. Ingawa muktadha wa kwanza ni kuhusu mfalme wa Babeli, lugha na picha zinazotumika zinafanana na hadithi ya Lucifer, ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu. Neno "Lucifer" linapotumika hapa linahusiana na uasi mkubwa wa kiumbe aliyeanguka kutoka kwa utukufu wake, na hiyo ni picha ya wazi ya Lucifer (Shetani).

Katika Isaya 14, ingawa muktadha wa kihistoria ni kuhusu mfalme wa Babeli, aliyejivunia na aliyetawala kwa dhuluma, maneno yaliyotumika pia yana picha ya kimfano ya kiburi kinachofanana na cha Shetani (Lucifer). Katika maandiko mengi ya zamani, mfalme anapojivuna na kuasi Mungu, mara nyingi anafananishwa na Shetani mwenyewe, ambaye alijivunia na alianguka kutoka kwa hadhi ya juu.

Katika Luka 10:18, Yesu anasema: “Nikaona Shetani akishuka kutoka mbinguni kama umeme.” Hii inahusiana na uasi wa Shetani na kuanguka kwake kutoka utukufu, na hivyo inathibitisha kwamba Isaya 14 inazungumzia uasi wa Lucifer.

Katika Ezekieli 28:12-17, inazungumzia kuhusu mfalme wa Tiro, lakini pia inatoa picha ya uasi wa Lucifer. Inasema:

“Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu ulipoumbwa mpaka uovu ulipopatikana kwako. Kwa wingi wa biashara zako ulijivunia na ukaanguka…”

Hapa inaonekana kuwa mfalme wa Tiro anafananishwa na Lucifer, ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu kwa kusema kuwa angefananishwa na Mungu. Katika muktadha wa Isaya 14, tunapata picha ya Lucifer mwenyewe akijivunia na kutaka kiti cha enzi cha Mungu, jambo ambalo lilikuwa dhambi kubwa kwa Shetani.

Aya hizi katika Isaya 14:12-15 zinasema:

“Jinsi ulivyoshuka kutoka mbinguni, ee, nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umekatishwa chini kwa dunia, wewe uliyekuwa ukiweka mataifa chini. Wewe ulisema moyoni mwako, Nitapanda juu ya mbingu, Nitainua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu, Nitaketi juu ya mlima wa mkusanyiko wa mungu, Katika milima ya kaskazini; Nitapanda juu ya mapanda ya mawingu, Nitafananishwa na Aliye Juu Zaidi.”

Hizi ni kauli zinazotolewa na mtu anayejiinua na kutamani kiti cha enzi cha Mungu, na pia anasema atafikia hadhi ya Mungu. Hii inavyoonekana kama majivuno ya Shetani (Lucifer), ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu.
 
Huwa sipati jibu kwenye hili swali, kwanini muarabu aanzishe dini mpya miaka 500 baada ya Kristo kuondoka, dini ambayo imesababisha vurugu duniani.
Malaria 2
Unao ushahidi kuwa Yesu dini yake ilikuwa ukristo?

Na unao ushahidi kuwa Yesu aliwahi kuingia ndani ya kanisa akasali misa inayoongozwa na padre?

Na unao ushahidi kuwa Yesu aliwahi kufanya ibada siku ya jumapili ?

Kama ushahidi wa hayo hauna Kwa Nini useme Yesu alikuwa mkristo?

Yesu alikuwa Muislam nyinyi wagalatia warumi wamekuingizeni chaka
 
DR Mambo Jambo njoo msikie huyu 😂😂
 
Huwa ninashangaa Haya Mafundisho Potofu Huwa Mnayatoa wapi??

Kwa mfano Fundisho la Uwepo Wa malaika Anayeitwa Lucifer aliyeasi...Hakukuwahi kuwepo Malaika anaitwa Lucifer na Kingine Aya uliyotoa Ya Kutoka kwenye Isaya 14...
Naomba Nikukumbushe kwamba Iliaandikwa kipindi wana wa Israel wako Utumwani Babel..
Na Mungu alikuwa akimwambia Isaya Kuhusu Anguko la Mfalme wa Babel na Kuinuka kwa Utawala wa Yuda na YAKobo (Kwa Ujumla) ikiwemo Ujio wa Masihi..

Fungu Hilo halina Uhusiano na Shetani kabisaaa...

Naomba Nikurudoshe Nyuma Mpaka mwanzo wa Fungu Hilo ambapo Anaambiwa Aandike..

Isaya 14:4

"....utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema, Jinsi alivyokoma mwenye kuonea; Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!"...

sasa alivyoambiwa Kutunga Mithali kuhusu Mfalme wa Babeli ndo ikaanza mithali yenyewe ambayo imeandikwa kwa Sura Nzima..

Na ndo maana hata Yesu Ukienda Kwenye Ufunuo anaitwa Lucifer na hata Ukiangalia Maandishi ya paulo mengi anataja Watu watakaompokea Yesu Kuitwa Lucifer na Kukabidhiwa Hiyo Lucifer..

So lucifer sio Shetani Ni Mtu yoyote Ambaye anabeba nuru na anayeleta Nuru..

Narudi kwenye Ezekiel..
Jamani Shetani hajawahi Kutawala Mji wa tiro wala Sidoni...

Anayezungumzwa kwenye Ezekiel 28 Yote ni Kiongozi w Tiro na Sidoni ambayo kuanzia aya ya 11 mpaka 19 Anazungumzia Tiro..

NaAya kuanzia 20 mpaka 24 anazungumzia Sidoni hakuna Shetanj anayezungumziwa Hapo..

Sijui Mnatoa wapi Hizo doctrine..

NAtamani na mimi.Ninifunze ila Kama utashupaza shingo niko tayari kuleta Hizo aya mpaka kwenye Vifungu vyake halisia kwa lugha ya Kiebrania, Kiaramaic na Kiyunani na nitakuambia Ni lini hasa Hiyo doctrine imeanza kutumika..

Na Doctrine ya Upotofu kabisa..
Pia kwa hoja zako hizo hizo ,nitakuswalika maswali ,Kisha utagundua hiyo ni lugha ya picha tu

Kupitia Isaya 14 na Ezekieli 28,

1. Ni lini mfalme wa Babeli alijivunia na kusema kwamba atapanda juu ya mbingu na kuwa sawa na Mungu, kama inavyosema katika Isaya 14:13-14?

2. Je, mfalme wa Babeli aliwahi kutawala au kuwa na nguvu za kushindana na Mungu kama inavyoelezwa katika Isaya 14:14, au huu ni uhusiano wa mfano na uasi wa Lucifer?

3. Katika Ezekieli 28:13-15, mfalme wa Tiro anatajwa kuwa aliishi katika Edeni. Je, mfalme huyu alikuwa na uhusiano gani na Edeni? Je, alikuwa akitekeleza majukumu ya kiroho au hapa kuna picha ya uasi wa Lucifer?

4. Ni vipi mfalme wa Babeli au mfalme wa Tiro walikufuru kwa kiburi cha aina hii wakati walikuwa wanadamu wa kawaida, ikilinganishwa na hadithi ya Lucifer aliyeanguka kutoka mbinguni?

5. Kwa nini Isaya 14 na Ezekieli 28 zimetumia picha za mfalme wa Babeli na mfalme wa Tiro kuonyesha uasi na kiburi, wakati pia zinafanana sana na picha ya Lucifer katika Biblia?
 
Wewe leta tu haya maandiko ,

Lugha iliyotumika hapo ni ya picha

Hata isaya 51 wayahudi wanasema haimuhusu Yesu Bali Taifa la Israel,hata Zaburi nyingi za kimasihi wayahudi wanasema hazumuhusu Yesu Bali Taifa ,kwahiyo Sijashangaa kusema hizo Aya hazimuhusu Lucifer

Isaya 14:12-15 inazungumzia uasi wa Lucifer kwa kutumia picha za kifasihi na mifano ya mfalme wa Babeli. Ingawa muktadha wa kwanza ni kuhusu mfalme wa Babeli, lugha na picha zinazotumika zinafanana na hadithi ya Lucifer, ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu. Neno "Lucifer" linapotumika hapa linahusiana na uasi mkubwa wa kiumbe aliyeanguka kutoka kwa utukufu wake, na hiyo ni picha ya wazi ya Lucifer (Shetani).
NA aliyekuambia kuwa Lucifer Ni shetani ni nani?
tuanzie hapo kwanza..
Na Mfalme wa Babeli alikuwa na Utukufu na Historia inathibitisha hivyo ila alipoamua Kuwatesa wana Wa Israel ili ajibebe Sifa na Utukufu zaidi ya Mungu..
Maana mungu alizema Israel ni mwanae wa Kwanza na yoyote amkasirishaye humuudhi mungu moja kwa moja..

Kwahyo Kujipaisha kwa Israel ilikuwa ni Kujipaisha kwa Mungu mwenywe..

tuanze na Unafahamu maana Ya Lucifer (Na Limeanza Lini Kutumika) kabla ya Hapo Hiyo haya Ilikuwwa Ikisemwa Kama Nini au nani..
Je Yesu hajatajwa Kama Lucifer ajaye na Vipi kuhusu Sisi tulioambiwa kuwa kupewa Ulucifer na Mungu unasemaje kuhusu hilo

Katika Isaya 14, ingawa muktadha wa kihistoria ni kuhusu mfalme wa Babeli, aliyejivunia na aliyetawala kwa dhuluma, maneno yaliyotumika pia yana picha ya kimfano ya kiburi kinachofanana na cha Shetani (Lucifer). Katika maandiko mengi ya zamani, mfalme anapojivuna na kuasi Mungu, mara nyingi anafananishwa na Shetani mwenyewe, ambaye alijivunia na alianguka kutoka kwa hadhi ya juu.

Katika Luka 10:18, Yesu anasema: “Nikaona Shetani akishuka kutoka mbinguni kama umeme.” Hii inahusiana na uasi wa Shetani na kuanguka kwake kutoka utukufu, na hivyo inathibitisha kwamba Isaya 14 inazungumzia uasi wa Lucifer.
😁😁 Usiniambie Kumbe Shetani alikuwa Mbinguni mpaka kipi di cha yesu Baada ya Wale 70 Walipomuona Akishuka kama Umeme..
Katika Ezekieli 28:12-17, inazungumzia kuhusu mfalme wa Tiro, lakini pia inatoa picha ya uasi wa Lucifer. Inasema:

“Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu ulipoumbwa mpaka uovu ulipopatikana kwako. Kwa wingi wa biashara zako ulijivunia na ukaanguka…”

Hapa inaonekana kuwa mfalme wa Tiro anafananishwa na Lucifer, ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu kwa kusema kuwa angefananishwa na Mungu. Katika muktadha wa Isaya 14, tunapata picha ya Lucifer mwenyewe akijivunia na kutaka kiti cha enzi cha Mungu, jambo ambalo lilikuwa dhambi kubwa kwa Shetani.

Aya hizi katika Isaya 14:12-15 zinasema:

“Jinsi ulivyoshuka kutoka mbinguni, ee, nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umekatishwa chini kwa dunia, wewe uliyekuwa ukiweka mataifa chini. Wewe ulisema moyoni mwako, Nitapanda juu ya mbingu, Nitainua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu, Nitaketi juu ya mlima wa mkusanyiko wa mungu, Katika milima ya kaskazini; Nitapanda juu ya mapanda ya mawingu, Nitafananishwa na Aliye Juu Zaidi.”

Hizi ni kauli zinazotolewa na mtu anayejiinua na kutamani kiti cha enzi cha Mungu, na pia anasema atafikia hadhi ya Mungu. Hii inavyoonekana kama majivuno ya Shetani (Lucifer), ambaye alijivunia na alijaribu kumwasi Mungu.
KKa soma Maandiko sana Na Ikibidi Soma Lugha ya Kiebrania vizuri kabisa Uelewe Misamiati yake na maana zake hasa Muktadha wake Neno lipi likiongewa Humaanisha nini..

Soma na Kigiriki sana na Hasa ukipata Muda soma Kiaramu
 
Unao ushahidi kuwa Yesu dini yake ilikuwa ukristo?

Na unao ushahidi kuwa Yesu aliwahi kuingia ndani ya kanisa akasali misa inayoongozwa na padre?

Na unao ushahidi kuwa Yesu aliwahi kufanya ibada siku ya jumapili ?

Kama ushahidi wa hayo hauna Kwa Nini useme Yesu alikuwa mkristo?

Yesu alikuwa Muislam nyinyi wagalatia warumi wamekuingizeni chaka
Mimi na maswali kwako ,ukinijibu Leo narudi kwenye uislamu

1. Kama Yesu alikuwa Muislamu, kwa nini alizungumza kuhusu utawala wa Mungu na ufalme wa mbinguni, na si kuhusu Uislamu kama unavyojulikana leo?

2. Katika maandiko ya Biblia, Yesu anajiita "Mwana wa Mungu" (Mathayo 16:16, Yohana 10:36), jambo ambalo halifanani na mafundisho ya Uislamu. Je, unaweza kuelezea jinsi Yesu anavyoweza kuwa Muislamu na kusema hivi?

3. Uislamu ulianza karne kadhaa baada ya Yesu kuzaliwa, kwa hivyo, ni vipi Yesu, ambaye alikuwa akifundisha mapenzi ya Mungu, alijua kuhusu dini hii (Uislamu) ambayo haikuwa imeanzishwa bado?

4. Katika Injili, Yesu alifanya ibada katika sinagogi (Mathayo 4:23, Luka 4:16), na si katika msikiti. Je, unaweza kuelezea kwa nini Yesu alifanya ibada katika sinagogi na si katika msikiti, kama Uislamu unavyotaka?

5. Uislamu una mafundisho tofauti na yale Yesu aliyoyafundisha kuhusu wokovu, kufa kwa Yesu, na ufufuo. Je, ni vipi Yesu alikubaliana na mafundisho ya Uislamu kuhusu wokovu na maisha baada ya kifo, kama alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu (Yohana 3:16)?
 
Yesu hakuwahi Kuwa Muislamu wala Mkristo..
Yesu alikuwa myahudi na Ushahidi Usio na shaka kuhusu Hilo upo wazi..
 
Kabla ya Muhammad, Uislamu ulikuwa kwa misingi ipi

Walitumia kitabu au vitabu gani kuongoza ibada ? Je hivo vitabu viko wapi

Majengo ya ibada yalikuwa yapi

Walikuwa wanaabudu kwa mtindo upi

Mbona hakuna ushahidi hata tone wa historia inayoonesha uislamu uliwahi kuwepo kabla ya Muhammad

Hili swali ukiuliza hawajawahi kujibu. Ukiwauliza msingi wa imani ya kiislam kabla ya Muhammad ulikuwa ni nini? Bro wakikujibu nitag
 
NA aliyekuambia kuwa Lucifer Ni shetani ni nani?
tuanzie hapo kwanza..
Na Mfalme wa Babeli alikuwa na Utukufu na Historia inathibitisha hivyo ila alipoamua Kuwatesa wana Wa Israel ili ajibebe Sifa na Utukufu zaidi ya Mungu..
Maana mungu alizema Israel ni mwanae wa Kwanza na yoyote amkasirishaye humuudhi mungu moja kwa moja..

Kwahyo Kujipaisha kwa Israel ilikuwa ni Kujipaisha kwa Mungu mwenywe..

tuanze na Unafahamu maana Ya Lucifer (Na Limeanza Lini Kutumika) kabla ya Hapo Hiyo haya Ilikuwwa Ikisemwa Kama Nini au nani..
Je Yesu hajatajwa Kama Lucifer ajaye na Vipi kuhusu Sisi tulioambiwa kuwa kupewa Ulucifer na Mungu unasemaje kuhusu hilo

😁😁 Usiniambie Kumbe Shetani alikuwa Mbinguni mpaka kipi di cha yesu Baada ya Wale 70 Walipomuona Akishuka kama Umeme..

KKa soma Maandiko sana Na Ikibidi Soma Lugha ya Kiebrania vizuri kabisa Uelewe Misamiati yake na maana zake hasa Muktadha wake Neno lipi likiongewa Humaanisha nini..

Soma na Kigiriki sana na Hasa ukipata Muda soma Kiaramu
Ndugu Mimi sishangai Yesu kuitwa Nyota ya Asubuhi, Yesu kaitwa Nyoka pia pale Musa alipoinua Fimbo yenye nyoka juu ili Wana wa Israel waiangalie ,lile tukio limefananishwa na Yesu juu ya msalaba na maandiko

Ni kweli kwamba mfalme wa Babeli alikuwa na utukufu mkubwa na alijivunia utawala wake kama inavyosema Isaya 14:13-14, lakini alijivuna kwa njia ya kiburi, ambayo ndiyo ilileta uasi wake dhidi ya Mungu. Alijaribu kujilinganisha na Mungu mwenyewe na hata kutaka kiti cha Mungu, akasema: "Nitapanda juu ya nyota za Mungu, nitainua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu".

Hii ni picha ya wazi ya Lucifer (Shetani) ambaye alijivunia na akaanguka kutoka kwa utukufu wake.

Hivyo, ingawa mfalme wa Babeli alikuwa na utukufu wa kibinadamu, uasi wake ulionyesha uasi wa kiroho ulioanzia kwa Shetani, ambaye alianguka kutokana na kiburi chake.

Katika Biblia, Mungu anasema kuhusu taifa la Israeli kuwa ni watoto wake wa kwanza (Kutoka 4:22), na alijali taifa hili kwa ajili ya mpango wake wa wokovu wa ulimwengu. Hivyo, mfalme wa Babeli alipoamua kuwatesa Waisraeli, alikataa mamlaka ya Mungu na alijivunia kwa njia ya kiburi. Hii ilikuwa ni dhambi kwa Mungu, kwa sababu aliwatendea vibaya watu waliokuwa wake, na hivyo alijiletea hukumu kutokana na kumwasi Mungu.

Kujipaisha kwa Waisraeli, kwa hiyo, ilikuwa ni kiburi cha mfalme wa Babeli ambaye alijifanya kuwa bora kuliko Mungu mwenyewe, na hii ilileta adhabu kubwa kutoka kwa Mungu.

Katika Biblia, Yesu anatajwa kama "Nyota ya Asubuhi" katika Ufunuo 22:16, ambapo Yesu mwenyewe anasema: "Mimi ni mzawa na uzao wa Daudi, nyota ya asubuhi." Hii ni sehemu ya unabii ambayo inarejelea mwangaza na utukufu wa Yesu, ambaye alikuja kuleta mwanga na wokovu kwa ulimwengu. Hapa, neno "nyota ya asubuhi" linatumika kumwonyesha Yesu kama mkombozi, na sio Shetani.

Kwa hiyo, Yesu anatajwa kama "nyota ya asubuhi", lakini ni kwa maana ya mwangaza wa wokovu, si kwa maana ya Lucifer aliyeanguka kutokana na kiburi. Hii ni tofauti ya msingi kati ya Yesu na Shetani (Lucifer).

Kwa mujibu wa Luka 10:18, Yesu anasema: "Nikaona Shetani akishuka kutoka mbinguni kama umeme." Hii inadhihirisha kwamba Shetani alishuka kutoka mbinguni baada ya kumwasi Mungu, na ndiyo maana ya kutajwa kwake kuwa akishuka kutoka mbinguni kama umeme. Hata hivyo, Shetani alikuwapo mbinguni kabla ya kuasi, lakini alikataa mamlaka ya Mungu na alijivuna, na kwa hivyo alifukuzwa.

Katika Yohana 8:44, Yesu anamtaja Shetani kama "baba wa uongo", na pia anasema: "Hakuwa na ukweli ndani yake", akikiri asili yake ya uasi kutoka kwa Mungu. Shetani alijivunia kwa kiburi chake na alijaribu kumwasi Mungu, jambo ambalo lilipelekea anguko lake.
 
Mimi na maswali kwako ,ukinijibu Leo narudi kwenye uislamu

1. Kama Yesu alikuwa Muislamu, kwa nini alizungumza kuhusu utawala wa Mungu na ufalme wa mbinguni, na si kuhusu Uislamu kama unavyojulikana leo?

2. Katika maandiko ya Biblia, Yesu anajiita "Mwana wa Mungu" (Mathayo 16:16, Yohana 10:36), jambo ambalo halifanani na mafundisho ya Uislamu. Je, unaweza kuelezea jinsi Yesu anavyoweza kuwa Muislamu na kusema hivi?

3. Uislamu ulianza karne kadhaa baada ya Yesu kuzaliwa, kwa hivyo, ni vipi Yesu, ambaye alikuwa akifundisha mapenzi ya Mungu, alijua kuhusu dini hii (Uislamu) ambayo haikuwa imeanzishwa bado?

4. Katika Injili, Yesu alifanya ibada katika sinagogi (Mathayo 4:23, Luka 4:16), na si katika msikiti. Je, unaweza kuelezea kwa nini Yesu alifanya ibada katika sinagogi na si katika msikiti, kama Uislamu unavyotaka?

5. Uislamu una mafundisho tofauti na yale Yesu aliyoyafundisha kuhusu wokovu, kufa kwa Yesu, na ufufuo. Je, ni vipi Yesu alikubaliana na mafundisho ya Uislamu kuhusu wokovu na maisha baada ya kifo, kama alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu (Yohana 3:16)?

Yesu alihubiri amani pia, kama alivyoongea kwenye mahubiri yake ya mlimani. Mfano yale unayotaka watu wakutendee, nawe watendee hayo hayo. Na usiyoyataka wakutendee, nawe usiwatendee. Mfano mwingine akikupiga shavuot hili, mgeuzie nanla kushoto. Yote hiyo alijaribu kuwafanya watu wasipende kisasi au wasiwe na mtqzamo wa kulipiza. Lakini Mohammed yeye anahubiri kisasi tu. Ukipiga nawe piga. Sasa mbona yesu alihubiri kinyume na uislam, if at all he was a Muslim?
 
Wagalatia mna shida eti Muhammad hakusoma
Yesu alisoma university gani?

Ndio mjue kuwa Mungu fundi alitaka wakati anapewa utume awe brain washed Ili nyinyi makafiri msije mkasema alikopi na kupest Kwa kuwa alikuwa msomi

Ila Baada ya kupewa utume Mungu alimsomesha

Quran 87:6
Tutakusomesha wala hutasahau,
 
Kuna maswali nimekuuliza sijui hujayaona ,Mimi nimekuwa muislamu nikauacha ,sasa nataka kurudi ila ukinijibu haya maswali

Usoyaone yakawaidia ukayakurupukia ,

1. Kama Yesu alikuwa Muislamu, kwa nini alizungumza kuhusu utawala wa Mungu na ufalme wa mbinguni, na si kuhusu Uislamu kama unavyojulikana leo?

2. Katika maandiko ya Biblia, Yesu anajiita "Mwana wa Mungu" (Mathayo 16:16, Yohana 10:36), jambo ambalo halifanani na mafundisho ya Uislamu. Je, unaweza kuelezea jinsi Yesu anavyoweza kuwa Muislamu na kusema hivi?

3. Uislamu ulianza karne kadhaa baada ya Yesu kuzaliwa, kwa hivyo, ni vipi Yesu, ambaye alikuwa akifundisha mapenzi ya Mungu, alijua kuhusu dini hii (Uislamu) ambayo haikuwa imeanzishwa bado?

4. Katika Injili, Yesu alifanya ibada katika sinagogi (Mathayo 4:23, Luka 4:16), na si katika msikiti. Je, unaweza kuelezea kwa nini Yesu alifanya ibada katika sinagogi na si katika msikiti, kama Uislamu unavyotaka?

5. Uislamu una mafundisho tofauti na yale Yesu aliyoyafundisha kuhusu wokovu, kufa kwa Yesu, na ufufuo. Je, ni vipi Yesu alikubaliana na mafundisho ya Uislamu kuhusu wokovu na maisha baada ya kifo, kama alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu (Yohana 3:16)?
 
Kwanza kabisa Malaika Hawezi kuasi hicho ni cha kwanza!

Pili Majini Ni viumbe tofauti kabisa na Malaika..!
Jambo la Pili..

Na Tatu malaika walioasi walifungiwa Na hawakuwahi Kutoka Kwenye Hukumu yao Mpaka siku ile itakapofika ya Hukumu..

Yuda 1:6

"Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu."..

Sasa Hao mnaosema Wako duniani Ni kina Nani?
Malaika Walioasi wapo kwenye Kifungo cha milele na hakuna malaika aliasi aliyeruhusiwa kutoka kifungoni

Ufunuo 12:7÷10&12 unaielewaje?
 
Wagalatia mna shida eti Muhammad hakusoma
Yesu alisoma university gani?

Ndio mjue kuwa Mungu fundi alitaka wakati anapewa utume awe brain washed Ili nyinyi makafiri msije mkasema alikopi na kupest Kwa kuwa alikuwa msomi

Ila Baada ya kupewa utume Mungu alimsomesha

Quran 87:6
Tutakusomesha wala hutasahau,

Kwa hiyo wewe huamini pia kuwa Yesu alikuwa mtume ambaye aliyokea karne kadhaa kabla ya Muhammad?
 
Back
Top Bottom