Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Maelezo kuhusu kupandishwa kwake:

Ibn Haatim amesimulia kwamba Ibn 'Abbaas رضي الله عنهما amesema: "Kabla ya Allaah Kumpandisha 'Iysaa mbinguni, 'Iysaa alikwenda kwa Maswahaba zake kumi na mbili katika nyumba. Alipofika, nywele zake zilikuwa zikichuruzika maji akasema:"Kuna miongoni mwenu ambao watanikufuru mara kumi na mbili baada ya kuniamini". Kisha atasema: "Nani atakayejitolea abadilishwe umbo lake liwe kama langu ili auliwe badala yangu na atakuwa pamoja na mimi Peponi?" Mmoja wao aliye mdogo kuliko wote alijitolea lakini 'Iysaa akamuambia akae chini. Kisha 'Iysaa akauliza tena atakayejitolea na kila mara ilikuwa ni huyo huyo kijana mdogo aliyejitolea lakini 'Iysaa akamuambia akae chini. Kisha tena kijana huyo akajitolea tena na mwisho 'Iysaa akasema : "wewe utakuwa ni huyo mtu". Akafananishwa na 'Iysaa na 'Iysaa akapandishwa mbinguni akipaa juu katika uwazi (uliofunuka juu ya sakafu ya nyumba). Mayahudi walipokuja kumtafuta 'Iysaa wakamuona huyo kijana (wakidhani kuwa ni 'Iysaa) wakamuua (kwa kumsulubu) Baadhi ya maswahaba wakamkufuru mara kumi na mbili baada ya kumuamini. Kisha wakajigawa katika makundi matatu. Kundi la mwanzo Al-Ya'aqubiyyah (Jacobites) wamesema: "Allah Amebakia na sisi Alivyojaalia kisha akapanda juu". Kundi la pili An-Nasturiyyah (Nestorians) wamesema: 'Mtoto wa Mungu alikuwa na sisi alivyojaaliwa kisha Allaah Akampandisha mbinguni. Kundi la tatu Waislamu wakasema: "Mja na Mjumbe wa Allaah amebakia na sisi Alivyomjaalia Allaah, kisha Allaah Akamchukua Kwake". Makundi mawili yaliyokufuru wakaungana dhidi ya Waislamu na wakawua. Tokea ilivyotokea hivyo, Uislamu ukafunikwa, hadi Allaah Alipomleta Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم " [Usimulizi huu una isnaad sahihi inayofikia hadi kwa 'Ibn 'Abbas na An-Nasaiy amesimulia kutoka kwa Abu Kurayb ambaye amepokea kutoka kwa Abu Mu'aawiya – Ibnu Kathiyr: 3-28-29]

Baada ya kupata maelezo yote hayo, Muislamu inampasa ayaamini maneno ya Allaah سبحانه وتعالى na Mtume Wake صلى الله عليه وآله وسلم kuhusu kupandishwa Nabii 'Iysaa ('alayhis-salaam) na ajitoe na shaka yoyote nyingine ili aokoke na upotofu uliowapoteza wengi.

Na kama inawashangaza wengi kupandishwa kwake na baadhi yao wenye kutumia akili zao juu ya dini badala ya kufuata Qur-aan na Sunnah, wanapaswa wakumbuke kuwa kwa Allaah سبحانه وتعالى hilo si kubwa, kama Alivyomleta duniani kwa kuzaliwa na mama yake bila kuingiliwa na mwanamume,
 
KWA HIYO WAISLAMU MKAAMUA KUTUNGA HII STORI KUHUSU KUFA KWA YESU..NASIKIA KUNA WAISLAMU WENGINE WANASEMA BARNABA ALISEMA ALIYEULIWA NI YUDA NA SIO YESU..KWA HIYO TUSHIKE LIPI?
 
SWALI:

MPAKA SASA SIJAPATA UKWELI KUHUSU KIFO CHAKE,KWANI NINACHOJUA MIMI KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI.NINASHUKURU KWA MAJIBU MAZURI YA SWALI

LILILO PITA.Ahsanteni saana

JIBU:

AlhamduliLLaah - Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

Kupandishwa Nabii 'Iysaa ('alayhis-salaam) mbinguni ni jambo ambalo limewatia shaka watu wengi. Na wengi waliotia shaka hawakubaliani na mafunzo ya 'Aqiydah sahihi yanayopatikana dalili zake katika Qur-aan na Sunnah. Hivyo imewafikisha kukufuru kwani ni kama kukanusha maneno ya Allaah سبحانه وتعالى .

Na sababu kubwa ya kuwafanya hadi wafikie katika hali hiyo ni kutokana na kupenda kujadiliana sana mambo ya Allaah سبحانه وتعالى kwa kuyatilia shaka na kugeuza usemi huu na ule kutokana na fikra zao wakati tumeamrishwa kuwa tusiwe tunauliza sana mambo mengine ambayo Mwenyewe Allaah سبحانه وتعالى Ameyakidhia kwa Hikma Yake na ambayo Hayakuyaelezea zaidi bali tunatakiwa tuyapokee na kuyaamini kama yalivyotujia katika Qur-aan na Sunnah.

Anasema Allaah سبحانه وتعالى:

((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَسْأَلُواْ عَنْ أَشْيَاء إِن تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْ وَإِن تَسْأَلُواْ عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللّهُ عَنْهَا وَاللّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ)) ((قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُواْ بِهَا كَافِرِينَ))

((Enyi mlioamini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapoteremshwa Qur-aan mtabainishiwa. Allaah Amesamehe hayo. Na Allaah ni Mwenye maghfira Mpole)) ((Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa)) [Al-Maaidah: 101-102]

Ukweli ni kuwa Nabii ‘Iysa ('alayhis-salaam) aliishi kwa muda katika hii ardhi, kisha akapandishwa mbinguni kisha atarudishwa na Allaah سبحانه وتعالى katika mwisho wa zama ili kutekeleza mambo fulani kama Anavyotaka Muumba Mwenyewe. Baada ya umri wake kumalizika atakaporudi, atakufa na kufufuliwa kama watu wengine.

Na kufanya hivyo Allaah سبحانه وتعالى Anatuonyesha tena uwezo na nguvu Zake ya kuwa Anaweza kufanya chochote Anapokiamrisha kiwe basi huwa. Anafanya Anavyotaka wala Yeye Haulizwi. Na kuwa katika Itikadi yetu kama Waislamu ni kwamba Allaah سبحانه وتعالى ni Muweza wa kufanya Alitakalo. Kuweko 'Iysaa ('alayhis-salaam) mbinguni ni kutuonyesha miujiza Yake na uwezo Wake na kwetu ni mtihani mkubwa sana kwani tusipoamini tutakuwa na hasara hapa ulimwenguni na Kesho Akhera.

DALILI KUTOKA KATIKA QUR-AAN

((إِذْ قَالَ اللّهُ يَا عِيسَى إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُواْ إِلَى يَوْمِ الْقِيَامَةِ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ))

((Pale Allaah Aliposema: Ewe 'Iysaa! Mimi Nitakufisha, na nitakunyanyua Kwangu, na Nitakutakasa na wale waliokufuru, na Nitawaweka wale waliokufuata juu ya wale waliokufuru, mpaka Siku ya Qiyaamah. Kisha marejeo yenu yatakuwa Kwangu, Nikuhukumuni katika yale mliyokuwa mkikhitalifiana)) [Al-'Imraan:55]
 
MUISLAMU MWENZENU ANACHANGANYIKIWA MSAIDIENI KUJIBU SWALI
 
Nabii ‘Iysa Atakua Katika Kundi Gani Miongoni Mwa Makundi 72?

Alhidaaya.com

Swali:

Assalaam aleykum

Namshukuru Allah (s.w) Kupata Fursa Hii Kuwaluiza Swali Adhiwym.

Allaah (s.w) Amebainisha Wazi Katika Uislam Juu Ya Kushikamana Pamoja Na Akakataza Makundi. Leo Hii Kila Kukicha Kuna Makundi Yanazuka Mfano Shia, Kadiyani, Answar Sunna, Salafiya Jadiyd, Tabligh, N.k. Je Nabiy Iysa Akirudi Leo Atakua Kundi Gani?

JIBU:

AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho

Kwanza kabla hatujajibu swali lako, tunakukumbusha kuwa unapoandika jina la Allaah au Mtume, usifupishe mbele yake kwa kuweka (S.W.) au (S.A.W.) kama ilivyozoelekea na wengi, bali andika kwa kirefu maneno hayo bila ya kuyafupisha. Andika (Subhaanahu wa Ta'alaa) baada ya kumtaja Allaah, na andika Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) au (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) baada ya kumtaja Nabiy. Hivyo ndivyo inavyopaswa, na ndio heshima zaidi na utukufu na ndivyo inavyotamkwa na si kama inavyofupishwa na wengi kimazoea au kivivu. Pia hiyo ni ibada, na ibada inatakiwa ifanywe kwa namna iliyofundishwa na haifai kugeuza, kuongeza au kupunguza. Hali kadhalika swahaba walikuwa wakiandikiana barua na hakuna aliyekuwa akikatisha Salaam, wala kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wala kumtukuza Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwenye barua zao. Tuige na tufuate nyendo zao tusalimike.

Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kundi atakalokuwa Nabiy 'Iysa (‘alayhis-salaam). Tufahamu kuwa haya makundi yote ambayo yapo au yatakayotokea katika nyakati zinazokuja yameundwa na wanaadamu ambao wanapata na wanakosa. Katika hayo uliyoyataja miongoni mwa makundi, Qadiyani na Shia hayaingii katika makundi ya Kiislamu.

Soma maelezo zaidi hapa chini kuhusu Qadiyani (Ahmadiya) na Shia:

Makundi Potofu

Uislamu wa kweli una kanuni na masharti ambayo yanamfanya mwenye kuyafuata kuwa Muislamu wa hakika. Kanuni kubwa ambayo ipo katika Qur-aan na Sunnah ni kuyafuata machimbiko hayo mawili katika kila hali. Allaah Aliyetukuka Anatuambia:

فَإِن تَنَازَعْتُمْ فِي شَيْءٍ فَرُدُّوهُ إِلَى اللَّـهِ وَالرَّسُولِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّـهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۚ ذَٰلِكَ خَيْرٌ وَأَحْسَنُ تَأْوِيلًا ﴿٥٩﴾

Mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Allaah na Rasuli mkiwa mnamwamini Allaah na Siku ya Mwisho. Hivyo ni bora na matokeo mazuri zaidi. [An-Nisaa: 59]. Aayah hii iko wazi kabisa wala haihitaji maelezo ya ziada.

Tuelewe kuwa naye Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema katika Hijjatul Wadai':

"Mimi nimewaachia mambo mawili lau mtashikana nayo basi hamtapotea kabisa: Kitabu cha Allaah na Sunnah zangu" [al-Bukhaariy na Muslim]

Na akasema tena (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):

"Hakika atakayeishi katika nyinyi ataona khitilafu nyingi, basi jilazimisheni na kufuata mwendo wangu (Sunnah yangu) na mwendo wa Makhalifa walioongoka, yashikeni kwa magego yenu mambo yao" [Abu Daawuud, at-Tirmidhiy, Ahmad, Ibn Maajah na ad-Daarimiy].

Kwa hiyo, Nabiy 'Iysa (‘alayhis-salaam) atakaporudi atafuata misingi hii miwili mikubwa. Na dalili kuhusu hilo lipo, mojawapo ikiwa ni ile Hadiyth iliyosahihishwa na al-Albaaniy,

"Kisha utarudi tena Ukhalifa kwa misingi ya Makhalifa waongofu, kufuata mwendo wa Mtume".

Na ile Hadiyth nyingine inayotueleza:

"Hakutakosekana kuwa na kikundi katika Ummah wangu, wakipigana juu ya haki wakiwa washindi haki Siku ya Qiyaama… kisha 'Iysa bin Maryam atashuka, na Amiri wao (Waislamu) atasema: 'Njoo utuswalishe katika Swalah!' Atasema: 'Hapana, nyinyi ndio ma-Amiri juu ya kila mmoja kama heshima kutoka kwa Allaah kwa Ummah huu'" [Muslim].

Hivyo, Nabiy 'Iysa (‘alayhis-salaam) atasimama imara kusimamisha Qur-aan na Sunnah ya Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
 
KUMBE NDUGU ZETU MNA MAKUNDI MENGI NA HAMSEMI..MBONA MNATUSEMAGA SISI?..NA KWA NINI MUWAKATAE AHMADIAYA NA SHIA KUWA SIO WAISLAMU..HAHAHAAA..HALAFU KUMBE YESU ATAKAPORUDI ATAKATAA KUSWALISHA ,AISEE.
 
NIMESHAKUPA DARASA LA KUTOSHA , ISHAMAEL WALA IBRAHIMU HAWAJAWAHI KUFIKA WALA KUISHI SAUDIA ARABIA

Hiyo ni janja ya kutaka kumsingizia alijenga na kuabudu lile jiwe JEUSI ,

Sasa jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
Ngoja nikuonyeshe kuwa Ishmael aliishi Saudi Arabia
Ili ujijue kuwa wewe ni kafiri unapinga mandiko ya Bibilia kitabu ambacho Kila Jumapili unakiweka kwapani na kuenda nacho kanisani

Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.

Ezekieli 27:21
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.

Tema na Dumah wote ni watoto wa Ishmael majina Yao yakawa ndio miji na miji ikakuwa ikawa miji ya biashara angalia ramani ya kale hapo chini

Pia nakuwekea ramani nyingine ya kale kukuonyesha watoto wa Ishmael wakiwa wametapakaa katika nchi ya Saudi Arabia ya Sasa akiwepo Qedari ambaye katika uzao wake ndio akapatikana mtume Muhammad

Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia Ili uringanishe hizo ramani nyingine kama ndio zenyewe pia huo mji wa Tema Hadi Leo bado upo

Hayo ni maandiko ya Bibilia na hizo ni ramani za kale za Bibilia zinakuthibitishia kuwa Ishmael na uzao wake waliishi Saudi Arabia Sasa wewe endelea kupingana na Bibilia

Kwa kuwa nimesha thibisha ukafiri wako kupitia Bibilia yako Sasa ngoja Quran ikuchape maana Quran ndio kiboko ya makafiri

Quran 2:127
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
Quran 2:128
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Quran 2:129
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Hapo Quran inasema
1) Ibrahim na Ishmael walijenga msingi wa msikiti wa Maka
2) Ibrahim na Ishmael wakaiombea amani Saudi Arabia
3) Ibrahim na Ishmael wakamuomba Mungu alete mtume hapo Saudi Arabia anayetokana na watu wa hapo

Yani wewe ni Bora tu uende kanisani kuimba imba na kulialia usibiri siku yako ya kufa ifeke uende Jahanamu zaidi ya hapo hauna mlango wa kutokea
 
Attachments

  • Screenshot_20241219-065446.jpg
    Screenshot_20241219-065446.jpg
    417.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241215-221922.jpg
    Screenshot_20241215-221922.jpg
    303.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241215-215915.jpg
    Screenshot_20241215-215915.jpg
    433.5 KB · Views: 3
Ngoja nikuonyeshe kuwa Ishmael aliishi Saudi Arabia
Ili ujijue kuwa wewe ni kafiri unapinga mandiko ya Bibilia kitabu ambacho Kila Jumapili unakiweka kwapani na kuenda nacho kanisani

Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.

Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.

Ezekieli 27:21
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo waume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.

Tema na Dumah wote ni watoto wa Ishmael majina Yao yakawa ndio miji na miji ikakuwa ikawa miji ya biashara angalia ramani ya kale hapo chini

Pia nakuwekea ramani nyingine ya kale kukuonyesha watoto wa Ishmael wakiwa wametapakaa katika nchi ya Saudi Arabia ya Sasa akiwepo Qedari ambaye katika uzao wake ndio akapatikana mtume Muhammad

Pia nakuwekea ramani ya Sasa ya Saudi Arabia Ili uringanishe hizo ramani nyingine kama ndio zenyewe pia huo mji wa Tema Hadi Leo bado upo

Hayo ni maandiko ya Bibilia na hizo ni ramani za kale za Bibilia zinakuthibitishia kuwa Ishmael na uzao wake waliishi Saudi Arabia Sasa wewe endelea kupingana na Bibilia

Kwa kuwa nimesha thibisha ukafiri wako kupitia Bibilia yako Sasa ngoja Quran ikuchape maana Quran ndio kiboko ya makafiri

Quran 2:127
Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
Quran 2:128
Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Quran 2:129
Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Hapo Quran inasema
1) Ibrahim na Ishmael walijenga msingi wa msikiti wa Maka
2) Ibrahim na Ishmael wakaiombea amani Saudi Arabia
3) Ibrahim na Ishmael wakamuomba Mungu alete mtume hapo Saudi Arabia anayetokana na watu wa hapo

Yani wewe ni Bora tu uende kanisani kuimba imba na kulialia usibiri siku yako ya kufa ifeke uende Jahanamu zaidi ya hapo hauna mlango wa kutokea
MUHAMMAD NA NDUGUZE WAMEKUKATAA ,SASA KWANINI UNAWAZULIA UONGO?

jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

Ibrahim na Ismail Hawakuwahi Kwenda katika Rasi ya Uarabuni
Kulingana na Taurati, Mungu alimwagiza Ibrahim aondoke katika nchi yake, Ur (Iraq). Mungu alimwambia ahamie Kanaani (Israeli/Palestina).

Ibrahim aliishi huko hadi alipofariki na kuzikwa katika Pango la Makpela huko Hebron, Israeli/Palestina (Taurati, Mwanzo 22). Umbali kati ya Hebron na Maka ni takriban kilomita 1,400.

Ismail naye hakuwahi kwenda Rasi ya Uarabuni. Taurati inashuhudia kuwa, “. . . aliishi nyikani Parani. Mama yake alimtafutia mke kutoka nchi ya Misri” (Mwanzo 21:21).

Baadhi ya wanazuoni wa Kiislamu wanapinga dhana kwamba Ibrahim na Ismail walijenga Kaaba.

Taha Hussein alisema,

“Hili ni jambo lililo wazi kabisa kwa sababu Kaaba ilikuwa jengo jipya lililojengwa kabla ya Uislamu. Uislamu ulilitumia kwa sababu za kidini.”

W. Aliyudin Shareef aliandika,

“Kabla ya enzi ya Uislamu, Ismail hakutajwa kamwe kama baba wa Waarabu.” Ikiwa Ismail hakutambuliwa kama baba wa Waarabu, basi hakuijenga Kaaba. Iwapo taarifa zote zilizo hapo juu ni za kweli, basi Ibrahim na Ismail hawakujenga Kaaba.

1. Makabila ya Ishmaeli yalienea maeneo mengi: Mwanzo 25:18 inasema kuwa watoto wa Ishmaeli walikaa "kutoka Havila hadi Shuri," ambayo ni eneo pana kati ya Misri na Ashuru. Hili linaonyesha kuwa makabila ya Ishmaeli hayakuzingatia eneo moja kama Saudi Arabia ya sasa.

2. Arabuni si sawa na Saudi Arabia pekee: Neno "Arabuni" lililotumika katika Biblia linahusu eneo kubwa la jangwa la Kiarabu, ambalo linajumuisha maeneo ya sasa ya Saudi Arabia, Jordan, Yemen, Oman, na hata sehemu za Iraq na Syria. Kwa hivyo, kusema kuwa Arabuni inamaanisha Saudi Arabia pekee ni kupotosha muktadha.

3. Hakuna andiko linalosema Ishmaeli aliishi Saudi Arabia: Biblia haielezi moja kwa moja mahali Ishmaeli aliishi baada ya kuondoka kwao na Hagar jangwani. Inachosema ni kwamba kizazi chake kiliishi katika maeneo mbalimbali ya jangwa, lakini haijumuishi mahali maalum kama Saudi Arabia.
 
Hv kosaa la wakoloni ni kuteleza mambo haya mazito bora wangetuacha hv hvy tuendelee na mila na Dini za mababu
 
Ibrahim na Ismail Hawakuwahi Kwenda katika Rasi ya Uarabuni
Kulingana na Taurati, Mungu alimwagiza Ibrahim aondoke katika nchi yake, Ur (Iraq). Mungu alimwambia ahamie Kanaani (Israeli/Palestina).

Ibrahim aliishi huko hadi alipofariki na kuzikwa katika Pango la Makpela huko Hebron, Israeli/Palestina (Taurati, Mwanzo 22). Umbali kati ya Hebron na Maka ni takriban kilomita 1,400.

Ismail naye hakuwahi kwenda Rasi ya Uarabuni. Taurati inashuhudia kuwa, “. . . aliishi nyikani Parani. Mama yake alimtafutia mke kutoka nchi ya Misri” (Mwanzo 21:21).

Baadhi ya wanazuoni wa Kiislamu wanapinga dhana kwamba Ibrahim na Ismail walijenga Kaaba.

Taha Hussein alisema,

W. Aliyudin Shareef aliandika,

1. Makabila ya Ishmaeli yalienea maeneo mengi: Mwanzo 25:18 inasema kuwa watoto wa Ishmaeli walikaa "kutoka Havila hadi Shuri," ambayo ni eneo pana kati ya Misri na Ashuru. Hili linaonyesha kuwa makabila ya Ishmaeli hayakuzingatia eneo moja kama Saudi Arabia ya sasa.

2. Arabuni si sawa na Saudi Arabia pekee: Neno "Arabuni" lililotumika katika Biblia linahusu eneo kubwa la jangwa la Kiarabu, ambalo linajumuisha maeneo ya sasa ya Saudi Arabia, Jordan, Yemen, Oman, na hata sehemu za Iraq na Syria. Kwa hivyo, kusema kuwa Arabuni inamaanisha Saudi Arabia pekee ni kupotosha muktadha.

3. Hakuna andiko linalosema Ishmaeli aliishi Saudi Arabia: Biblia haielezi moja kwa moja mahali Ishmaeli aliishi baada ya kuondoka kwao na Hagar jangwani. Inachosema ni kwamba kizazi chake kiliishi katika maeneo mbalimbali ya jangwa, lakini haijumuishi mahali maalum kama Saudi Arabia.
Utajijua tu kama wewe ni kafiri mpinga maandiko ya Bibilia

Mwenyewe unesema hapo no 1 kuwa Kitabu Cha mwanzo kinasema watoto wa Ishmael waliishi Havilah Hadi shuri

Sasa ramani ya Bibilia inayoonyesha eneo la Havilah hiyo hapo chini
Havilah ipo Saudi Arabia
 
Attachments

  • Screenshot_20241219-065213.jpg
    Screenshot_20241219-065213.jpg
    505.8 KB · Views: 4

Kwahiyo hao watoto ndio walimzaa Muhammad?

Mbona Muhammad,MKEWE na BINAMU YAKE wamekukataa

jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
 
Kwahiyo hao watoto ndio walimzaa Muhammad?

Mbona Muhammad,MKEWE na BINAMU YAKE wamekukataa

jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
Nilikuambia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga maandiko ya kweli ya manabii haijalishi lipo wapi ndani ya Bibilia au Quran

Wewe mwenyewe umesema na ushahidi wa andiko umeweka kuwa watoto wa Ishmael waliishi Havilah

Mimi nimekuwekea tu ramani ya Bibilia ya kale kukuonyesha kuwa hiyo Havilah unayoisema ndio Saudi Arabia ya Sasa

Bado tu unaruka ruka
Nilikuambia utume wa Mtume Muhammad Huwa haupingwi Kwa mandiko ya manabii ila unapingwa Kwa propaganda za wagalatia kama wewe

Havilah hiyo hapo unasemaje ?
 
Attachments

  • Screenshot_20241219-065213.jpg
    Screenshot_20241219-065213.jpg
    505.8 KB · Views: 3
Nilikuambia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga maandiko ya kweli ya manabii haijalishi lipo wapi ndani ya Bibilia au Quran

Wewe mwenyewe umesema na ushahidi wa andiko umeweka kuwa watoto wa Ishmael waliishi Havilah

Mimi nimekuwekea tu ramani ya Bibilia ya kale kukuonyesha kuwa hiyo Havilah unayoisema ndio Saudi Arabia ya Sasa

Bado tu unaruka ruka
Nilikuambia utume wa Mtume Muhammad Huwa haupingwi Kwa mandiko ya manabii ila unapingwa Kwa propaganda za wagalatia kama wewe

Havilah hiyo hapo unasemaje ?

Sawa ,mbona Muhammad,MKEWE na BINAMU YAKE wanakukataa ,kwanini unawazulia uongo?

Kwanini unawalazimisha ni uzao wa Ishamael?
Jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

Havilah hiyo hapo unasemaje
 
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?

Korani ni kijitabu tu kama vitabu vingine vya sheria na Katiba za nchi .
 
Kwahiyo hao watoto ndio walimzaa Muhammad?

Mbona Muhammad,MKEWE na BINAMU YAKE wamekukataa

jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
Haya ndio maajabu ya makafiri unayakana maandiko ya Bibilia unayakubali maandiko ya Hadithi za mtume Kwa sababu tu yameandikwa na wagalatia wenzanko

Wewe unajua hizo Hadithi zilipo Toka?

Unajua kama mtume Muhammad aliwakataza maswahaba wake wasiandike chochote zaidi ya Quran?

Unajua kuwa hivyo vitabu vya Hadithi vimeandikwa miaka 200 Baada ya kufa mtume?

Unajua kuwa Kuna Hadithi za kweli za mtume na Hadithi za uongo? Na ndio maana Kuna mizani za Hadithi

Unajua kuwa Muislam haulazimishwi kufuata au kuamini yaliyoandikwa katika vitabu vya Hadithi za mtume Kwa sababu zimeandikwa na watu?

Unajua kuwa hata wewe unaweza ukakifanya unamjua sana mtume Muhammad akaandika kitabu chako kuwa mtume alisema hivi alifanya hivi kikaitwa kitabu Cha Hadithi?

By the way nyinyi wakristo ndio maana mmepotea Kwa sababu Injili zenu hazina tofauti na vitabu vya Hadithi za mtume Muhammad Kila mtu aliandika kile anachojisikia kuandika

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

Luka huyo mganga wa kienyeji aliandika Hadithi za Yesu

Hivyo basi tambua kuwa Muislam haukumiwi Kwa yaliyoandikwa katika vitabu vya Hadithi ila anahukumiwa Kwa yaliyoandikwa katika Quran

Kama unalo andiko ndani ya Quran Allah anasema mtume Muhammad hajatokana na kizazi Cha Ishmael toa
 
Nyie wote mpo brainwashed uislam na ukristo ni utapeli ulioanzia mikononi Mwa Ibrahim kisha ukarithiwa na wanae
 
Back
Top Bottom