Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Haya ndio maajabu ya makafiri unayakana maandiko ya Bibilia unayakubali maandiko ya Hadithi za mtume Kwa sababu tu yameandikwa na wagalatia wenzanko

Wewe unajua hizo Hadithi zilipo Toka?

Unajua kama mtume Muhammad aliwakataza maswahaba wake wasiandike chochote zaidi ya Quran?

Unajua kuwa hivyo vitabu vya Hadithi vimeandikwa miaka 200 Baada ya kufa mtume?

Unajua kuwa Kuna Hadithi za kweli za mtume na Hadithi za uongo? Na ndio maana Kuna mizani za Hadithi

Unajua kuwa Muislam haulazimishwi kufuata au kuamini yaliyoandikwa katika vitabu vya Hadithi za mtume Kwa sababu zimeandikwa na watu?

Unajua kuwa hata wewe unaweza ukakifanya unamjua sana mtume Muhammad akaandika kitabu chako kuwa mtume alisema hivi alifanya hivi kikaitwa kitabu Cha Hadithi?

By the way nyinyi wakristo ndio maana mmepotea Kwa sababu Injili zenu hazina tofauti na vitabu vya Hadithi za mtume Muhammad Kila mtu aliandika kile anachojisikia kuandika

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

Luka huyo mganga wa kienyeji aliandika Hadithi za Yesu

Hivyo basi tambua kuwa Muislam haukumiwi Kwa yaliyoandikwa katika vitabu vya Hadithi ila anahukumiwa Kwa yaliyoandikwa katika Quran

Kama unalo andiko ndani ya Quran Allah anasema mtume Muhammad hajatokana na kizazi Cha Ishmael toa
Sasa jibu haya MASWALI USIKIMBIE, JE WEWE NA MUHAMMAD, MKEWE NA BINAMU YAKE NANI MUONGO

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
 
Wewe Babu yako wa miaka 1000 iliyopita unamjua?
 
Huyo ni dini iliyoanzishwa na warumi. Haiwezi jisimamka yenyewe bila Ukristo ndio maana wanatumia muda mwingi kuuongelea

Huyo ni dini iliyoanzishwa na warumi. Haiwezi jisimamka yenyewe bila Ukristo ndio maana wanatumia muda mwingi kuuongelea Ukristo kuliko dini yao.
Hii kitu niliisikia mahali, walifanya hivyo ili waweze kuingia kirahisi nchi za kiarabu, mfano

wao wana rozari hawa Tasbii,

uvaaji wa masista wa kiroma na wanawake wa kiislamu,

vikofia za maaskofu na uvaaji wa Waislam wanaume,

Ufagiliaji wa makaburi

Kumtukuza Mariam

Baada ya miaka 600 ndipo Uislam ulikuja na Roma ndo walikuwa watawala, hawa jamaa wana siri nyingi sn
 
Roman Catholic ndio waanzilishi wa Uislamu
 
Wewe wa Muhammad umemjuaje ,ikiwa yeye amekana sio wa kizazi cha Ishamael?

Kwanini unamzulia uongo
Sio Mimi ni wataalamu wa Historia ndio walio andiko hiyo
 
Attachments

  • Screenshot_20241216-190633.jpg
    Screenshot_20241216-190633.jpg
    283.2 KB · Views: 2
Sio Mimi ni wataalamu wa Historia ndio walio andiko hiyo
FAMILIA YA MUHAMMAD ILIWAKATAA ,NA ILIGOMA KUZUSHIWA UONGO ,

JE TUWAAMINI HAO WAHUNI AU FAMILIA YA MUHAMMAD?

1. Aisheh (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
 
Sio Mimi ni wataalamu wa Historia ndio walio andiko hiyo
WANAHISTORIA WA WAPI HAO?

ALIYEANZISHA HUO UZUSHI NI IBN ISHAK AMBAYE ALIPINGWA VIKALI NA MUHAMMAD,

Makabila ya Waishmaeli, hasa kabila la Nebaioth ambalo, kwa mujibu wa Ibn Ishak, Mohammed anasemekana kutoka, yalikuwa ni makabila ya kuhamahama yaliyokuwa yakiishi katika jangwa la Sinai na maeneo ya jangwa la Ukanda wa Mshariki wa Kati (Fertile Crescent). Makabila haya yalitoweka baada ya karne ya 7

Familia ya Mohammed ilikuwa ni familia ya Kihimyari kutoka Yemen, wakati Waishmaeli waliokuwa wakiishi jangwani mwa Ukanda wa Mashariki wa Kati walikuwa wametoweka karne nyingi kabla familia ya Mohammed kuondoka Yemen.

Wanahistoria wanasema kuwa familia ya Mohammed ilikuwa familia iliyokuwa ikiishi katika eneo la Saba, Yemen. Katika karne ya 5 B.K.,

Qusayy Bin Kilab, aliyekuwa babu wa tano wa Mohammed, alikusanya muungano wa familia nyingi za Kiyemeni na kuunda Quraish, kabila ambalo Mohammed baadaye alitokea.

Familia hizi zilianza kukaa katika mji wa Makka mnamo karne ya 5 B.K., huku mji wa Makka ukiwa umejengwa na kabila la Khuzaa'h katika karne ya 4 B.K.

Familia ya Mohammed haina uhusiano wowote na makabila ya Waishmaeli, kwa kuwa familia ya Mohammed haikuondoka Yemen hadi karne ya 5 B.K., kipindi ambacho kilikuwa takribani miaka 1,100 baada ya kutoweka kwa Waishmaeli. Hivyo, kabila la Mohammed haliwezi kuwa limeishi katika maeneo sawa na makabila ya Waishmaeli wakati wowote katika historia.

Ukoo uliotajwa na Ibn Ishak unapingana na kauli za Mohammed mwenyewe, ambaye alikiri kutojua chochote kuhusu mababu zake waliotangulia kabla ya kizazi cha babu yake wa 13.

SASA TUMUAMINI MUHAMMAD MUHUSIKA MWENYEWE ANAYESEMA HAJUI CHOCHOTE KUHUSU MABABU ZAKE KABLA YA KIZAZI CHA 13 AU TUKUAMINI WEWE NA MATAPELI WENGINE?

KWANINI MNAMZULIA UONGO MUHAMMAD?
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Mungu wa kweli alijifunua kupitia Ibrahim. Akamnyima mtoto mwanzoni akiwa na lengo la kuja kumpa mtoto wa ahadi atakayekuwa mtoto wa pekee ili Ibrahimu na kizazi chake waweze kumuamini Mungu anapoahidi kuhusu kumleta Mwanawe ulimwenguni. Sasa Ibrahimu akashawishiwa na mkewe Sarah azae na Kijakazi kwakuwa alishakata tamaa ya kuzaa! Kosa hilo ndilo lilimpa shetani mlango wa kupita. Kwa hiyo Mtoto aliyezaliwa na Kijakazi aliitwa Ishmael. Lakini Mungu hatimaye akampa Ibrahimu mtoto aliyeitwa Isaka. Na Mungu akamwambia Isaka ndiye atabeba Mpango wa Mungu wa kukomboa ulimwengu. Isaka naye akazaa watoto wawili Yakobo na Esau. Mungu akasema Yakobo ndiye amemchagua. Baadaye Mungu akambadili jina Yakobo na kuitwa Israel. Israel akazaa Watoto wa kiume 12. Watoto hao ndio walifanyika Makabila 12 ya Israel. Mungu akawapeleka Misri na akaahidi atakuja kuwatoa. Akamtuma Musa na wakatoka Misri wakarudi nchi yao ambayo ilikuwa ikiutwa Kanaani.
Sasa kusudi la Mungu lilikuja kutimia baada ya miaka mingi ambapo Masihi alizaliwa kupitia kabila la Yuda ukoo wa Daudi. Huyo Masihi au Kristo alisulibiwa akafa kwa ajili ya dhambi za wanadamu siku ya tatu akafufuka na kuwatokea wanafunzi wake. Huyu Kristo alichagua wanafunzi wake 12 ambao aliwaita Mitume. Hao Mitume ndio aluwapa maelekezo ya kuhubiri Injili na ndipo Kanisa likaanza. Wanafunzi wa Yesu Kristo waliitwa Wakristo baadaye ktk mji wa Antiokia.
Injili ikaanza kuenea, wakristo wakateswa sana lakini kadri walivyoteswa ndivyo walivyoeneza injili kwa nguvu zaidi.
Ndipo shetani akabuni mpango wake. Akafikiria aanzie wapi akaamua kupitia ktk ukoo wa Ishnael. Akachukuwa Biblia akabadili baadhi ya mambo na kumtafuta mtu aliyetoka ktk ukoo wa Ishmael akamfunulia maandiko hayo aliyohariri. Ndipo ikaanzishwa dini ya Kiislamu. Wale ndugu wengine wa Ishmael, Isaka na wale ndugu wengine wa Yakobo (Israel) wakajiunga na hiyo imani. Na tangu hapo chuki dhidi ya uzaovwa Yakobo yaani Israel ikawa kubwa. Ndio maana amani ya Mashariki ya kati ni kizungumkuti
 
Correction,hakuna ushahidi wa kihistoria,basaba au maandiko kuwa Muhammad katokea ukoo wa Ishamael

Hiyo ni propaganda ya UISLAMU kujinasibisha na Ibrahimu,

Hata Muhammad alikataa kuhusu yeye kutoka ukoo wa Ishamael kupitia hadithi

Tapeli aliyetunga huu uongo anaitwa IBN ISHAK,wakafata na wengine

Nasaba zilizotungwa na Ibn Ishak na wengine waliomfuata zilijumuisha majina ya Kiarabu katika nasaba ambazo tunazikuta kwenye Kitabu cha Mwanzo.

Kwa mfano, Ibn Ishak aliongeza jina la Kiarabu "Ya’rab," linalotokana na neno "Arab," na kumtaja kama mwana wa "Khahtan." Ibn Ishak kisha akabadilisha Khahtan na kumweka Joktan, anayetajwa katika Kitabu cha Mwanzo kama mwana wa Eber, mwana wa Arfaksadi, na mjukuu wa tatu wa Shemu, mwana wa Nuhu.

Tunajua kuwa neno "Arab" halikuwepo hadi karne ya 10 B.C

Je, litawezekanaje kuwa sehemu ya historia muda mfupi baada ya Nuhu,aliyeishi 5500 BC?

Ibn Ishak alienda mbali zaidi. Alibadilisha jina la Ludi, mwana wa nne wa Shemu, na kumwita Luthu. Kisha alidai kuwa Luthu alikuwa baba wa Amaleki, ambaye alizaa Waamaleki. Pia alidai kwamba Amaleki na kabila lake waliishi Maka, na akadai kwamba Wamisri wa kale pia walikuwa wazao wa Amaleki. Aliendelea kubadilisha jina la awali la Amaleki kuwa “Arib,” ili kuhusisha moja kwa moja na Waarabu.

Kupitia nasaba hizi za uongo, Ibn Ishak alidai kuwa Maka ilikuwepo wakati wa Nuhu na mjukuu wake Ludi. Hii inapingana moja kwa moja na ukweli wa kihistoria unaoonyesha kuwa Maka haikuwepo hadi karne ya 4 AD

Amaleki ni mzao wa Esau, mwana wa Isaka.

Mwanzo 36:12 inasema kuwa Timna alikuwa suria wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau, na alizaa Amaleki kwa Elifazi. Amaleki alizaa Waamaleki, ambao walikuwa kabila la Waedomu lililoishi awali kusini mwa Yordani, lakini baadaye wakahamia mashariki mwa Sinai, kama ilivyothibitishwa wakati wa Musa.

Waamaleki walitoweka baada ya karne ya 10 K.K. Hakuna kumbukumbu yoyote ya Amaleki katika maandishi au maandiko ya wanahistoria wa Kigiriki, ambayo ingeonyesha kwamba kabila hilo liliishi katikati, magharibi, au kaskazini mwa Arabia.

Chakufurahisha zaidi, Muhammad mwenyewe ALIGOMA kabisa

Mohammed alikiri kwamba yeye, wala mtu mwingine yeyote, hawakujua kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh. Al-Nather bin Kinaneh ambaye ni babu wa 13 katika nasaba ambayo Mohammed alitambua .

Kwenye Hadithi nyingine Mohammed alikataa kutambua nasaba zake kabla ya Maad, معد, ambaye baadhi walidokeza kuwa babu wa 20 wa Mohammed.,Machawa walianza kumnasibisha na Maad ,jamaa akawakataa

Nasaba zote zilizojitokeza wakati wa Mohammed za kumsingizia ni WA uzao wa Ishamael alizikataa yeye pamoja na wafuasi wake wa karibu kuwa ni za uongo.,

Huu uzushi unafanana sana na ule wa kuwa IBRAHIMU NA ISHAMAEL walienda maka kujenga lile jiwe jeusi
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
We jichanganye tu, Biblia na Qur.an ni vitu viwili tofaut, vimepishana Mashariki na Magharibi, havina mfanano wa kutosha kusema bila biblia quran isingekuepo, yani ni vitu viwili tofauti kabisa, maandiko yanatofautiana, kinachohubiriw kinatofautiana, hata stor za mitume wanaofanana mfano ibrahim, musa nazo pia ni tofaut ko huwez kusema bila biblia qur.an isingekuepo,
 
Kama ni kweli uislam ulikuwepo tangia Adam, iweje uletwe na Mohamed? Quran ni biblia iliyoandikwa kishairi na Biblia ni Quran iliyoandikwa kwenye prose. Simpo. Ukweli ndo huo japo unauma na kuumiza hasa kwa wale wapenda au wafia dini. Tusameheane. Ndiyo madhara ya kujua na kutojua.
We jmaa unachekesha sana. Qur.an na biblia havilingan hata kdg, hata mpangilio havilingani achilia mbali kinachohubiriwa,
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
aliyenakili kuran alikuwa anachukua Biblia na kuchagua maneno na kupindua mistari iwe kinyume, ila kwa uongo wake alishindwa, Biblia imesimama bado hadi leo. hapa ndio wanaume tujifunze, mtoto wa kambo ni wa kumkanseli sana ili asiwe na chuki, waishmael yaani waarabu a.k.a mood walinyimwa urithi na IBRAHIM kwa sababu walikuwa watoto wa kambo ndio maana hadi kesho wanauchukia utoto wa kambo wanaita mtoto haramu kwa sababu hawataki yampate mwingine yale waliyopitia kwa sara mke wa ibrahim.

pili, kwa sababu urithi wote ulienda kwa isaka, walipamban akuudanganya umma kwamba aliyepata urithi alikuwa ni Ismail/ishmaeli, na wanasema aliyepelekwa mlimani na ibrahim kutolewa sadaka sio isaka ni ishmael. hii yote ni mpambano ili ishmael mtoto wa kambo aonekane ndio alikuwa mtoto wa kweli aliyestahili kurithi. walichosahau ni kwamba, issue kwamba ibrahim alimtoa sadaka isaka na urithi ulienda kwa isaka iliandikwa miaka kama 3000 kabla mwandishi wa kuran hajazaliwa. walichoishia ni kujaa makasiriko na kuwaita wayahudi "mayahudi" na makafiri pamoja na wakristo. ila wamelishwa uongo na mtu aliyekuwa mwongo kuliko wote kuwahi kutokea. mood.
 
Mungu wa kweli alijifunua kupitia Ibrahim. Akamnyima mtoto mwanzoni akiwa na lengo la kuja kumpa mtoto wa ahadi atakayekuwa mtoto wa pekee ili Ibrahimu na kizazi chake waweze kumuamini Mungu anapoahidi kuhusu kumleta Mwanawe ulimwenguni. Sasa Ibrahimu akashawishiwa na mkewe Sarah azae na Kijakazi kwakuwa alishakata tamaa ya kuzaa! Kosa hilo ndilo lilimpa shetani mlango wa kupita. Kwa hiyo Mtoto aliyezaliwa na Kijakazi aliitwa Ishmael. Lakini Mungu hatimaye akampa Ibrahimu mtoto aliyeitwa Isaka. Na Mungu akamwambia Isaka ndiye atabeba Mpango wa Mungu wa kukomboa ulimwengu. Isaka naye akazaa watoto wawili Yakobo na Esau. Mungu akasema Yakobo ndiye amemchagua. Baadaye Mungu akambadili jina Yakobo na kuitwa Israel. Israel akazaa Watoto wa kiume 12. Watoto hao ndio walifanyika Makabila 12 ya Israel. Mungu akawapeleka Misri na akaahidi atakuja kuwatoa. Akamtuma Musa na wakatoka Misri wakarudi nchi yao ambayo ilikuwa ikiutwa Kanaani.
Sasa kusudi la Mungu lilikuja kutimia baada ya miaka mingi ambapo Masihi alizaliwa kupitia kabila la Yuda ukoo wa Daudi. Huyo Masihi au Kristo alisulibiwa akafa kwa ajili ya dhambi za wanadamu siku ya tatu akafufuka na kuwatokea wanafunzi wake. Huyu Kristo alichagua wanafunzi wake 12 ambao aliwaita Mitume. Hao Mitume ndio aluwapa maelekezo ya kuhubiri Injili na ndipo Kanisa likaanza. Wanafunzi wa Yesu Kristo waliitwa Wakristo baadaye ktk mji wa Antiokia.
Injili ikaanza kuenea, wakristo wakateswa sana lakini kadri walivyoteswa ndivyo walivyoeneza injili kwa nguvu zaidi.
Ndipo shetani akabuni mpango wake. Akafikiria aanzie wapi akaamua kupitia ktk ukoo wa Ishnael. Akachukuwa Biblia akabadili baadhi ya mambo na kumtafuta mtu aliyetoka ktk ukoo wa Ishmael akamfunulia maandiko hayo aliyohariri. Ndipo ikaanzishwa dini ya Kiislamu. Wale ndugu wengine wa Ishmael, Isaka na wale ndugu wengine wa Yakobo (Israel) wakajiunga na hiyo imani. Na tangu hapo chuki dhidi ya uzaovwa Yakobo yaani Israel ikawa kubwa. Ndio maana amani ya Mashariki ya kati ni kizungumkuti
Yan uko vzr kw kutumga story
 
aliyenakili kuran alikuwa anachukua Biblia na kuchagua maneno na kupindua mistari iwe kinyume, ila kwa uongo wake alishindwa, Biblia imesimama bado hadi leo. hapa ndio wanaume tujifunze, mtoto wa kambo ni wa kumkanseli sana ili asiwe na chuki, waishmael yaani waarabu a.k.a mood walinyimwa urithi na IBRAHIM kwa sababu walikuwa watoto wa kambo ndio maana hadi kesho wanauchukia utoto wa kambo wanaita mtoto haramu kwa sababu hawataki yampate mwingine yale waliyopitia kwa sara mke wa ibrahim.

pili, kwa sababu urithi wote ulienda kwa isaka, walipamban akuudanganya umma kwamba aliyepata urithi alikuwa ni Ismail/ishmaeli, na wanasema aliyepelekwa mlimani na ibrahim kutolewa sadaka sio isaka ni ishmael. hii yote ni mpambano ili ishmael mtoto wa kambo aonekane ndio alikuwa mtoto wa kweli aliyestahili kurithi. walichosahau ni kwamba, issue kwamba ibrahim alimtoa sadaka isaka na urithi ulienda kwa isaka iliandikwa miaka kama 3000 kabla mwandishi wa kuran hajazaliwa. walichoishia ni kujaa makasiriko na kuwaita wayahudi "mayahudi" na makafiri pamoja na wakristo. ila wamelishwa uongo na mtu aliyekuwa mwongo kuliko wote kuwahi kutokea. mood.
Biblia imesimama vp wkt inajikanyaga kanyaga mzee usiongee vitu kwa ushabiki, msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar huko
 
Kwa mara nyingine Tena makafiri wameshamkumbuka Papa wao kutoka Vatican na tayari vinyeo vimeshaanza kuwawasha hapa ndugu mtazamaji wanakusanyika kwa wingi hapa na kuanza kumchokonoa Baasha ili aje awakune ila mpaka sasa naona mabaasha hawajotekea nadhani wako vibanda umiza wanaabgalia Game ya Mabaasha wakuu wakicheza na Utopolo haya ngoja tuone kwa hali hii naona Makafiri yakipata tabu na kuruka ruka wakidai wanawashwa sijui nani ajitokeze awaondoe huu wahka unaowakuta ndugu makafiri.Nikilipoti kutoka kusikojulikana mi mimi ripota inch 9 wa kitaa media.
Ipo siku utakumbushwa maneno Yako haya, Waite watu Wa MUNGU makafiri na utukane uwezavyo, ila Wakati ukifika utalia na kusaga meno.
 
MUNGU aliweka ahad kupitia Isaka na uzao wake,

Kupitia humo ndipo mwanadamu ataokolewa ,kupitia humo ndipo had anatokea Yesu ,

Hivo wokovu unapitia kwa Isaka ,ndio maana Yesu alisema

WOKOVU WATOKA KWA WAYAHUDI

hivo ishamel Hana umuhimu Tena kwenye Safari ya wokovu, ndio maana habari zake hazina nguvu au mashiko kwenye biblia
 
Biblia imesimama vp wkt inajikanyaga kanyaga mzee usiongee vitu kwa ushabiki, msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar huko
ajabu yake, wewe na imani yako ya kiislam iliyozaliwa miaka 3000 baada ya Biblia, unaamini una uwezo kuikosoa. mkanganyiko wa uandishi ni kitu cha kawaida kwa sababu ilikusanywa na wanadamu ikaweka kwenye kitabu kimoja from different sources, LAKINI THEME YAKE IPO PALEPALE, na theme yake ni tofauti kabisa na theme ya kiislam kwenye kuran ambayo imejaa uongo, na ushetani mtupu.
 
Back
Top Bottom