Mungu wa kweli alijifunua kupitia Ibrahim. Akamnyima mtoto mwanzoni akiwa na lengo la kuja kumpa mtoto wa ahadi atakayekuwa mtoto wa pekee ili Ibrahimu na kizazi chake waweze kumuamini Mungu anapoahidi kuhusu kumleta Mwanawe ulimwenguni. Sasa Ibrahimu akashawishiwa na mkewe Sarah azae na Kijakazi kwakuwa alishakata tamaa ya kuzaa! Kosa hilo ndilo lilimpa shetani mlango wa kupita. Kwa hiyo Mtoto aliyezaliwa na Kijakazi aliitwa Ishmael. Lakini Mungu hatimaye akampa Ibrahimu mtoto aliyeitwa Isaka. Na Mungu akamwambia Isaka ndiye atabeba Mpango wa Mungu wa kukomboa ulimwengu. Isaka naye akazaa watoto wawili Yakobo na Esau. Mungu akasema Yakobo ndiye amemchagua. Baadaye Mungu akambadili jina Yakobo na kuitwa Israel. Israel akazaa Watoto wa kiume 12. Watoto hao ndio walifanyika Makabila 12 ya Israel. Mungu akawapeleka Misri na akaahidi atakuja kuwatoa. Akamtuma Musa na wakatoka Misri wakarudi nchi yao ambayo ilikuwa ikiutwa Kanaani.
Sasa kusudi la Mungu lilikuja kutimia baada ya miaka mingi ambapo Masihi alizaliwa kupitia kabila la Yuda ukoo wa Daudi. Huyo Masihi au Kristo alisulibiwa akafa kwa ajili ya dhambi za wanadamu siku ya tatu akafufuka na kuwatokea wanafunzi wake. Huyu Kristo alichagua wanafunzi wake 12 ambao aliwaita Mitume. Hao Mitume ndio aluwapa maelekezo ya kuhubiri Injili na ndipo Kanisa likaanza. Wanafunzi wa Yesu Kristo waliitwa Wakristo baadaye ktk mji wa Antiokia.
Injili ikaanza kuenea, wakristo wakateswa sana lakini kadri walivyoteswa ndivyo walivyoeneza injili kwa nguvu zaidi.
Ndipo shetani akabuni mpango wake. Akafikiria aanzie wapi akaamua kupitia ktk ukoo wa Ishnael. Akachukuwa Biblia akabadili baadhi ya mambo na kumtafuta mtu aliyetoka ktk ukoo wa Ishmael akamfunulia maandiko hayo aliyohariri. Ndipo ikaanzishwa dini ya Kiislamu. Wale ndugu wengine wa Ishmael, Isaka na wale ndugu wengine wa Yakobo (Israel) wakajiunga na hiyo imani. Na tangu hapo chuki dhidi ya uzaovwa Yakobo yaani Israel ikawa kubwa. Ndio maana amani ya Mashariki ya kati ni kizungumkuti
Correction,hakuna ushahidi wa kihistoria,basaba au maandiko kuwa Muhammad katokea ukoo wa Ishamael
Hiyo ni propaganda ya UISLAMU kujinasibisha na Ibrahimu,
Hata Muhammad alikataa kuhusu yeye kutoka ukoo wa Ishamael kupitia hadithi
Tapeli aliyetunga huu uongo anaitwa IBN ISHAK,wakafata na wengine
Nasaba zilizotungwa na Ibn Ishak na wengine waliomfuata zilijumuisha majina ya Kiarabu katika nasaba ambazo tunazikuta kwenye Kitabu cha Mwanzo.
Kwa mfano, Ibn Ishak aliongeza jina la Kiarabu "Ya’rab," linalotokana na neno "Arab," na kumtaja kama mwana wa "Khahtan." Ibn Ishak kisha akabadilisha Khahtan na kumweka Joktan, anayetajwa katika Kitabu cha Mwanzo kama mwana wa Eber, mwana wa Arfaksadi, na mjukuu wa tatu wa Shemu, mwana wa Nuhu.
Tunajua kuwa neno "Arab" halikuwepo hadi karne ya 10 B.C
Je, litawezekanaje kuwa sehemu ya historia muda mfupi baada ya Nuhu,aliyeishi 5500 BC?
Ibn Ishak alienda mbali zaidi. Alibadilisha jina la Ludi, mwana wa nne wa Shemu, na kumwita Luthu. Kisha alidai kuwa Luthu alikuwa baba wa Amaleki, ambaye alizaa Waamaleki. Pia alidai kwamba Amaleki na kabila lake waliishi Maka, na akadai kwamba Wamisri wa kale pia walikuwa wazao wa Amaleki. Aliendelea kubadilisha jina la awali la Amaleki kuwa “Arib,” ili kuhusisha moja kwa moja na Waarabu.
Kupitia nasaba hizi za uongo, Ibn Ishak alidai kuwa Maka ilikuwepo wakati wa Nuhu na mjukuu wake Ludi. Hii inapingana moja kwa moja na ukweli wa kihistoria unaoonyesha kuwa Maka haikuwepo hadi karne ya 4 AD
Amaleki ni mzao wa Esau, mwana wa Isaka.
Mwanzo 36:12 inasema kuwa Timna alikuwa suria wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau, na alizaa Amaleki kwa Elifazi. Amaleki alizaa Waamaleki, ambao walikuwa kabila la Waedomu lililoishi awali kusini mwa Yordani, lakini baadaye wakahamia mashariki mwa Sinai, kama ilivyothibitishwa wakati wa Musa.
Waamaleki walitoweka baada ya karne ya 10 K.K. Hakuna kumbukumbu yoyote ya Amaleki katika maandishi au maandiko ya wanahistoria wa Kigiriki, ambayo ingeonyesha kwamba kabila hilo liliishi katikati, magharibi, au kaskazini mwa Arabia.
Chakufurahisha zaidi, Muhammad mwenyewe ALIGOMA kabisa
Mohammed alikiri kwamba yeye, wala mtu mwingine yeyote, hawakujua kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh. Al-Nather bin Kinaneh ambaye ni babu wa 13 katika nasaba ambayo Mohammed alitambua .
Kwenye Hadithi nyingine Mohammed alikataa kutambua nasaba zake kabla ya Maad, معد, ambaye baadhi walidokeza kuwa babu wa 20 wa Mohammed.,Machawa walianza kumnasibisha na Maad ,jamaa akawakataa
Nasaba zote zilizojitokeza wakati wa Mohammed za kumsingizia ni WA uzao wa Ishamael alizikataa yeye pamoja na wafuasi wake wa karibu kuwa ni za uongo.,
Huu uzushi unafanana sana na ule wa kuwa IBRAHIMU NA ISHAMAEL walienda maka kujenga lile jiwe jeusi