Unajua wewe kinachokusumbua ni chuki uliyopandikizwa na hao walianzisha ukristo
Walioanzisha ukristo Wana akili nyingi sana
Wamekufanyeni muamini kuwa ukristo ni dini ya kweli wakati ni dini ya uongo
Wamekufanyeni muuchukie uislam wakati ndio dini ya kweli dini ya manabii wote wa Mungu
Wamekufanyeni mumuani mtume wa uongo Paulo na mumchukie mtume wa kweli ambaye ndio Muhammad
Wamekufanyeni muuchukie kitabu Cha Quran chenye Maneno ya Mungu na muamini Bibilia kitabu chenye Maneno ya watu na Maneno ya Mungu yaliyo chakachuliwa
Turudi katika
Umesema familia ya mtume Muhammad ilitokea Yemeni miaka 500 BK ndio ikahamia Maka Mimi hilo silijui lakini sawa nakubaliana na wewe
Sasa Je! Kabla haujawekwa huo mpaka unaotenganisha Saudi Arabia na Yemeni zamani ilikuwa inaitwaje?
Ukiangalia rama ya kale ya Bibilia hilo eneo lote ni Moja lilikuwa linaitwa Havilah au Arabian Desert na wewe mwenyewe umesema kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Havilah angalia ramani ya Havilah hiyo na hiyo Yemeni ipo ndani yake
Kama ungesema familia ya mtume Muhammad walikuwa ni warumi au wagiriki alafu wakahamia Maka hoja yako ingekuwa na mashiko lakini Yemeni mbona hapo hakuna Hoja Au haujui Yemeni ilipo angalia ramani chini hapo
Yani wewe ni chuki tu uliyopandikizwa na Wazungu ndio inakusumbua na kibaya zaidi kwako
Umezaliwa umekuta Muhammad ni Mtume wa Mungu na utakufa utaacha Muhammad kuwa ni mtume wa Mungu
MIMI NAPENDA KUKUSAIDIA UJUE UKWELI NA UTOKE HUKO KWENYE UISLAMU UMPOKEE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO
Muhammad ni nabii wa uongo ,ndio maana kila kitu kwenye uislamu kimejengwa kwa uongo,ona hata Nasaba yake imejengwa kwa uongo
Unatembeaga na hiyo family tree 😂 ni utapeli huo wa IBN ISHAK ndiye founder wa hiyo family tree ya mchongo
Leo nitakupa Elimu ,ukikaidi ,wapo wenzako wenye akili timamu wataenda kuchimbua na wataujua ukweli
Katika hiyo Family tree au Nasaba iliyoandikwa na Ibn Ishak,ambayo unaipenda sana kupost humu,ambayo pia waandishi wengine wa Kiislamu wanaitumia kudanganya watu kuwa Muhammad alikuwa uzao wa Ishamael (Japo Muhammad mwenyewe alikataa) tunagundua utapeli huu ,
IBN ISHAK alimtaja mwana wa Nabaioth, mzaliwa wa kwanza wa Ishmael, kama Yashjub يشجب, na mwanawe ni Yarob يعرب. Yarob ni neno lenye asili ya neno "Arab." Ibn Ishak alifanya hivi ili kumfanya Ishmael aonekane kama Muarabu. Ingawa tunajua kuwa neno "Arab" halikuwa linajulikana kabla ya karne ya 10B.C ,mtindo wa majina kama Yarob na Yashjub ni wa karne ya 8A.D, wakati Ibn Ishak aliishi.
UTAPELI wote huu ni ili kudanganya watu kuwa Mohammed alitokana na Ishmael, na zote zinatoa idadi ndogo ya mababu kati ya Mohammed na Ishmael.
Kuna miaka 2,670 kati ya Ishmael na Mohammed; kipindi kirefu ambacho hakiwezi kufunikwa na vizazi 40 pekee.,
Ibn Ishak aliorodhesha mababu 40,katika FAMILY TREE, Hii inaonesha jamaa alikuwa kilaza na hakuwa na ufahamu, alipoandika ukoo huu .
Mababu 40 au Vizazi 40 toka Ishamael Hadi Muhammad haitoshi kufunika kipindi kikubwa kati ya Ishmael na Mohammed.,Huu ni utapeli wa wazi kabisa ambao hata mla ugali maharagwe anauona.
Ishmael aliishi karibu mwaka 2050B.C wakati Mohammed alihama kwenda Medina karibu mwaka 620 AD. Hivyo, kuna takriban miaka 2,670 kati ya Ishmael na Mohammed.
Je, kipindi hiki kikubwa kinawezaje kufunikwa na mababu 40 pekee?(HAPA NDIO UNAONA UISLAMU UMEJENGWA KWA UONGO)
Ngoja nikupe mfano wa Ukoo wa Yesu uone utofauti, Injili ya Mathayo inaripoti ukoo wa Yesu Kristo mpaka kwa Abrahamu. Tunapata mababu 42 kati ya Abrahamu na Yesu, ingawa ni kipindi cha miaka 1,950 tu. Ukoo wa Mohammed unahitaji kutoa maelezo ya miaka mingine 720.
Jambo lingine la kuzingatia ni kwamba kizazi cha Kiyahudi ni kirefu kuliko kizazi cha Kiarabu.
Fikiria mababu wa Isaka kutoka kwa Abrahamu hadi Mfalme Daudi. Wengi wa hawa wanaume walizaa watoto wao wa kwanza walipokuwa na umri wa miaka 40 au 50. Tunaona kuwa katika uhamisho wa Babeli mwaka 586B.C na kuzaliwa kwa Yesu, kuna vizazi 14.
Hii inaonyesha kuwa kizazi cha Kiyahudi katika kipindi hicho kilikuwa cha miaka 41. Lakini tunapofikia vizazi vya Kiarabu, hatuwezi kuhesabu miaka 41 kwa kila kizazi. Wasomi wanaona kuwa kizazi cha Kiarabu kilikuwa cha miaka 20, kwa sababu Waarabu waliolewa wakiwa na umri wa miaka 17-20, kutokana na hali ya hewa na mazingira yao ya kitamaduni.
KWAHIYO TUSOME HISTORIA TUACHE PROPAGANDA NA UONGO