Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Ipo siku utakumbushwa maneno Yako haya, Waite watu Wa MUNGU makafiri na utukane uwezavyo, ila Wakati ukifika utalia na kusaga meno.
Ungeanza kwanza kuwaambia wale wenye kutukana imani za wenzao kwanza ningekuona una Akili ila unamshauri aliyejibu mashambulizi ushauri wako ni Non sense! kwenye kitabu ninachokiamini hao nilivyowaita ndivyo wanavyoitwa kwa hiyo niko ndani ya mstali Alafu kwenye dini yangu tumeruhusiwa kuhoji na kudadisi kwa kutumia Akili yako hatujafungwa kwenye vitisho sijui majini sijui mashetani tofauti na upande ule na ndo maana hata ibada zetu kila mtu anaweza kuongoza ibada wala sio shida ikiwa tu unajua kuongoza hiyo ibada je kuna dini nyingine zinafanya hivyo?
 
WANAHISTORIA WA WAPI HAO?

ALIYEANZISHA HUO UZUSHI NI IBN ISHAK AMBAYE ALIPINGWA VIKALI NA MUHAMMAD,

Makabila ya Waishmaeli, hasa kabila la Nebaioth ambalo, kwa mujibu wa Ibn Ishak, Mohammed anasemekana kutoka, yalikuwa ni makabila ya kuhamahama yaliyokuwa yakiishi katika jangwa la Sinai na maeneo ya jangwa la Ukanda wa Mshariki wa Kati (Fertile Crescent). Makabila haya yalitoweka baada ya karne ya 7

Familia ya Mohammed ilikuwa ni familia ya Kihimyari kutoka Yemen, wakati Waishmaeli waliokuwa wakiishi jangwani mwa Ukanda wa Mashariki wa Kati walikuwa wametoweka karne nyingi kabla familia ya Mohammed kuondoka Yemen.

Wanahistoria wanasema kuwa familia ya Mohammed ilikuwa familia iliyokuwa ikiishi katika eneo la Saba, Yemen. Katika karne ya 5 B.K.,

Qusayy Bin Kilab, aliyekuwa babu wa tano wa Mohammed, alikusanya muungano wa familia nyingi za Kiyemeni na kuunda Quraish, kabila ambalo Mohammed baadaye alitokea.

Familia hizi zilianza kukaa katika mji wa Makka mnamo karne ya 5 B.K., huku mji wa Makka ukiwa umejengwa na kabila la Khuzaa'h katika karne ya 4 B.K.

Familia ya Mohammed haina uhusiano wowote na makabila ya Waishmaeli, kwa kuwa familia ya Mohammed haikuondoka Yemen hadi karne ya 5 B.K., kipindi ambacho kilikuwa takribani miaka 1,100 baada ya kutoweka kwa Waishmaeli. Hivyo, kabila la Mohammed haliwezi kuwa limeishi katika maeneo sawa na makabila ya Waishmaeli wakati wowote katika historia.

Ukoo uliotajwa na Ibn Ishak unapingana na kauli za Mohammed mwenyewe, ambaye alikiri kutojua chochote kuhusu mababu zake waliotangulia kabla ya kizazi cha babu yake wa 13.

SASA TUMUAMINI MUHAMMAD MUHUSIKA MWENYEWE ANAYESEMA HAJUI CHOCHOTE KUHUSU MABABU ZAKE KABLA YA KIZAZI CHA 13 AU TUKUAMINI WEWE NA MATAPELI WENGINE?

KWANINI MNAMZULIA UONGO MUHAMMAD?
Unajua wewe kinachokusumbua ni chuki uliyopandikizwa na hao walianzisha ukristo
Walioanzisha ukristo Wana akili nyingi sana
Wamekufanyeni muamini kuwa ukristo ni dini ya kweli wakati ni dini ya uongo
Wamekufanyeni muuchukie uislam wakati ndio dini ya kweli dini ya manabii wote wa Mungu

Wamekufanyeni mumuani mtume wa uongo Paulo na mumchukie mtume wa kweli ambaye ndio Muhammad

Wamekufanyeni muuchukie kitabu Cha Quran chenye Maneno ya Mungu na muamini Bibilia kitabu chenye Maneno ya watu na Maneno ya Mungu yaliyo chakachuliwa

Turudi katika
Umesema familia ya mtume Muhammad ilitokea Yemeni miaka 500 BK ndio ikahamia Maka Mimi hilo silijui lakini sawa nakubaliana na wewe

Sasa Je! Kabla haujawekwa huo mpaka unaotenganisha Saudi Arabia na Yemeni zamani ilikuwa inaitwaje?

Ukiangalia rama ya kale ya Bibilia hilo eneo lote ni Moja lilikuwa linaitwa Havilah au Arabian Desert na wewe mwenyewe umesema kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Havilah angalia ramani ya Havilah hiyo na hiyo Yemeni ipo ndani yake

Kama ungesema familia ya mtume Muhammad walikuwa ni warumi au wagiriki alafu wakahamia Maka hoja yako ingekuwa na mashiko lakini Yemeni mbona hapo hakuna Hoja Au haujui Yemeni ilipo angalia ramani chini hapo

Yani wewe ni chuki tu uliyopandikizwa na Wazungu ndio inakusumbua na kibaya zaidi kwako
Umezaliwa umekuta Muhammad ni Mtume wa Mungu na utakufa utaacha Muhammad kuwa ni mtume wa Mungu
 
Attachments

  • Screenshot_20241219-065213.jpg
    Screenshot_20241219-065213.jpg
    505.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241221-072828.jpg
    Screenshot_20241221-072828.jpg
    470 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241221-073645.jpg
    Screenshot_20241221-073645.jpg
    309.6 KB · Views: 1
Unajua wewe kinachokusumbua ni chuki uliyopandikizwa na hao walianzisha ukristo
Walioanzisha ukristo Wana akili nyingi sana
Wamekufanyeni muamini kuwa ukristo ni dini ya kweli wakati ni dini ya uongo
Wamekufanyeni muuchukie uislam wakati ndio dini ya kweli dini ya manabii wote wa Mungu

Wamekufanyeni mumuani mtume wa uongo Paulo na mumchukie mtume wa kweli ambaye ndio Muhammad

Wamekufanyeni muuchukie kitabu Cha Quran chenye Maneno ya Mungu na muamini Bibilia kitabu chenye Maneno ya watu na Maneno ya Mungu yaliyo chakachuliwa

Turudi katika
Umesema familia ya mtume Muhammad ilitokea Yemeni miaka 500 BK ndio ikahamia Maka Mimi hilo silijui lakini sawa nakubaliana na wewe

Sasa Je! Kabla haujawekwa huo mpaka unaotenganisha Saudi Arabia na Yemeni zamani ilikuwa inaitwaje?

Ukiangalia rama ya kale ya Bibilia hilo eneo lote ni Moja lilikuwa linaitwa Havilah au Arabian Desert na wewe mwenyewe umesema kuwa Ishmael na kizazi chake waliishi Havilah angalia ramani ya Havilah hiyo na hiyo Yemeni ipo ndani yake

Kama ungesema familia ya mtume Muhammad walikuwa ni warumi au wagiriki alafu wakahamia Maka hoja yako ingekuwa na mashiko lakini Yemeni mbona hapo hakuna Hoja Au haujui Yemeni ilipo angalia ramani chini hapo

Yani wewe ni chuki tu uliyopandikizwa na Wazungu ndio inakusumbua na kibaya zaidi kwako
Umezaliwa umekuta Muhammad ni Mtume wa Mungu na utakufa utaacha Muhammad kuwa ni mtume wa Mungu
ACHA POROJO , FAMILIA YA MUHAMMAD IMEKATAA KUZUSHIWA UONGO, MBONA WEWE UNAWALAZIMISHA WAKATI WENYEWE WAMEGOMA , JE HUONI UNAFANYA UTAPELI?

SASA JIBU HAYA MASWALI KWA KUTUMIA QURAN

1. ✔BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?

2. ✔ KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?

3. ✔ KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?

4: ✔AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN KUANDIKWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 ?

5: ✔ LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?
 
MIMI NAPENDA KUKUSAIDIA UJUE UKWELI NA UTOKE HUKO KWENYE UISLAMU UMPOKEE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO

Muhammad ni nabii wa uongo ,ndio maana kila kitu kwenye uislamu kimejengwa kwa uongo,ona hata Nasaba yake imejengwa kwa uongo

Unatembeaga na hiyo family tree 😂 ni utapeli huo wa IBN ISHAK ndiye founder wa hiyo family tree ya mchongo

Leo nitakupa Elimu ,ukikaidi ,wapo wenzako wenye akili timamu wataenda kuchimbua na wataujua ukweli

Katika hiyo Family tree au Nasaba iliyoandikwa na Ibn Ishak,ambayo unaipenda sana kupost humu,ambayo pia waandishi wengine wa Kiislamu wanaitumia kudanganya watu kuwa Muhammad alikuwa uzao wa Ishamael (Japo Muhammad mwenyewe alikataa) tunagundua utapeli huu ,

IBN ISHAK alimtaja mwana wa Nabaioth, mzaliwa wa kwanza wa Ishmael, kama Yashjub يشجب, na mwanawe ni Yarob يعرب. Yarob ni neno lenye asili ya neno "Arab." Ibn Ishak alifanya hivi ili kumfanya Ishmael aonekane kama Muarabu. Ingawa tunajua kuwa neno "Arab" halikuwa linajulikana kabla ya karne ya 10B.C ,mtindo wa majina kama Yarob na Yashjub ni wa karne ya 8A.D, wakati Ibn Ishak aliishi.

UTAPELI wote huu ni ili kudanganya watu kuwa Mohammed alitokana na Ishmael, na zote zinatoa idadi ndogo ya mababu kati ya Mohammed na Ishmael.

Kuna miaka 2,670 kati ya Ishmael na Mohammed; kipindi kirefu ambacho hakiwezi kufunikwa na vizazi 40 pekee.,

Ibn Ishak aliorodhesha mababu 40,katika FAMILY TREE, Hii inaonesha jamaa alikuwa kilaza na hakuwa na ufahamu, alipoandika ukoo huu .

Mababu 40 au Vizazi 40 toka Ishamael Hadi Muhammad haitoshi kufunika kipindi kikubwa kati ya Ishmael na Mohammed.,Huu ni utapeli wa wazi kabisa ambao hata mla ugali maharagwe anauona.

Ishmael aliishi karibu mwaka 2050B.C wakati Mohammed alihama kwenda Medina karibu mwaka 620 AD. Hivyo, kuna takriban miaka 2,670 kati ya Ishmael na Mohammed.

Je, kipindi hiki kikubwa kinawezaje kufunikwa na mababu 40 pekee?(HAPA NDIO UNAONA UISLAMU UMEJENGWA KWA UONGO)

Ngoja nikupe mfano wa Ukoo wa Yesu uone utofauti, Injili ya Mathayo inaripoti ukoo wa Yesu Kristo mpaka kwa Abrahamu. Tunapata mababu 42 kati ya Abrahamu na Yesu, ingawa ni kipindi cha miaka 1,950 tu. Ukoo wa Mohammed unahitaji kutoa maelezo ya miaka mingine 720.

Jambo lingine la kuzingatia ni kwamba kizazi cha Kiyahudi ni kirefu kuliko kizazi cha Kiarabu.

Fikiria mababu wa Isaka kutoka kwa Abrahamu hadi Mfalme Daudi. Wengi wa hawa wanaume walizaa watoto wao wa kwanza walipokuwa na umri wa miaka 40 au 50. Tunaona kuwa katika uhamisho wa Babeli mwaka 586B.C na kuzaliwa kwa Yesu, kuna vizazi 14.

Hii inaonyesha kuwa kizazi cha Kiyahudi katika kipindi hicho kilikuwa cha miaka 41. Lakini tunapofikia vizazi vya Kiarabu, hatuwezi kuhesabu miaka 41 kwa kila kizazi. Wasomi wanaona kuwa kizazi cha Kiarabu kilikuwa cha miaka 20, kwa sababu Waarabu waliolewa wakiwa na umri wa miaka 17-20, kutokana na hali ya hewa na mazingira yao ya kitamaduni.

KWAHIYO TUSOME HISTORIA TUACHE PROPAGANDA NA UONGO
 
ACHA POROJO , FAMILIA YA MUHAMMAD IMEKATAA KUZUSHIWA UONGO, MBONA WEWE UNAWALAZIMISHA WAKATI WENYEWE WAMEGOMA , JE HUONI UNAFANYA UTAPELI?

SASA JIBU HAYA MASWALI KWA KUTUMIA QURAN

1. ✔BABA NA BABU WA MUHAMMAD WANATOKEA KWA MTOTO YUPI KATI YA WATOTO HAO 12 WA ISHMAELI?

2. ✔ KATI YA HAO WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALIKUWA NI NABII WA MUNGU ILI KUENDELEZA AGANO LA MUNGU?

3. ✔ KATI YA WATOTO 12 WA ISHMAELI YUPI ALISHAHADIA SHAHADA KUWA YEYE NI MWISLAMU ?

4: ✔AYA IPI HUYU ISHMAELI ALIMWABUDU MUNGU WA BABA YAKE NDANI YA VITABU VYA MANABII, TORATI,ZABURI NA INJILI KABLA YA QURAN KUANDIKWA NA MASWAHABA MWAKA 610-622 ?

5: ✔ LETE MAJINA YA WATOTO 12 WA ISHMAELI NDANI QURAN YAKO?
Kila unapogusa unaangukia pua ndio maana nilikuambia utume wa Mtume Muhammad haupingwi Kwa mandiko ila unapingwa Kwa porojo za Wazungu kupitia ukristo wao

Najibu maswali yako kama ifuatavyo

1) Nilishawahi kukuambia kuwa Mtume Muhammad ametokea Kwa mtoto wa Ishmael anayeitwa QEDARI
Mtiririko huo hapo kuanzia mtume Muhammad Hadi Kwa Ishmael
Wataalamu wa Historia wamefanya kazi yao

Kundi la kwanza:
Muhammad bin ‘Abdullah bin ‘Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa ‘Amr) bin ‘Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Ka‘b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa ‘Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma‘ad bin ‘Adnan.

Kundi la pili:
Adnan bin Add bin Humaisi‘ bin Salaman bin Aws bin Buz bin Qamwal bin Obai bin ‘Awwam bin Nashid bin Haza bin Bildas bin Yadlaf bin Tabikh bin Jahim bin Nahish bin Makhi bin Aid bin ‘Abqar bin ‘Ubaid bin Ad-Da‘a bin Hamdan bin Sanbir bin Yathrabi bin Yahzin bin Yalhan bin Ar‘awi bin Aid bin Deshan bin Aisar bin Afnad bin Aiham bin Muksar bin Nahith bin Zarih bin Sami bin Mazzi bin ‘Awda bin Aram bin Qaidar bin Ishmael mtoto wa Abraham (amani iwe juu yao).

2) Ishmael mwenyewe alikuwa nabii
Mwanzo 16:11
Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.

3) Binadamu yoyote anapozaliwa anakuwa Muislam kama ulitoka katika uislam Yani kuamini Mungu zaidi ya mmoja au kuamini Mungu asiyekuwa Mungu ukirudi ndio unatakiwa utoe shahada
Watoto wa Ishmael waliaminini Mungu ni mmoja na baba ni nabii wa Mungu

4) Ishmael ni nabii tena mtoto wa Nabii Ibrahim kuhusu kumuabudu Mungu katika maisha yake hilo halina mjadala

Na ndio maana waarabu kutahiriwa ulikuwa utamduni wao kabla hata Mtume Muhammad hajapewa utume Kwa sababu lilikuwa ni agizo la Mungu uzao wa Ibrahim na vizazi vyake lazima watahiriwe hivyo Ishmael aliiendeleza hiyo Sheria Kwa vizazi vyake

Hauwezi kupata ibada za Ishmael ndani Bibilia Kwa sababu Musa na manabii wengine wote walikuwa wametumwa Kwa ajili ya Wana wa Israel tu hivyo waliandika habari zinazowahusu waisrael

5) Hauwezi kupata majina ya watoto wa Ishmael ndani ya Quran Kwa sababu hayana umuhimu ndio maana Mungu hakuona umuhimu wa kuyataja hayo majina badala yake likatajwa jina la Ibrahim na Ishmael hayo ndio yalikuwa na umuhimu
 
Nilikwambia Leta Aya ya Quran uthibitishe hayo wewe unaleta Porojo

JE TUWAAMINI HAO WAHUNI AU FAMILIA YA MUHAMMAD AMBAYE ANAGOMA HATOKEI KATIKA HICHO KIZAZI?

NAOMBA UJIBU TUMUAMINI NANI

1. Aisha (mke wa Muhammad):
Aisheh alikataa kwa wazi kuhusu kufungamanishwa kwa Muhammad na Ishmael, akisema:

"Muhammad alijua tu nasaba yake hadi kwa al-Nather bin Kinaneh. Alisema kwamba mtu yeyote anayeongeza au kusema vinginevyo kuhusu mababu zake amedanganya."
Kitabu: Sahih Muslim, Hadithi namba 2479.

2. Ibn Abbas (binamu wa Muhammad na mfasiri maarufu wa Qur’ani):
Ibn Abbas pia alielezea kuwa nasaba zinazomhusisha Muhammad na Ishmael ni za uongo. Alisema:

"Hakuna hata mmoja anayeweza kusema kuwa Muhammad alitokana na wazao wa Ishmael, kwa sababu Muhammad alikataa hili mwenyewe. Aliweka mipaka wazi kuhusu nasaba yake na alikiri kwamba hakuwa na taarifa zaidi kuhusu mababu zake zaidi ya al-Nather bin Kinaneh."
Kitabu: Sahih al-Bukhari, Hadithi namba 3448.
 
Kila unapogusa unaangukia pua ndio maana nilikuambia utume wa Mtume Muhammad haupingwi Kwa mandiko ila unapingwa Kwa porojo za Wazungu kupitia ukristo wao

Najibu maswali yako kama ifuatavyo

1) Nilishawahi kukuambia kuwa Mtume Muhammad ametokea Kwa mtoto wa Ishmael anayeitwa QEDARI
Mtiririko huo hapo kuanzia mtume Muhammad Hadi Kwa Ishmael
Wataalamu wa Historia wamefanya kazi yao

Kundi la kwanza:
Muhammad bin ‘Abdullah bin ‘Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa ‘Amr) bin ‘Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Ka‘b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa ‘Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma‘ad bin ‘Adnan.

Kundi la pili:
Adnan bin Add bin Humaisi‘ bin Salaman bin Aws bin Buz bin Qamwal bin Obai bin ‘Awwam bin Nashid bin Haza bin Bildas bin Yadlaf bin Tabikh bin Jahim bin Nahish bin Makhi bin Aid bin ‘Abqar bin ‘Ubaid bin Ad-Da‘a bin Hamdan bin Sanbir bin Yathrabi bin Yahzin bin Yalhan bin Ar‘awi bin Aid bin Deshan bin Aisar bin Afnad bin Aiham bin Muksar bin Nahith bin Zarih bin Sami bin Mazzi bin ‘Awda bin Aram bin Qaidar bin Ishmael mtoto wa Abraham (amani iwe juu yao).

HUJALETA AYA BALI UMELETA UTAPELI NA UONGO KAMA KAWAIDA YAKO,

Nukuu hizi zimechukuliwa kutoka kwa wanazuoni kama Umar ibn al-Khattab, Abu Umar ibn Abd al-Barr, na wengine waliokuwa wakirejelea maelezo ya nasaba na ufahamu wa historia ya makabila ya Kiarabu.

Umar ibn al-Khattab alisema,

"Sisi huendelea kutaja nasaba zetu mpaka kwa ‘Adnan tu."

Abu Umar ibn Abd al-Barr alieleza katika kitabu chake Al-Anba’ fi Ma‘rifat Qaba’il al-Ruwah (Habari Kuhusu Maarifa ya Makabila ya Wapokezi), kwamba Ibn Lahi‘a alisimulia kutoka kwa Abu al-Aswad aliyesikia kutoka kwa ‘Urwa ibn al-Zubayr akisema,

"HATUKUWAPATA WATU WOWOTE WALIOJUA NASABA ZAIDI YA ‘ADNAN AU QAHTAN, ISIPOKUWA WALIKUWA WAKITUMIA MAKISIO."

Abu al-Aswad pia alisema kwamba alimsikia Abu Bakr Sulayman ibn Abu Khaytham, mmoja wa watu waliokuwa na ujuzi mkubwa kuhusu mashairi na nasaba za Quraysh, akisema,

"HATUKUWAHI KUJUA MTU YEYOTE ALIYEKUWA NA TAARIFA ZILIZORUDI NYUMA ZAIDI YA MA‘AD BIN ‘ADNAN, iwe ni mashairi au maarifa mengine."

Abu Umar alieleza kuwa kulikuwa na kundi la waliotangulia, wakiwemo ‘Abd Allah ibn Mas‘ud, ‘Amr ibn Maymun al-Azdi, na Muhammad ibn Ka‘b al-Quradhi, ambao walipokuwa wakisoma aya ya Qur’an:

"Na waliokuja baada yao ambao hakuna anayejua isipokuwa Mungu" (Surat Ibrahim, 14:9) walikuwa wakisema, "WANASABA WALISEMA UONGO."
 
2) Ishmael mwenyewe alikuwa nabii
Mwanzo 16:11
Malaika wa BWANA akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
Hakuna maandiko au uthibitisho wa unabii wa Ishmael katika Biblia

Katika Mwanzo 16:11-12, malaika wa BWANA anatoa unabii kuhusu maisha ya Ishmael na tabia zake, lakini maandiko haya hayadai kwamba Ishmael mwenyewe atakuwa nabii.

Ishmael anatajwa zaidi kama mtu ambaye uzao wake utakuwa mwingi (Mwanzo 17:20), lakini hilo halihusiani moja kwa moja na jukumu la unabii.

Mwanzo 16:12 unazungumzia zaidi tabia na maisha ya kijamii ya Ishmael, si kazi yake ya kiroho. Kauli kwamba "atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu" inaonyesha maisha yake ya uhuru na ushindani, sio kwamba atakuwa na jukumu la kiunabii.

Kwa msingi wa maandiko haya, ni wazi kwamba Ishmael hakufanya kazi kama nabii, wala hajatambuliwa kuwa nabii katika muktadha wa Biblia.

ACHA KUPAKAZIA WATU UONGO NA UZUSHI
 
Najibu maswali yako kama ifuatavyo

1) Nilishawahi kukuambia kuwa Mtume Muhammad ametokea Kwa mtoto wa Ishmael anayeitwa QEDARI
Mtiririko huo hapo kuanzia mtume Muhammad Hadi Kwa Ishmael
Wataalamu wa Historia wamefanya kazi yao

Kundi la kwanza:
Muhammad bin ‘Abdullah bin ‘Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa ‘Amr) bin ‘Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Ka‘b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa ‘Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma‘ad bin ‘Adnan.

Kundi la pili:
Adnan bin Add bin Humaisi‘ bin Salaman bin Aws bin Buz bin Qamwal bin Obai bin ‘Awwam bin Nashid bin Haza bin Bildas bin Yadlaf bin Tabikh bin Jahim bin Nahish bin Makhi bin Aid bin ‘Abqar bin ‘Ubaid bin Ad-Da‘a bin Hamdan bin Sanbir bin Yathrabi bin Yahzin bin Yalhan bin Ar‘awi bin Aid bin Deshan bin Aisar bin Afnad bin Aiham bin Muksar bin Nahith bin Zarih bin Sami bin Mazzi bin ‘Awda bin Aram bin Qaidar bin Ishmael mtoto wa Abraham (amani iwe juu yao).
HUU UONGO NA UZUSHI UNAUTOA WAPI? MUHAMMAD NA FAMILIA YAKE WALIGOMA HUU UZUSHI, WEWE UNAUFANYA KWA FAIDA YA NANI ?

TWENDE PAMOJA NIKUFUNDISHE LABDA HUENDA HUJUI ,UISLAMU UNASEMAJE KUHUSU HUO UZUSHI ULIOWEKA HAPO

Nitatumia vyanzo vya uislamu ili uaibike zaidi ,

Ibn Sa‘d:

… Kwa kupokelewa kutoka kwa Ibn ‘Abbas; alisema:

"Hakika Mtume (rehema na amani zimshukie), ALIPOKUWA AKISEMA NASABA YAKE, HAKUENDA ZAIDI YA MA‘ADD BIN ‘ADNAN BIN UDAD," kisha alinyamaza na kusema: "Wanahistoria wa nasaba NI WAONGO," kwa kuwa Mwenyezi Mungu anasema: "Kizazi kimepita kati yao."

Ibn ‘Abbas alisema:

"Mtume angeambiwa kuhusu nasaba (kabla ya Adnan na Mwenyezi Mungu) kama angependa."

… Kwa kupokelewa kutoka kwa ‘Abd Allah. Hakika alisoma: "‘Ad na Thamud na waliokuja baada yao; HAKUNA ANAYEYAJUA ISIPOKUWA MWENYEZI MUNGU." Wanahistoria wa nasaba NI WAONGO.

… Kati ya Ma‘add na Ismail kulikuwa na zaidi ya VIZAZI THELATHINI; lakini hakutaja majina yao wala kueleza nasaba yao, pengine hakuitaja kwa sababu alikuwa amesikia Hadith ya Abu Salih kupitia Ibn ‘Abbas aliyesimulia kwamba kuhusu Mtume (rehma za Allah ziwe juu yake), ALINYAMAZA BAADA YA KUTAJIA MA‘ADD BIN ‘ADNAN.

NAKUPA VYANZO NENDA KASOME ,WEWE UISLAMU BADO HUUJUI

👇👇👇

Haya ni maandiko ya kihistoria kama yalivyokusanywa na Ibn Sa‘d katika kitabu chake Tabaqat al-Kubra, ambacho ni chanzo cha historia ya maisha ya Mtume (SAW), masahaba wake, na vizazi vya Waarabu.

Chanzo: Ibn Sa‘d, Tabaqat al-Kubra
Hadith ya Ibn ‘Abbas:

1. Ibn ‘Abbas alisema: "Hakika Mtume (SAW), aliposema nasaba yake, hakuzidi Ma‘add bin ‘Adnan bin Udad, kisha alinyamaza na kusema: 'Wanahistoria wa nasaba ni waongo,' kwa kuwa Mwenyezi Mungu anasema: 'Kizazi kimepita kati yao.'”

2. Ibn ‘Abbas aliongeza: "Mtume angeambiwa kuhusu nasaba (kabla ya Adnan) na Mwenyezi Mungu kama angependa."

Chanzo: Ibn Sa‘d, Tabaqat al-Kubra
Hadith ya ‘Abd Allah:

1. Alisoma: "‘Ad na Thamud na waliokuja baada yao; hakuna anayeyajua isipokuwa Mwenyezi Mungu. Wanahistoria wa nasaba ni waongo."

2. Kati ya Ma‘add na Ismail, Ibn Sa‘d anasema kulikuwa na zaidi ya vizazi thelathini, lakini Mtume hakutaja majina yao wala kueleza nasaba yao, kwa sababu alinyamaza baada ya kutaja Ma‘add bin ‘Adnan, kama ilivyosimuliwa na Ibn ‘Abbas.

NJOO NA UTAPELI,UONGO NA PROPAGANDA NYINGINE NIKUKAANGE BILA MAFUTA
 
Ungeanza kwanza kuwaambia wale wenye kutukana imani za wenzao kwanza ningekuona una Akili ila unamshauri aliyejibu mashambulizi ushauri wako ni Non sense! kwenye kitabu ninachokiamini hao nilivyowaita ndivyo wanavyoitwa kwa hiyo niko ndani ya mstali Alafu kwenye dini yangu tumeruhusiwa kuhoji na kudadisi kwa kutumia Akili yako hatujafungwa kwenye vitisho sijui majini sijui mashetani tofauti na upande ule na ndo maana hata ibada zetu kila mtu anaweza kuongoza ibada wala sio shida ikiwa tu unajua kuongoza hiyo ibada je kuna dini nyingine zinafanya hivyo?
kuwa na dini utofauti sio kosa, mtu KUIAMINI dini yake hajakosea kitu chochote, lakini kutukana wenzako na kuwatia makafiri, ilihali wote tumezaliwa Kwa njia ILEILE sio sawa kabisa. Na kama dini Yako inakuhamru kufanya hivyo Kuna walakini kwenye ukweli WA dini hiyo.
pia usisahu kuwa ungekuta Wazazi wako wanna.ini dini nyingine, usingekuwa muislamu, wote tunafata mikumbo, hivi vitu tumeletrwa na wenzetu, chagua kinachokufaa wewe ila kutukana waafrika wenzako makafiri kisa hawajaukubali uislamu sio sawa kabisa, Binadamu wote ni sawa mbele za mwenyezi MUNGU
 
Biblia Haina shida ,wenye shida ni watu

Who created the modern day Bible?
The king James version (KJV) christian brand Bible was authored by a group of over 30 writers and was published in the early 17th century. Most modern bibles are based upon the KJV.
The oldest prototype, confused and internally contradictory, historically inaccurate and historically unsupported, scientifically absurd christian brand bibles were cobbled together in the late 4th century and are known as Codex Sinaiticus and Codex Vaticanus. They are both very different from each other and the KJV is significantly different from the 4th century originated prototypes.
Sinaiticus has been published in facsimile online since 2008 and we recognise the three human authors and first of very many human editors by their distinctive handwriting styles and use of Koine Greek.
There are assorted fragments and scraps of papyri that were once claimed to have originated in the 200s and that would have eliminated them as authentic and original evidence of first century events and characters, however these “P” series papyri have most recently and scientifically dated to no earlier than third century.
There is in fact absolutely no authentic and original first century originated historical evidence of the existence of the historically invisible and entirely fictional character only comparatively recently known as Jesus and no historical trace of any messianic cult similar to the 4th century founded Roman state religion they called christianity.
 
Hizi ni porojo tu
 
kuwa na dini utofauti sio kosa, mtu KUIAMINI dini yake hajakosea kitu chochote, lakini kutukana wenzako na kuwatia makafiri, ilihali wote tumezaliwa Kwa njia ILEILE sio sawa kabisa. Na kama dini Yako inakuhamru kufanya hivyo Kuna walakini kwenye ukweli WA dini hiyo.
pia usisahu kuwa ungekuta Wazazi wako wanna.ini dini nyingine, usingekuwa muislamu, wote tunafata mikumbo, hivi vitu tumeletrwa na wenzetu, chagua kinachokufaa wewe ila kutukana waafrika wenzako makafiri kisa hawajaukubali uislamu sio sawa kabisa, Binadamu wote ni sawa mbele za mwenyezi MUNGU
Hivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi kwamba wazazi wakiwa dini fulani lazima watoto wafuate dini ya wazazi kuna mamilioni ya watu Duniani wako kinyume na wazazi wao wengine wametengwa sijui kama unajua hilo Alafu kwa nini inaonekana kuletwa dini kwetu Afrika iwe Ishu ila kuna vitu vingi vimeletwa Afrika kuanzia Teknolojia mavazi anasa utamaduni vyote mnavikubali ila Dini ndo mbaya kwa Waislam ukisema Yesu ni mungu ni Tusi kubwa sana kwetu sasa wewe unatumia mzani gani kupima uzito wa kuitwa Mtu kafiri na kumpa Mtu Cheo si chake?
 
Hivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi kwamba wazazi wakiwa dini fulani lazima watoto wafuate dini ya wazazi kuna mamilioni ya watu Duniani wako kinyume na wazazi wao wengine wametengwa sijui kama unajua hilo Alafu kwa nini inaonekana kuletwa dini kwetu Afrika iwe Ishu ila kuna vitu vingi vimeletwa Afrika kuanzia Teknolojia mavazi anasa utamaduni vyote mnavikubali ila Dini ndo mbaya kwa Waislam ukisema Yesu ni mungu ni Tusi kubwa sana kwetu sasa wewe unatumia mzani gani kupima uzito wa kuitwa Mtu kafiri na kumpa Mtu Cheo si chadoma vizuri
Nenda kwenye point bhana, Kabla ya ujio Wa waarabu na wazungu, Africa haikuwa na ukristo, na uislamu ulikuwepo Kwa asilimia Ndogo sana Kwa mataifa ya North Africa, ila waafrika wenye asili ya ubantu walikuwa wanaabudi mizimu, na hatakama kuhabudu mizimu haikuwa sawa Kwa modern civilized society, Bado mizimu hiyo ILIKUWA haiwabagui watu Kwa kuwatia makafiri wale wasioamini na kuhabudu mizimu Ile, point yangu mkubwa ipo kwenye kuita watu makafiri Wakati wote tunazaliwa Kwa njia Moja, na maandiko yanasema tumetokana na udongo, sasa iweje Mimi ni kafiri alafu wewe sio? Aisee bhana ee mtalipaga tu kuwatia watu Wa MUNGU makafiri
 
Anayefanya matendo ya kishoga huyo ni shoga anayefanya ujambazi huyo ni jambazi ,sasa upande wa Mungu sasa ukikataa kuamini Mungu mmoja na kumpinga Mungu wewe ndo unaitwa Kafiri wala usiumie sana kama huna sifa hizo ni sawa na neno Shoga wala halina tatizo kama hujihusishi na ushoga ila tu utabaki unachukia watendaji wa huo ushoga na kitendo hicho huo ni mfano na nimejalibu kukufafanulia japo kidogo kunywa maji sasa utulie.
 
Acha kufananisha mambo ya MUNGU na Ushoga, kingine kwenye kuhabudu ni wote tunamuahabudu MUNGU ila Kwa njia tofauti, MUNGU Wa wakristo anakataza Ushoga, uasherati, wizi na Kuua nk. VILEVILE kama ilivyo Kwa MUNGU WENU. Ila kuita Binadamu makafiri kisa hawajaabudu dini YENU sio sawa kabisa, Hukumu mwachieni MUNGU pekee, Nyie hamna mamlaka ya kutukana na kuhukumu
 
Kuahabudu ndo nini mwangu? Au unamaanisha kuabudu?
 
Je, wajua kuwa Zaburi ya Daud pia imo kwenye Quran?

Itoshe kusema kuwa Abraham ndio mzazi wa hizi dini kubwa 3.
1. Uyahudi (Kizazi cha Abraham kwa mkewe Sarah akazaliwa Isaac - Hawa hawaamini Isaya 53, hivyo walimkataa Yesu)
2.Ukristo (Kizazi cha Abraham kwa mkewe Sarah akazaliwa Isaac - Hawa wanaamini Isaya 53,na walimpokea Yesu)
3.Uislam (Kizazi cha Abraham kwa mjakazi wake kutoka Egypt akiitwa Hagar, akazaliwa Ishmael-Hawa hawatambui agano jipya la bible).

Ndiposa ugomvi wa Wayahudi, Wakristo na Waislam ni ugomvi wa ndugu. Na ndugu wakigombana chukua jembe ukalime.

Vilevile, humu duniani Kuna dini zingine nyingi tu mbali ya hizi dini tatu. Watu wanazo, wanatamba nazo.
Ushauri wako mbovu. Siongelei kugombana kwa 'ndugu' zako hao. Naongelea udukuzi uliofanywa na uislam toka kwenye ukristo. Simpo. Hivyo, usipotoshe hoja yangu kwa kulenga mawenge yako mwanangu. Nakuheshimu.
 
Acha kufananisha mambo ya MUNGU na Ushoga, kingine kwenye kuhabudu ni wote tunamuahabudu MUNGU ila Kwa njia tofauti, MUNGU Wa wakristo anakataza Ushoga, uasherati, wizi na Kuua nk. VILEVILE kama ilivyo Kwa MUNGU WENU. Ila kuita Binadamu makafiri kisa hawajaabudu dini YENU sio sawa kabisa, Hukumu mwachieni MUNGU pekee, Nyie hamna mamlaka ya kutukana na kuhukumu
Ukiwa hauabudu Mungu mmoja Wewe ni Kafiri uwe muhindi,mzungu,mchina au mwafrika.
 
Back
Top Bottom