sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #21
Kwa sababu ni mkongwe anaependa kukashifu maprodyuza vijana anawaonea wivu sana yeye hajawai kutengeneza international hits kina s2kizzy washafanya mpaka na kina malumaAisee kwani una ugomvi na Master J? Kwanini yeye kati ya maprodyuza wote? Halafu, hivi hakukuwa na picha nyingine mpaka uweke hii?
UNa umri wa miaka Mingapi?So point yako ni ipi? Masta jei kamzidi kitu gani zombie kwenye production zaidi ya ukongwe?
We niambie S2kizzy kamzidi kipi MasterSo point yako ni ipi? Masta jei kamzidi kitu gani zombie kwenye production zaidi ya ukongwe?
Kabisa mkuu, ukiachialia mbali unaweza kununua packs kibao, code progression kibao.Bado inachekesha😂
Music production ya sasa imekua rahisi zaidi, kila kitu kimekua autamated and incorporated into user friendly softwares.
Hichi ni kichekesho ambacho hata Mama yako ukimwambia lazima acheke kabisa…View attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Ni sawa na kusema Hitboy ni mkali kuliko DJ Premier. Yaani unafananisha hawa wachoraji beat kwa kutumia mouse na watu waliokuwa wana-loop kanda za kaseti? You're out of your fu**in mind.View attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Hii thread inatakiwa ijadiliwe na watoto walio zaliwa 2010...Vijna wa siku hizi hayo hawayajui wanachojua ni Amapiano nayo pia ni Sampling tu
Safi sanaNi sawa na kusema Hitboy ni mkali kuliko DJ Premier. Yaani unafananisha hawa wachoraji beat kwa kutumia mouse na watu waliokuwa wana-loop kanda za kaseti? You're out of your fu**in mind.
Mkuu,View attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
lakini madaraja ya 61 yapo ya 2024 yashaanza kubomoka hata hayajazinduliwaTatizo unalinganisha Kizazi cha sasa Cha Automated softwares Na kizazi cha zaman unatumia Only FL studio (Fruits Loops) kutengeneza beats na unatumia softwares za Kuingiza vocal zinazoruhusu only Direct singing ambayo haina marudio..
Na ndo maana zaman ilikuwa lazma ukariri nyumbo yote uende ukaimbe sio siku hizi unaweza ukatunga na kuimba nyimbo na kurudia rudia kila kipande..
Sometimes tujue kulinganisha vitu na kutoa Appreciation kwa ma legend..
Ni sawa ulinganishe mtu aliyetengeneza Daraja mwaka 1961 ulinganishe na aliyetengeneza mwaka huu..
Tujifunze kutoa shukrani....
S2kizz mwepesi sana
Wabongo wengi wana tatizo la kufikiri kwa muktadha wa "all or nothing at all".Ila wabongo bana yani kuna mtu ana amini hakuna msanii wa zaman wala wa sasa wa kumzidi diamond ila mtu huyo huyo pia haamini kua s2kizzy ni bora kuliko master jay