Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kimambo beats nipo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni baada ya Maoni ya Master J kuhusu utofauti wa Diamond na Kiba!?View attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
BizmannHivi ile beat ya zeze TID nani aliinyonga kamenijia kichwani kale kabeat 🔥🔥
Naona kuna kitu unalazimisha.View attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Huyu mwamba nae ana balaa ile nyimbo yake nipe muda 🔥🔥🔥🔥Bizmann
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]kipindi tunakua ktk mabishano ya nani anaweza kula bajia nyingi kuliko wengine,mpuuzi mmoja akaropoka kwamba yeye akiwekewa bajia zikajaa bodi ya landrover akaachiwa sehemu ya kukaa tu,anamaliza.
kwa sasa baada ya umri kwenda ndio najua,mabishano yale yalikuwa sponsored by njaa[emoji23][emoji23].
kwa sasa kuna watu wanaamimi kabisa producer bora anapatikana WCB tu,
msanii mwenye pesa hata za kukopesha serikali ni diamond platnumz.
hata hii mada imeletwa kwa hisani ya ujinga.
Hujui industry mkuuView attachment 2891931
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.
Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.
Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Ushamba mzigoBado inachekesha😂
Music production ya sasa imekua rahisi zaidi, kila kitu kimekua autamated and incorporated into user friendly softwares.
[emoji375]Hata asiyekuwa Mtaalamu muziki ..Hakuna kitu anaweza kukuelewa..
Kumlinganisha Master Jay na Zombie ni kujitafutia laana za Ukubwani tu.