Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Technically Zombie kamuacha mbali sana Masta jei wataalam wa muziki wananielewa
Music production ya sasa kila mtu anawezafanya ila kwa zamani ilikuwa lazima ujue kutumia vyombo so producers wa zamani tuwape heshima yao maana waliproduce kwa uwezo wao na product zilikuwa na ubunifu na ubora mkubwa sana kuliko hizi copy & paste za leo. Siku hizi kuna dum loops ambazo hata kipofu anatumia na anaunda mdundo mzuri tu! Njoo inbox nikupe loops ukaunde beatz then uone kama utarudi hapa kumsifia huyo s2kizzy
 
Zamani walitumia Fruits Loops Ile ya Fl 5, Fl 6 na Fl 7 FL 8 ilikuja Miaka ya 2009 hivi kwa waliotumia FL na Nuendo na zile plugin Nyingine (VST) za FL studio kutumia Vinanda na Drums kutafuta Chords..

Huwezi Kumlinganisha na Mtu anayesample kwa kuset loop n kupiga Drums kwa mkono zamani ilikuwa lazma uje timing ya kutengeneza Tempo kwanza mtu aimbe uanze kuona Mdundo upi utamfaa..
Jamani eeh achani tu
 
Eti Grammy nominated, what a fuckin joke 😅

Kushirikishwa kweny moja ya nyimbo ya album ambayo imekuwa Grammy nominated haikufanyi na wewe uwe Grammy nominated artist, wewe unapata tuu certificate kwamba ulishiriki kweny hio album, Grammy nominated artist ni Maluma na album yake, hao wakina Rayvanny na S2kizzy wanadanganya watu.

Mfano Wizkid asingeshinda Grammy kweny nyimbo ya "Brown skin girl" aliyofanya collaboration na Beyonce, hapo sasa yeye ndo angestahili kujiita Grammy nominated artist kwa sababu nyimbo ndo imekuwa nominated na sio album kama kweny case ya Maluma, sasa wizkid na beyonce walivoshinda, wizkid akapewa ile tuzo ya Grammy iliyondikwa jina lake kabisa na dedication kwake, sasa kwann nimesema hv, rayvanny na s2kizzy wanadanganya watu kwa sababu wao hata album ya maluma ingeshinda Grammy wao wangepata nahic certificate tuu ya kwamba walishiriki kweny hio album.

A Record/Song nomination is very different from an album nomination.
The artists that are featured on the album do not receive a Grammy but are guest featured on a Grammy award winning album which is a high accomplishment in its own.
 
Hakuna ugonjw mbaya hii nchi kama ugonjw wa uWCB Yan wanaamini kila kizur ni wao kwnn msiwe kama sisi wengne hatuna side Cha msingi mziki mzuri tunasikiliza

NB: mara mia ungesema tuddytomas angalau alikuwa ana beats za hatareeee San ni vile tu wahuni walimvunja kiuno
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Huu sasa ushabiki maandazi ,hata Diamond Platnumz mwenyewe akiona hapa atashangaa.
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Peleka Facebook.
 
kipindi tunakua ktk mabishano ya nani anaweza kula bajia nyingi kuliko wengine,mpuuzi mmoja akaropoka kwamba yeye akiwekewa bajia zikajaa bodi ya landrover akaachiwa sehemu ya kukaa tu,anamaliza.
kwa sasa baada ya umri kwenda ndio najua,mabishano yale yalikuwa sponsored by njaa😂😂.

kwa sasa kuna watu wanaamimi kabisa producer bora anapatikana WCB tu,

msanii mwenye pesa hata za kukopesha serikali ni diamond platnumz.

hata hii mada imeletwa kwa hisani ya ujinga.
😂😂😂😂😂😂
 
Ni Sawa Na Kulinganisha Jaguar XJ220 Gari Ya 90's Na Jaguar XF Gari Ya 2024.

Kila Mtu Hapo Alifanya Vyema Katika Nyakati Zake Ila Maendeleo Ya Technology Yapo Kasi Zaidi Hivyo Lazima Utaona S2Kizzy Ni Best.

Ila Ipe Heshima Maendeleo Ya Binadamu Katika Technology.
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Nimepitia Comments humu ndani kijana funga hii thread umepigwa MAKONZI MAZITO SANA
 
Wakuu mtoa mada kadata kidogo baada ya kubwia unga

Sound engineer anafananishwa na kilaza kweli?
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom