Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Zuchu nilishuhudia shoo Zake mbili moja Dodoma, nyingine Dar, zote aliharibu vibaya , anasingizia sound engineer haja configure vizur
Kumbe wcb ni wazee wa autotune
Yan binti sauti ilikuwa kavu kama ,kila siku asubuhi anakula miogo na maji ya baridi.

Tuna jua mnatafuta pesa , Lakin msizarau mabloo, legend.

Lady jaydee mpaka Leo anapiga Show za live na Zina mlipa vizur.wcb hamjawai fanya live Show hata 1, zote ni playback, Full shangwe ,makelele Tu 😂
 
Zuchu nilishuhudia shoo Zake mbili moja Dodoma, nyingine Dar, zote aliharibu vibaya , anasingizia sound engineer haja configure vizur
Kumbe wcb ni wazee wa autotune
Yan binti sauti ilikuwa kavu kama ,kila siku asubuhi anakula miogo na maji ya baridi.

Tuna jua mnatafuta pesa , Lakin msizarau mabloo, legend.

Lady jaydee mpaka Leo anapiga Show za live na Zina mlipa vizur.wcb hamjawai fanya live Show hata 1, zote ni playback, Full shangwe ,makelele Tu 😂
Ukipata show yoyote kali kuliko hii ya msanii wa bongofleva, ilete nakutumia million 2 fasta.


View: https://youtu.be/8_uusYTkeMQ?feature=shared
 
Okay 👍 nilikuwa sijamalizia kusema baadhi kama lavalava,mbosso, van lakini simba Kwass sidhan kama anaweza kuimba live. Japo Zamani alikuwa anaweza


Naomba video ya zuchu akiimba live, alafu uweke mil 2 yako
Wewe ni mpuuzi , usirudie kuongea usiyoyajua kwa kufuata chuki
 
Siwezi kuwa na chuki na kija was tz.
Lete videos za zuchu akiimba live Dodoma, Dar, Zanzibar
Ulisema WCB hawawezi kuimba live nimekupa video, bado unaleta chuki zako za kimaskini
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Umezaliwa 2000,s ????
 
 
Tushajua haupo serious so tukuache,mtu anaetumia same loot pattern na sound kits zilezile Kila beat unamfananisha na Master??
 
UNa umri wa miaka Mingapi?
Kwanini nakuuliza hivyo..
Pengine Kipindi cha miaka 2000s ulikuwa hujazaliwa so huenda hujui hata mazingira ya Muaka hiyo ilikuwje..

Sasa ngoja nikupe Mfano Dhahiri miaka ya 80s kulikuwa na Shule chache za secondary hivyo wanafunzi wengi tulifaulu ufaulu wa juu sana ila shule zilikuwa chache Tanzania nzima shule hazikuzidi 20..

Kwahyo unaweza kukuta mwanafunzi wa zamani enzi hizo akawa na maksi kubwa sana kuliko mwanafuzni wa sasa hivi, Mwanafunzi ili aende secondary ilibdi afaulu Kwa kupata maksi za juu sana..

Vivo hivyo hata secondary ilikuwa hivyo hivyo watu wengi waliopata Div 3 na 4 na hata wale wa 2 ilibdi waende kusoma ualimu Daraja la 3 maana hakukuwa na Nafasi sio kwamba walikuwa hawafaulu..
Ila siku hizi kuna shule nyingi mpaka 3 anasoma na kufika chuoni..

Sasa kwanini Nimekupa mfano wa hayo yote..
Kwa sababu Zamani na sasa ni tifauti sana kwa technolojia na vitu vingine pia..

kama umewahi kufanya Production miaka hiyo Na miaka ya sasa hivi utajua nachozungumzia ..

Master J yuko Juu sana kuliko S2kizz..

Ningependa tujikite kwenye hoja..
S2kizzy kamtoa msanii Gani kwa kutumia Jina lake?
Au yeye ndo kabebwa na Wasanii anaowatengenezea?
Hawwz jibu hoja huii ni juu ya ufahamu na umeri wake
 
Back
Top Bottom