Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

Zuchu nilishuhudia shoo Zake mbili moja Dodoma, nyingine Dar, zote aliharibu vibaya , anasingizia sound engineer haja configure vizur
Kumbe wcb ni wazee wa autotune
Yan binti sauti ilikuwa kavu kama ,kila siku asubuhi anakula miogo na maji ya baridi.

Tuna jua mnatafuta pesa , Lakin msizarau mabloo, legend.

Lady jaydee mpaka Leo anapiga Show za live na Zina mlipa vizur.wcb hamjawai fanya live Show hata 1, zote ni playback, Full shangwe ,makelele Tu 😂
 
Ukipata show yoyote kali kuliko hii ya msanii wa bongofleva, ilete nakutumia million 2 fasta.


View: https://youtu.be/8_uusYTkeMQ?feature=shared
 
Okay 👍 nilikuwa sijamalizia kusema baadhi kama lavalava,mbosso, van lakini simba Kwass sidhan kama anaweza kuimba live. Japo Zamani alikuwa anaweza


Naomba video ya zuchu akiimba live, alafu uweke mil 2 yako
Wewe ni mpuuzi , usirudie kuongea usiyoyajua kwa kufuata chuki
 
Siwezi kuwa na chuki na kija was tz.
Lete videos za zuchu akiimba live Dodoma, Dar, Zanzibar
Ulisema WCB hawawezi kuimba live nimekupa video, bado unaleta chuki zako za kimaskini
 
Umezaliwa 2000,s ????
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Tushajua haupo serious so tukuache,mtu anaetumia same loot pattern na sound kits zilezile Kila beat unamfananisha na Master??
 
Hawwz jibu hoja huii ni juu ya ufahamu na umeri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…