Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
I mean no malice to nobody.Saa 3:33...
Davido kagusa Sana Kwa kweli
Mzee kuanzia u s.a charts davido katrend, au hujaona hapoHiyo albam yake nzima imepitwa na nyimbo moja tu ya mwamba halafu dogo sana tu,Rema,calm down,hapana chezea kabisa
Mzee kuanzia u s.a charts davido katrend, au hujaona hapo
Angalia na takwim za hiyo nyimbo za huyo dogo kidunia,utajua davido hajuiMzee kuanzia u s.a charts davido katrend, au hujaona hapo
Shusha hapa hizo ngoma .. acha blahblahMy favorite songs 👉feel
👉No competition ft asake
👉Feel
👉un available ft Musa keys
👉over Dem
Serious 😂😂, yaani haujui pa kuzipataaShusha hapa hizo ngoma .. acha blahblah
SI alipost cover ?Mi kiinglishi chao sikielewagi
Album yake nahisi ni nzuri maana wizzy alisema tukaiangalie😃
EehSI alipost cover ?
Album kali
Overrated tu, ila huezi mshindanisha na wizzy au DavidoBurnaboy anaimba singeli ivi?!!
Thanks Palina . Happy Easter to you too dearQaree
Happy Easter mkuu