Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Huyu Burna boy ni balaa kwa sasa kwanza anajiita giant yani mkubwa anashow yake mwezi sita netherland uwanja wa mpira tayari ticket zimeshaisha tiketi moja ni laki mbiliEmbu mpe burna boy heshima yake kuanzia kwenye utunzi,mziki mzuri , performance kwenye stage hakuna wakumfikia sasahivi hapa africa