baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Mkuu nakwambia hakuna mziki Africa wala Middle East ambao umefika 1B view hivyo kusema kaswida zimefika ni uongo. Na jamaa anatambulika Official na Guiness record.Mkuu hebu angalia muziki wa ngozi nyeusi ulivyo struggle kuendana international. Na Sasa unavyo kubalika.
👉Huyo Saad huko kwao ni millions of people, so support ni lazima.
👉Amekuwa recognized kwa kipi??, So hata waimba kaswida wa huko wanna pata 1b views 😁😀
👉Hebu taja one song, aliyo mshirikisha international artist.
👉Ana fanya mziki wa aina ipi, davido kamuandikia Hadi ngoma Chris's brown. Na Chris's alisema wazi
Pia Saad anaimba pop, na mziki wake ni wa Ki Africa/kizungu zaidi kuliko traditional Arabic music, hata Tuzo zake nilizokutajia kama za Apple ama MTV si za kiarabu.
Pia Morocco wapo wachache na Waarabu wote Duniani hawafiki hata milioni 400, Nigeria pekee ni 200M na uki include Kusini mwa jangwa la Sahara ni population kubwa mno.
Na Soko la Saad ni Africa, Spain, India, Ufaransa Middle East na maeneo mengine, hivyo hata Collabo zake ni wasanii wa hayo Masoko kwa Spain ameimba na Kina Gipsy king, Nicola Reyes etc
Hata Nyimbo zake kama Casablanca zina taste ya Ki spanish.
Pia anaimba miziki milaini kama hii collabo yake na Elissa