Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
Kuna Ile kitu ya bwana mdogo aliyo shirikishwa na Ali kiba ni 🔥🔥, sema ma hit anayo.Jamaa ni moto ana flow flan kama Jamaican yaan anakuja halafu anapotea unyama kwenye wimbo alioshirikiswha na Simi ebwana weeeeee.
👉Mtonyo anao, heshima anayo so ni style yake tu