Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

Overrated tu, ila huezi mshindanisha na wizzy au Davido

Burna naona alikua vizuri kwa kipindi Fulani ila sio LEGEND
Msanii anaeweza kujaza uwanja wa mpira ulaya we unasema overrated angalia show hiyo ya Burna boy ndio utajua huyu jamaa ni mwanamziki ana power sana show zake zote anafanya live na band masaa ata matatu sound imetulia tofauti na hao wengine
Angalia hii
 
Back
Top Bottom