The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hapo ndo ujinga wetu huwa unaonekana mkuu alafu mtu anasema viongozi wenye maono sijui atawapata kwa njia gani Afrika haina maendeleo kwa sababu ya waafrika wenyewe.Sehemu kubwa ya Africa imetawaliwa bila demokrasia kuwa muda mrefu lakini Africa ndio bara maskini zaidi duniani.
Kwa kuwa uumunimi wa udikteta, ni sawa.Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe!
Tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa.
Kwa maoni yangu maendeleo ni matokeo ya kuongozwa na kiongozi/viongozi mwenye upeo wa kuona mbali na mwenye usimamizi madhubuti wa utekelezaji wa hayo maoni.
Nchi hizi 3 ziliwahi kutawaliwa na Madikteta kamili, hebu tupe aina ya maendeeo waliyonayo;Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe!
Tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa.
Kwa maoni yangu maendeleo ni matokeo ya kuongozwa na kiongozi/viongozi mwenye upeo wa kuona mbali na mwenye usimamizi madhubuti wa utekelezaji wa hayo maoni.
Lete case study.Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe!
Tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa.
Kwa maoni yangu maendeleo ni matokeo ya kuongozwa na kiongozi/viongozi mwenye upeo wa kuona mbali na mwenye usimamizi madhubuti wa utekelezaji wa hayo maoni.
Hakuna dikteta keshawahi letea watu maendeleo, madikteta wapo kwa ajili ya interest zao binafsiNchi hizi 3 ziliwahi kutawaliwa na Madikteta kamili, hebu tupe aina ya maendeeo waliyonayo;
1.Afrika ya kati.
2.DRC
3.Uganda.
Tatizo sio dictator shida ni ubinafsi mbona libya waliongozwa na dictator ila walikua na hali nzuri Hadi kufikia hatua ya kufadhili umoja wa africa!?Hakuna dikteta keshawahi letea watu maendeleo, madikteta wapo kwa ajili ya interest zao binafsi
Haijalishi atapatikana kwa njia gani iwe kwa mapinduzi uteuzi au uchaguzi cha msingi awe na maono asiwe mbinafsi.Hapo ndo ujinga wetu huwa unaonekana mkuu alafu mtu anasema viongozi wenye maono sijui atawapata kwa njia gani Afrika haina maendeleo kwa sababu ya waafrika wenyewe.
Tatizo sio dictator shida ni ubinafsi mbona libya waliongozwa na dictator ila walikua na hali nzuri Hadi kufikia hatua ya kufadhili umoja wa africa!?
Swali la muhimu ni kwamba chini ya dictator au chini ya demokrasia iliyopo sasa libya ni wakati gani walishuhudia ustawi wa wananchi!?Kwahiyo Gadaffi hakuwa mbinafsi? Naona umekuja na utetezi ule ule wa kutetea watu waovu ili waendelee kutawala, kisha ukiona limejengwa daraja useme ni kwakuwa kiongozi aliyepo ana maono hata kama hajali demokrasia, kana kwamba kukiwa na demokrasia bado daraja halitajengwa.