UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kama bado tuna utamaduni wa kumchangia mtu aweze kufanya sherehe ya harusi yenye thamani hata kununua magari matatu ila huyo mtu mwenyewe hana hata uwezo wa kumudu kununua pikipiki, sidhani kama ni ajabu kwa hao viongozi kuwa hivyo walivyo. Si la ajabu kwao kununua midege,kujenga midaraja, kutoa mihela ya kujenga soko na kuacha changamoto za miaka yote kama shida za maji kwamba hadi leo bado watu wanakunywa maji yasio salama.Nimewaza huu ujinga wetu miafrika ..
Yaan Rais anatoa bilion34 kujenga kariakoo only...wakati fedha hizo zingetosha kutuwekea maji Safi mikoa ya Lindi na Mtwara na Ruvuma ambapo 75%tunakunywaji maji ya tope..
Na bei ya dumu la maji Ni 500 Sasa...Toka naanza awali miaka ya 1990 mpk leo tunamkamua chura ...
Ni aibu Sana ....Kuna mdau aliandika humu Viongozi wa Afrika hawana Future Plans na hata hiyo mipango Plans ya Taifa haifuatwi...
Pumbavu kabsaaaa...Demokrasia Afrika Ni Pasua Kichwa...kwa viongozi..