Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

Ingekuwa hivyo, Bara la Africa ndiyo lingekuwa tajiri zaidi duniani na Bara la Ulaya ndiyo masikini wa kutupwa
Misingi ya utajiri na demokrasia iliyopo sasa ulaya haikujengwa kidemokrasia ilijengwa na misuguano ya muda mrefu sana
 
Na huo mlolongo ndio huondoa uwezekano wa kujitokeza mtu kuhodhi maamuzi kama ilivyotokea Tanzania. Angels are not born here.
 
Una kiwango gani cha elimu?
 
Na huo mlolongo ndio huondoa uwezekano wa kujitokeza mtu kuhodhi maamuzi kama ilivyotokea Tanzania. Angels are not born here.
Ikiwa atatokea mtu mwenye uthubutu upeo na maono huu mlolongo utambana sana. Nadhani ndio maana katika historia ya nchi yetu imewahi kubuniwa nafasi ya naibu waziri mkuu
 
bwasheeeee, tukomee hapa.
uwe na siku njema.
 
Zilindelea zaidi baada ya kuacha udikteta au kabla ?
 
Hakuna dikteta keshawahi letea watu maendeleo, madikteta wapo kwa ajili ya interest zao binafsi
Hitler aliivuruga ujeruman na kujirudisha nyuma kimaendeleo. Mleta nada ana mentality za udicteta hata kama hana nafasi ya kutekeleza.
 
Tatizo sio dictator shida ni ubinafsi mbona libya waliongozwa na dictator ila walikua na hali nzuri Hadi kufikia hatua ya kufadhili umoja wa africa!?
Aliekuwa anafadhili ni Ghadafi na si Libya. Utajili wa nchi ulikuwa mikononi mwake na si kwa wananchi.
 
Na madikiteta hujitanabaisha na jamii wa wajinga na kuwaaminisha ni mkombozi wao.
 
Viongozi wa kiafrika ni wezi. Kuna hazina mbili, moja ipo chini ya rais na hata CAG haikagui. Ndio chimbuko la rais Magufuli, Mama Samia katoa hela kufanikisha hiki au kile.
 
Kama Libya walikuwa na hali nzuri kwa nini waliandamana kwa mamilioni kumuondoa?
Tatizo sio dictator shida ni ubinafsi mbona libya waliongozwa na dictator ila walikua na hali nzuri Hadi kufikia hatua ya kufadhili umoja wa africa!?
 
Hao wapinzani ' wachache' walikuwa na madai gani?
 
Kuna watu wenye akili timamu wanaamini Gaddafi alikuwa mwanademokrasia?

Ukitaka Kujua Hilo Hauitaji Kuwa Genius Angalia Libya Ya Gaddafi Angalia Na Libya Ya Sasa,
 
Mataifa mengi yaliyowahi kuwa makoloni ni pamoja na China, Korea Kusini, India, Indonesia, Vietnam, Singapore, Brunei, Malaysia.

Haya ni baadhi ya mataifa yaliyowahi kuwa makoloni kwa muda mrefu ila yameshaachana na ujinga wa kusingizia wakoloni badala yake yanachuana kiuchumi na wakoloni wao kwa sasa.

Tatizo la Africa kudumaa kimaendeleo ni uongozi mbaya, usio na maona, unaotanguliza maslahi binafsi ya watu wachache.Tusiendelee kujificha kwenye kichaka cha ukoloni, tunaonekana wajinga tu.
 
Libya ya sasa ndio inaonyesha Libya ya Gaddafi ilikuwa ya Kidemokrasia??
Ukitaka Kujua Hilo Hauitaji Kuwa Genius Angalia Libya Ya Gaddafi Angalia Na Libya Ya Sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…