CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Hizo nchi ulizozitaja zina uongozi gani bora, hasa hasa kabla ya kujitambua, kutambua wezi wao na kuamua kujitegemea, uongozi wao ulikuwa kama wa kwetu tu!Mataifa mengi yaliyowahi kuwa makoloni ni pamoja na China, Korea Kusini, India, Indonesia, Vietnam, Singapore, Brunei, Malaysia.
Haya ni baadhi ya mataifa yaliyowahi kuwa makoloni kwa muda mrefu ila yameshaachana na ujinga wa kusingizia wakoloni badala yake yanachuana kiuchumi na wakoloni wao kwa sasa.
Tatizo la Africa kudumaa kimaendeleo ni uongozi mbaya, usio na maona, unaotanguliza maslahi binafsi ya watu wachache.Tusiendelee kujificha kwenye kichaka cha ukoloni, tunaonekana wajinga tu.
Hizo nchi ulizozitaja zina uongozi gani bora, hasa hasa kabla ya kujitambua, kutambua wezi wao na kuamua kujitegemea, uongozi wao ulikuwa kama wa kwetu tu!
Libya ya sasa ndio inaonyesha Libya ya Gaddafi ilikuwa ya Kidemokrasia??
We Unaonaje ya sasa ndiyo inaonesha ya gaddafi ilikuwa ya kidikteta?
Kwa hakika, Dikteta Gaddafi aliharibu mifumo yote ya nchi na yeye akawa ndio state na state ikawa ndio yeye, hili ni tatizo kubwa sana la udikteta duniani kote na ndio maana mara nyingi madikteta wanapoondolewa hususani waliokaa madarakani kwa muda mrefu huacha ombwe na machafuko makubwa sana katika nchi zao.
Huo ni uongo wa kweupee!!Sehemu kubwa ya Africa imetawaliwa bila demokrasia kuwa muda mrefu lakini Africa ndio bara maskini zaidi duniani.
Udikteta kwenye ngazi ya familia lazima uwepo baba lazima awe dikteta.Ukitaka kujua faida au hasara ya demokrasia jaribu nyumbani kwako, kuwa mtemi waamulie kila kambo na usiruhusu hata mmoja kati ya mkeo ama watoto wanyenyue mdomo kukushauri kuhusu lolote lile pale nyumbani, kwa msingi kwamba wao as long as wanakula wanashiba, wanavaa, wanatibiwa vizuri na wanakwenda shule hakuna haja ya kukushauri kitu... afu pima baada ya miaka uone kama kutakuwa na maendeleo katika mji wako.
Libya ni mfano mzuri, hao wengne madikiteta uchwaraOngeza Libya.
Kisha mwambie mleta mada kilichotokea wakati wa jiwe na alete mfano ya Japan au IndiaSehemu kubwa ya Africa imetawaliwa bila demokrasia kuwa muda mrefu lakini Africa ndio bara maskini zaidi duniani.
Demokrasia ni Nini?Unadhani kama pangehitajika demokrasia ingewezekana kuwahamisha machinga!? Maana kiufupi demokrasia inataka wengi uwape lakini wachache wasikilizwe!
Chama cha democrasia na maendeleo, Mpaka sasahivi awana hata ofisi ya maana,kwa zaidi ya miaka 25, pamoja na kuwa na rudhuku na michango ya wanachama wao,kisa eti democrasia huku viongozi wakijinemesha,kweli Africa kutegemea democrasia Mambo hayawezi kusonga, Africa inaitajika viongozi kama akina Gadafi na MagufuriKwa kuwa uumunimi wa udikteta, ni sawa.
Mtazamo wa mtumishi wa kijaniChama cha democrasia na maendeleo, Mpaka sasahivi awana hata ofisi ya maana,kwa zaidi ya miaka 25, pamoja na kuwa na rudhuku na michango ya wanachama wao,kisa eti democrasia huku viongozi wakijinemesha,kweli Africa kutegemea democrasia Mambo hayawezi kusonga, Africa inaitajika viongozi kama akina Gadafi na Magufuri
Lakini ndio ukweli, democrasia ni njia ya mzungu kumpumbaza mwafrika, Wazungu walikubali democrasia baada ya kupiga atu kubwa ya maendeleo, Sisi huku africa mataifa bado machanga ndio yanaanza kutimiza miaka 60,alafu eti tufuate democrasia, maendeleo tutakuwa tunayaona kwenye tv,narudia africa tunaitaji viongozi kama Magufuri na Gadafi wazelendo wenye kuipenda africa,sio kiongozi anachaguliwa tu akili zake zote zinawaza UlayaMtazamo wa mtumishi wa kijani