Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

Tanesco tunahitaji Umeme . Imetolewa amri ya watu kukaa majumbani kupisha sikuuuza uhuru wa Tanganyika.

Tunakaaje nyumbani hakuna maji hakuna umeme ilihali transformerd tunazisikia zinaunguruma kama umeme upo ila majumbani hautufikii.

Tunahitaji umeme na.maji period kwa hizo siku 3 zinazotarajiwa watu kukaa ndani
 
Mnaishi Tandahimba???. Umeme kwa Miaka hii sio tatizo
 
Tangazo la kukaa ndani kwa siku 3 limetolewa wapi?
 
Inside sources zinasema mpango ni kuwaacha wapigwe na kiu na joto kali, na wakimwagiwa ile mimaji ya kuwasha na mibomu ya machozi wakose maji ya kunawa uso. Psychological warfare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…