RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ni kweli mkuu.Mnaishi machakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu.Mnaishi machakani
Nanjilinji huku ndani ndaniUPO Pori gani la akiba?
Itakua mkuu... huwezi juaAisee....na huku pia au wewe jirani yangu?
Upungufu? Au umekosea ku-editSababu ya msingi ni upungufu wa maji kwenye bwawa la Nyerere
Mnaanza kuzua taharuki kama kawaida yenu.Sababu ya msingi ni upungufu wa maji kwenye bwawa la Nyerere
Maji yamepungua kwenye bwawa la NyerereUpungufu? Au umekosea ku-edit
Wewe ndio KIPIMIO? Au wewe ndio KIPIMO?Maji yamepungua kwenye bwawa la Nyerere
Kama unabisha njoo bwawa la Nyerere hata Leo,au tembelea kidatu,mtera mabwawa yamejaa matope!Wewe ndio KIPIMIO? Au wewe ndio KIPIMO?
Huu ni uhujumu wa uchumi au hujuma dhidi ya Mama. Mmmm, hivi si Januari alishatoka huko? Maana zile mashine za Bwawa la Nyerere nasikia zinatoa megawat 250 kama kawaida.Lazima kutakuwa na shida, kwa maana kwa siku za hivi karibu haijawahi kutokea. Lakini suala la utoaji wa taarifa kwa wakati kutoka katika uongozi wa TANESCO, hicho sasa ni kipengele kingine!
Tanesco makao makuuNamba ya demu au Dume?
Endelea hadi wapokeeMkuu nimejaribu mara kadhaa kupiga katika namba hiyo napatq majibu kuwa wahudumu wanaongea na wateja wengine.
Anapokea demu au Dume?Tanesco makao makuu
Hivi sasa ni saa mbili kasoro dakika nne hakuna umeme Mbagala, eti nasikia tope la Hanang'i limeingia kwenye waya.Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa.
Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita huku baadhi ya wadau wameisikia.
Kwa muda sasa kulikuwa hakuna tena tatizo katika katika umeme ya muda mrefu kama huu, na hata kama iliwahi kutokea basi ilikuwa kwa kipindi kifupi, ama taarifa kutolewa kabla endapo changamotp ilikuwa ni kubwa, hasa ikitokea katika Grid ya taifa.
Sasa leo kwa upande wangu sina taarifa yoyote ile, na kila nikijaribu kupiga katika namba zao, napata majibu kuwa simu yako itapokelewa hivi punde, kwani watoa huduma wao kwa sasa wanaongea na wateja wengine.
Kama kuna mwanajukwaa anatambua uwepo wa changamoto yoypte ile ambayo imejitokeza tafadhali naomba anijuze.