Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ni mwezi sasa Mbagala unakatwa mara tatu kwa wiki, huenda fundi Maiko anahusika.Lazima kutakuwa na shida, kwa maana kwa siku za hivi karibu haijawahi kutokea. Lakini suala la utoaji wa taarifa kwa wakati kutoka katika uongozi wa TANESCO, hicho sasa ni kipengele kingine!